Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Yaani ukikaleta nikukatafuna kwa sana kabla ya kuzibuka kutafuta virus nakuachana nako wakata nyasi nao watafune
 
Ukila na kipofu usimshike mkono mkuu, sasa wao wanajisahau wanataka kuwa juu, wewe tajiri uwe juu yake.
Ttz Lao ndyo hilo mkuu hawajui
Hilo ukishamrudiaha anaanza
Kupga cm na kuomba msamaha
Wa kurud
 
Kuweni na heshima na mabeki tatu, wengine huku wamezaliwa na mabeki tatu waliharibu ndoa za watu so muwaheshimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utamchukua kutoka kwao kijijini, kumleta mjini hana ndugu wala hamfamu mtu, mbaya zaidi ajui lolote si ajabu....akachukua viatu akaweka ndani ya fridge, na mkeo akawa anamfundisha kupika mapishi, baada ya siku kadhaa kupita, kashakuwa mwerevu, zaidi ya nyie wenyeji wake mliomleta na mbaya zaidi hata kariakoo hapajui, sasa kaingia mjini kajua kupaka matope yao usoni, na marafiki wa nje, kaota masikio ashikiki wala haambiliki, wewe mwenye nyumba umuogope yeye, na uchoyo juu, kwenye chakula wewe mnunuzi, siku umekuja na nyama ya kuku firigisi na minofu anajiwekea yeye, nyinyi anawawekea shingo kichwa, na kipapatio kama si miguu, na mengineyo mengi si ajabu na uchawi au wanga juu, hizi zote changamoto azikosekaniki kwa hawa viumbe kwa nini lakini wanajisahau....na hawakumbuki walikotoka!
2177867daf6868f81ab02965d91b3c96.jpg
Kwasababu wakiwa kijijini wanakuwaga sio mabeki tatu
 
Unatakiwa uwe baba bora wa familia, hivyo aifai si vizuri kiongozi.
Haya waletee vijana wa dar.
Kuna mmoja alikuwa akitoka SAA 1 asubuhi kwenda kanisani. Siku ya jumapili anarudi SAA 8 mchana. Vijana wa dar hawana huruma kabisa.
 
Back
Top Bottom