Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Wanapima hormone za mtu kwa sura na Sauti mbona hatua za mwanzo wa career yake alikuwa anaitwa ?Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yangu
Wanapima hormone za mtu kwa sura na Sauti mbona hatua za mwanzo wa career yake alikuwa anaitwa ?Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yangu
Umezidiwa hoja rudi ukamuombe radhi sasa kwenye post zako ulizokuwa unamjibu kwa kejeli.Ww jamaa!! sawa bwana
Wivu tu wa kijingaKama issue ni hormones basi hiki kigezo ni cha watu wajinga waafrica kama USA na uarabuni amecheza iweje hizi nchi ndogo za Africa kama Tanzania n.k