Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

BILA KUNUNUA WAAMUZI SIMBA HAIWEZI KUMFUNGA YANGA
 
Bendera fata upepo kwa takwimu hizi watu wanaropokwa yani hapo Yanga kamzidi nini Simba??
Wachambuzi mbuzi wakija na mihemuko yao na mashabiki nao wanahemukwa...
Yanga kwa sasa ana kikosi kizuri lakini Simba sio mbovu..
Kwan hujui GSM anawalipa wachambuzi uchwaraa pesa waiponde Simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
No,Kuna timu itashinda sababu imejijenga kitimu na Ina ubora,na Kuna timu itavizia kushinda,itapata goli Kisha itakua na kazi ya kulinda mpaka mpira uishe
Sasa km utopolo imejijenga kitimu imeshindwa vipi kushinda jana? Huoni unacho kiandika kina kukataa wee mwenyewee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona ujiulizi epl bingwa anakuwa man City mfungaji Bora anakuwa Kane.
Timu yeyote bingwa inacheza kutafuta point 3 ili iwe juu zaidi,

Mfano arsenal now wapo kupambania point 3 kuliko kitu chochote ili wawe mabingwa.

Kiuhalsia Simba wanacheza kiteam work sababu washajua madhaifu yao yapo wapi,Wana kocha mzuri ambaye ni rafiki wa wachezaji.

Hongera mtani kwa ushindi wa Jana kikubwa kujipanga kwenye mechi za kimataifa tuchange karata zetu vizuri.
 
Yanga na Simba nani huwa ana ushindi wa timing kama siyo Yanga? Hata zile mechi tulizocheza tukaishia kwenye draw Yanga alikuwa amezidiwa kimpira na Simba (kama ukiangalia zile mechi).
Siku zote yanga ni dhaifu kwa simba tatizo hapa kati simba iliacha kuizingatia yanga!!uto wakajiona wanaimudu simba.
 
Yanga na Simba nani huwa ana ushindi wa timing kama siyo Yanga? Hata zile mechi tulizocheza tukaishia kwenye draw Yanga alikuwa amezidiwa kimpira na Simba (kama ukiangalia zile mechi).
Tangu nabi aingize mifumo yake yanga haijawahi zidiwa kimpira na timu yoyote Tanzania na CAF
 
Sasa km utopolo imejijenga kitimu imeshindwa vipi kushinda jana? Huoni unacho kiandika kina kukataa wee mwenyewee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira itakua si suala lako,Brentford alimfunga man city, Leverkusen alimfunga Bayern,ihefu alimfunga yanga
 
Sababu ambayo wengi hawajataja ni kuwa pale Utopoloni wenye mbongo ni wawili tu,wengine ziiiiiiiiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…