Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

Bendera fata upepo kwa takwimu hizi watu wanaropokwa yani hapo Yanga kamzidi nini Simba??
Wachambuzi mbuzi wakija na mihemuko yao na mashabiki nao wanahemukwa...
Yanga kwa sasa ana kikosi kizuri lakini Simba sio mbovu..
Kwan hujui GSM anawalipa wachambuzi uchwaraa pesa waiponde Simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichojifunza ukiacha ushabiki kila mmoja akasifia chake basi watu wa yanga wana matatizo kwenye kichwa na kingine nashangaa sana wanapojifananisha na simba wakati hawako level moja . Sikatai simba nao wanaujinga wao lakini yanga wakipewa hata details za uongo wanayembea nazo. Nafurahi sana nikikuta watu walibishana simba na yanga nacheka japo sina ushabiki lakini kuna vitu kwa macho tu na uelewa mdogo unajifunza kuna tatizo sehemu. Kuna uzi uliletwa humu sjui yanga yupo nafasi ya ngapi basi wana yanga walitamba nao kumbe hata ukigoogle unajua kwamba mleta mada aliamua kuwavuruga wenzake ilimradi iaminike wenye akili pale ni wawili tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
No,Kuna timu itashinda sababu imejijenga kitimu na Ina ubora,na Kuna timu itavizia kushinda,itapata goli Kisha itakua na kazi ya kulinda mpaka mpira uishe
Sasa km utopolo imejijenga kitimu imeshindwa vipi kushinda jana? Huoni unacho kiandika kina kukataa wee mwenyewee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona ujiulizi epl bingwa anakuwa man City mfungaji Bora anakuwa Kane.
Timu yeyote bingwa inacheza kutafuta point 3 ili iwe juu zaidi,

Mfano arsenal now wapo kupambania point 3 kuliko kitu chochote ili wawe mabingwa.

Kiuhalsia Simba wanacheza kiteam work sababu washajua madhaifu yao yapo wapi,Wana kocha mzuri ambaye ni rafiki wa wachezaji.

Hongera mtani kwa ushindi wa Jana kikubwa kujipanga kwenye mechi za kimataifa tuchange karata zetu vizuri.
 
Sasa km utopolo imejijenga kitimu imeshindwa vipi kushinda jana? Huoni unacho kiandika kina kukataa wee mwenyewee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira itakua si suala lako,Brentford alimfunga man city, Leverkusen alimfunga Bayern,ihefu alimfunga yanga
 
Sababu ambayo wengi hawajataja ni kuwa pale Utopoloni wenye mbongo ni wawili tu,wengine ziiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom