Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hii nime experience,,,kila demu anayeniomba nimnunulie bia 80% lazima waseme Savanna 10% castle light,5% Heineken,na 5% bia zilizobakia.wakichina or?
Ndo nini?About to be 18 yrs old.
YakununuliwaHii nime experience,,,kila demu anayeniomba nimnunulie bia 80% lazima waseme Savanna 10% castle light,5% Heineken,na 5% bia zilizobakia.
Hii nime experience,,,kila demu anayeniomba nimnunulie bia 80% lazima waseme Savanna 10% castle light,5% Heineken,na 5% bia zilizobakia.
Hebu nisimulie kilichofataaa...Some yrs back niliendaga Mweka, Moshi (Kule kwenye kile chuo cha wildlife), jioni kwenye mizunguko nikapata kimwana mmoja matata sana tukaenda Bar moja na wakati naweka order nikamuuliza utatumia nini wewe? Aisee akajibu fasta mzinga wa Konyagi na club soda!! nikasema leo kazi ipo.
how?yani Leo hadi joseverest aje pm
Uyo sio demu ni shogaKuna mmoja huku kaniganda anataka Balimi,
Hebu nisimulie kilichofataaa
Anayo ya kikeUyo sio demu ni shoga
The answer is savanna sio bia/lager bali ni cider. Cider ni kama wine vile.Sababu hawanunui wao,
Sasa mbona hujagegeda...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.
Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.
Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
MamboNinavyoipenda savannah sasa.
Au Namaqua whine hatari hatari