Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,714 Reaction score 34,545 Sep 13, 2026 #21 balibabambonahi said: Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yangu Click to expand... Wanapima hormone za mtu kwa sura na Sauti mbona hatua za mwanzo wa career yake alikuwa anaitwa ?
balibabambonahi said: Ulishampima? Mbona mnamchafua binti yangu Click to expand... Wanapima hormone za mtu kwa sura na Sauti mbona hatua za mwanzo wa career yake alikuwa anaitwa ?
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,714 Reaction score 34,545 Sep 13, 2026 #22 Marco Polo said: Ww jamaa!! sawa bwana Click to expand... Umezidiwa hoja rudi ukamuombe radhi sasa kwenye post zako ulizokuwa unamjibu kwa kejeli.
Marco Polo said: Ww jamaa!! sawa bwana Click to expand... Umezidiwa hoja rudi ukamuombe radhi sasa kwenye post zako ulizokuwa unamjibu kwa kejeli.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Sep 13, 2026 #23 Kama issue ni hormones basi hiki kigezo ni cha watu wajinga waafrica kama USA na uarabuni amecheza iweje hizi nchi ndogo za Africa kama Tanzania n.k
Kama issue ni hormones basi hiki kigezo ni cha watu wajinga waafrica kama USA na uarabuni amecheza iweje hizi nchi ndogo za Africa kama Tanzania n.k
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Sep 13, 2026 #24 DR HAYA LAND said: Kama issue ni hormones basi hiki kigezo ni cha watu wajinga waafrica kama USA na uarabuni amecheza iweje hizi nchi ndogo za Africa kama Tanzania n.k Click to expand... Wivu tu wa kijinga
DR HAYA LAND said: Kama issue ni hormones basi hiki kigezo ni cha watu wajinga waafrica kama USA na uarabuni amecheza iweje hizi nchi ndogo za Africa kama Tanzania n.k Click to expand... Wivu tu wa kijinga