maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yanguMambo ya hormones mzee baba...
Yule binti hata akiongea anatoa sauti nzito, hana tofauti na yule binti mnyanyua vyuma...
Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yangu
Mbona kama ww ndio una hormonal imbalance?Mambo ya hormones mzee baba...
Yule binti hata akiongea anatoa sauti nzito, hana tofauti na yule binti mnyanyua vyuma...
Mbona kama ww ndio una hormonal imbalance?
Hizo hormones umeona ww tu? Huku uarabuni na marekani anacheza na wanaume?
Ww ndio umeleta kejeli, Mpira wa miguu unaongozwa na Sheria 17 za Fifa au unataka kusema caf Wana Sheria zao tofauti na hizo 17?Mbona unaleta kejeli?
CAF ndio wanasimamia ligi ya SA na USA?
Ww ndio umeleta kejeli, Mpira wa miguu unaongozwa na Sheria 17 za Fifa au unataka kusema caf Wana Sheria zao tofauti na hizo 17?
Tunamzunguzia Clara Luvanda na sio Barbra Banda,Nimeandika kwa staha, uchaguzi wangu wa maneno umetaja neno "binti" kuonesha heshima ya jinsia yake...
Wewe unakuja na personal attacks badala ya kutaka kujua zaidi kwa nini nimeandika hivyo...
View attachment 3669828
Tunamzunguzia Clara Luvanda na sio Barbra Banda,
Kwamba Clara Luvanga ana hormone nyingi za Testosterone kuliko Banda wa Zambia na Temwa Chawinga ?Hormone ndio shida
Ww jamaa!! sawa bwanaHiyo habari ni kukujulisha kwamba CAF wana kanuni zinazokinzana na hayo mashirikisho ya mipira kwenye nchi ulizozitaja ambazo Clara amekuwa mchezaji huko...
Kesi ya Banda ni maarufu na ndio maana ipo kwenye vyanzo vya habari kama reference case...
Bottomline ni kwamba CAF wana kanuni zao kwenye suala la wingi wa hormones za kiume na ndio kitu kimemkwamisha Clara, wingi wa hormones za kiume haubadilishi jinsia ya binti maana maumbile yake ya via vya uzazi ndio utambulisho wake wa jinsi yake...