Kwa nini mchezaji Clara Luvanda huwa haitwi timu ya Taifa ya wanawake

Kwa nini mchezaji Clara Luvanda huwa haitwi timu ya Taifa ya wanawake

Mbona kama ww ndio una hormonal imbalance?

Hizo hormones umeona ww tu? Huku uarabuni na marekani anacheza na wanaume?

Mbona unaleta kejeli?

CAF ndio wanasimamia ligi ya SA na USA?

Wabongo ni wepese sana kutoa toa matusi mkiwa hamjui vitu...

Screenshot_20260913_164931_Google.jpg
 
Ww ndio umeleta kejeli, Mpira wa miguu unaongozwa na Sheria 17 za Fifa au unataka kusema caf Wana Sheria zao tofauti na hizo 17?

Nimeandika kwa staha, uchaguzi wangu wa maneno umetaja neno "binti" kuonesha heshima ya jinsia yake...

Wewe unakuja na personal attacks badala ya kutaka kujua zaidi kwa nini nimeandika hivyo...

Screenshot_20260913_164931_Google.jpg
 
Tunamzunguzia Clara Luvanda na sio Barbra Banda,

Hiyo habari ni kukujulisha kwamba CAF wana kanuni zinazokinzana na hayo mashirikisho ya mipira kwenye nchi ulizozitaja ambazo Clara amekuwa mchezaji huko...

Kesi ya Banda ni maarufu na ndio maana ipo kwenye vyanzo vya habari kama reference case...

Bottomline ni kwamba CAF wana kanuni zao kwenye suala la wingi wa hormones za kiume na ndio kitu kimemkwamisha Clara, wingi wa hormones za kiume haubadilishi jinsia ya binti maana maumbile yake ya via vya uzazi ndio utambulisho wake wa jinsi yake...
 
Ww jamaa!! sawa bwana
 
Back
Top Bottom