Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Akijua tu utamu wa pumbu
Ww Bo's wake unakua fala tu kwake
 
Yaani ukikaleta nikukatafuna kwa sana kabla ya kuzibuka kutafuta virus nakuachana nako wakata nyasi nao watafune
 
Akijua tu utamu wa pumbu
Ww Bo's wake unakua fala tu kwake
Ukila na kipofu usimshike mkono mkuu, sasa wao wanajisahau wanataka kuwa juu, wewe tajiri uwe juu yake.
 
Ukila na kipofu usimshike mkono mkuu, sasa wao wanajisahau wanataka kuwa juu, wewe tajiri uwe juu yake.
Ttz Lao ndyo hilo mkuu hawajui
Hilo ukishamrudiaha anaanza
Kupga cm na kuomba msamaha
Wa kurud
 
Kuweni na heshima na mabeki tatu, wengine huku wamezaliwa na mabeki tatu waliharibu ndoa za watu so muwaheshimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwasababu wakiwa kijijini wanakuwaga sio mabeki tatu
 
Shauri yako.
Watu wa dar wana Mambo ya kijinga sana. Wakimuona beki 3 mkali. Watamuandama mpaka wamle. Ndo maana uwa naji sevia kwanza.
Unatakiwa uwe baba bora wa familia, hivyo aifai si vizuri kiongozi.
 
Unatakiwa uwe baba bora wa familia, hivyo aifai si vizuri kiongozi.
Haya waletee vijana wa dar.
Kuna mmoja alikuwa akitoka SAA 1 asubuhi kwenda kanisani. Siku ya jumapili anarudi SAA 8 mchana. Vijana wa dar hawana huruma kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…