Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Ina kabei kidogo kama mwanamume huna mapozi ya kujiamini wakati unachunwa unaweza ukapoteza mood kila bill inapoletwa hasa ukienda kwenye zile hotel zetu ambapo soda 600 inauzwa buku ama buku na mia tano
Ishanikuta hiyo vuup nimeenda kumtoa out mtoto wa chuo kimoja.

Kwa sifa Kaja na rafikize wawili so nikawa na jukumu la kuhudumia team ya watu watatu, yaani Hakuna anayeagiza bear ni Sminof & Savanna +Misosi. [emoji119] [emoji27] Mungu saidia tu kulikuwa na kasalio kakutosha mfukoni. Ila nilikuwa najitutumua kulipa huku kimoyo moyo natoa mtusi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 



hahahahaha mwish wa siku huwa mnagegeda kwa ngv uwiii na mihasira kibao walau kujitibu majeraha !lol!ila nadhan ni utoto tu kubeba mashost!sio uungwana
 
hahahahaha mwish wa siku huwa mnagegeda kwa ngv uwiii na mihasira kibao walau kujitibu majeraha !lol!ila nadhan ni utoto tu kubeba mashost!sio uungwana
Haha haha yaani alinikwaza mno alafu mashost zake wakawa vinara waku propose tuhamie sijui wapi sijui mida hii patakuwa pako Poa sana na yeye anaunga mkono, mbele ya papuchi sikuwa na ujanja nikawa natii maombi yote.[emoji27] [emoji28] sina hamu nao walinitoboa mno ule usiku.
 
Za kununuliwa,..umkute mwenyew pekeyake utakuta anakunywa soda,ila akiwa na mtu atataka savanah
 
Inabidi ujitutumue tu hakuna namna
 
Ungegonga wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee simfanyiagi hii ujinga mtu, hasa ninae mpenda
 
Ungegonga wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee simfanyiagi hii ujinga mtu, hasa ninae mpenda
Yule tulikutana kimjini mjini sasa inawezekana alitaka kujichukulia ujiko kwa wenzie huku akinitoboa..

Alinirahisishia mchakato wa kula kuliwa alafu nikaacha manyoya.
 
Gemu ulipiga siku hiyo?
 
Mume nimekukamataaa! Haya na mie nitoe out nakuja na mashosti wawili tunakunywa soda
 
Ko hukumgegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…