Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Wanatingisha kibiriti

Kikijaa wanaleta drama

Kuna mmoja nilimpenda sana....

Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu

Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....

Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
Anataka kurudi huyo[emoji3]
 
Anataka kurudi huyo[emoji3]
Simrudishi ng'oooooo

Nilishaamua nitabadilisha wasichana hata elfu moja ila stress sitaki

Nikapata mwingine mwanga mpaka anafanya mambo ya ajabu mchana wa jua kali.......nilipomrudisha alilia akaomba asiondoke kwao watamuua maana watajua ametoa siri.... nikamwambia bibi bye bye....na sayansi yako ya kiafrika katafute pa kuifanyia....

Na kesho kuna mmoja namrudisha.....alfajiiiiri na mapema
 
Teh teh pole !
 
Muonee huruma bwana
Siwezi mkuu kafanya kituko cha kufungia mwaka, juzi wife kafanya usafi nyumba nzima, chumbani kwa watoto uvunguni kitandani, kakutana na maped yaliokaukiana damu kama kumi hivi, tena chumbani kwa watoto ana maana gani mpaka namhisi vibaya mkuu.
 
Wanatingisha kibiriti

Kikijaa wanaleta drama

Kuna mmoja nilimpenda sana....

Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu

Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....

Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
Sasa mie huyu wa kwangu tangu aondoke mtaani waendesha bodaboda, wananiambia umetutoroshea mke wetu.
 
Simrudishi ng'oooooo

Nilishaamua nitabadilisha wasichana hata elfu moja ila stress sitaki

Nikapata mwingine mwanga mpaka anafanya mambo ya ajabu mchana wa jua kali.......nilipomrudisha alilia akaomba asiondoke kwao watamuua maana watajua ametoa siri.... nikamwambia bibi bye bye....na sayansi yako ya kiafrika katafute pa kuifanyia....

Na kesho kuna mmoja namrudisha.....alfajiiiiri na mapema
Mie mwenyewe huyo niliemrudisha mwanza, usiku anaongea peke yake, muda mwingine usiku anatembea ukumbini mida ya saa saba au saa nane za usiku....huku anaongea na kuongea vitu visivyojulikana, siku moja mlango wa ndani kwangu nilikuwa nimeurudishia akaja ndani usiku karibu na kichwani kwangu nastukia anaongea vitu vya ajabu ajabu, nikamtoa nduki, asubuhi namuiliza anasema ajui lolote mkuu.
 
Back
Top Bottom