Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Hii nime experience,,,kila demu anayeniomba nimnunulie bia 80% lazima waseme Savanna 10% castle light,5% Heineken,na 5% bia zilizobakia.

...Some yrs back niliendaga Mweka, Moshi (Kule kwenye kile chuo cha wildlife), jioni kwenye mizunguko nikapata kimwana mmoja matata sana tukaenda Bar moja na wakati naweka order nikamuuliza utatumia nini wewe? Aisee akajibu fasta mzinga wa Konyagi na club soda!! nikasema leo kazi ipo.
 
Hebu nisimulie kilichofataaa

...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
 
Sababu hawanunui wao,
The answer is savanna sio bia/lager bali ni cider. Cider ni kama wine vile.

1. Ingredients:
“While beer and cider both rely on fermented sugars to produce alcohol, the two start from very different ingredients”, says Shatbhi Basu, Beverage Consultant and Director of STIR Academy of Bartending. Beer is made from malted barley, whereas cider is made from apple juice. Note: While a beer can contain fruit and other ingredients, no true cider contains malted grains.
2. Process: Beer is produced from brewing and fermenting malted barley, whereas cider (that contains alcohol) is produced made by fermenting apple juice.
zipo nyingi mkuu

What is The Difference Between Beer and Cider?
 
...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Sasa mbona hujagegeda
 
Back
Top Bottom