Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Utamchukua kutoka kwao kijijini, kumleta mjini hana ndugu wala hamfamu mtu, mbaya zaidi ajui lolote si ajabu....akachukua viatu akaweka ndani ya fridge, na mkeo akawa anamfundisha kupika mapishi, baada ya siku kadhaa kupita, kashakuwa mwerevu, zaidi ya nyie wenyeji wake mliomleta na mbaya zaidi hata kariakoo hapajui, sasa kaingia mjini kajua kupaka matope yao usoni, na marafiki wa nje, kaota masikio ashikiki wala haambiliki, wewe mwenye nyumba umuogope yeye, na uchoyo juu, kwenye chakula wewe mnunuzi, siku umekuja na nyama ya kuku firigisi na minofu anajiwekea yeye, nyinyi anawawekea shingo kichwa, na kipapatio kama si miguu, na mengineyo mengi si ajabu na uchawi au wanga juu, hizi zote changamoto azikosekaniki kwa hawa viumbe kwa nini lakini wanajisahau....na hawakumbuki walikotoka!
2177867daf6868f81ab02965d91b3c96.jpg
 
Hahahaha mama manka njoo umuone mwanao huku
 
Wanapata ujasili hadi wakubinua midomo kwa tajiri yake aliemtoa kijijini.
 
hawa dawa yao kuwaacha washamba kama waluvokuja.
Nishamrudisha kwao mmoja mwanza, wiki mbili zilizopita na juzi, nimempata mwingine kutoka songea, huyu wa mwanza ananiomba, kutaka kurudi nimemwambi nafasi imejaa aamini kalia, kilio kwenye simu.
 
Ukiona kaota mapembe unamuongezea mkia...... Then una mrudisha machungoni sitimbi[emoji23][emoji23]
 
Nishamrudisha kwao mmoja mwanza, wiki mbili zilizopita na juzi, nimempata mwingine kutoka songea, huyu wa mwanza ananiomba, kutaka kurudi nimemwambi nafasi imejaa aamini kalia, kilio kwenye simu.
Wanatingisha kibiriti

Kikijaa wanaleta drama

Kuna mmoja nilimpenda sana....

Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu

Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....

Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
 
Back
Top Bottom