Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Nadhani alikupongeza kimoyomoyo maana sijaona kipengele cha kugegedana
 
...Mkuu hiyo hang over niliyoamka nayo, na maumivu makali ya kichwa ninge enjoy kweli hiyo mechi? Yaani utafikiri mgonjwa coz sikuwa na uzoefu wa Konyagi na nilizidisha kipimo. Jioni yake ndiyo niliweza baada ya kuachana kabisa na libapa
Pole ila ulichofanya wewe ni waswahili wanasema "mwanamume kujitutumua" kumbe vingine hata ujitutumue vipi huwezi
 
...Mkuu hiyo hang over niliyoamka nayo, na maumivu makali ya kichwa ninge enjoy kweli hiyo mechi? Yaani utafikiri mgonjwa coz sikuwa na uzoefu wa Konyagi na nilizidisha kipimo. Jioni yake ndiyo niliweza baada ya kuachana kabisa na libapa
Nyinyi ndio mnadhalilisha uanaume. Hiyo Konyagi wenzako ndio Viagra yao.
 
Ina kabei kidogo kama mwanamume huna mapozi ya kujiamini wakati unachunwa unaweza ukapoteza mood kila bill inapoletwa hasa ukienda kwenye zile hotel zetu ambapo soda 600 inauzwa buku ama buku na mia tano
 
...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Halafu ikawaje
 
Nikiingia sehemu ya starehe kama club afu nimuone mrembo mzuri anakunywa savannah huwa siwez kumfata..naogopa atanifilisi...me napenda wale wa castle lite 2500 tu
 
Back
Top Bottom