Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo.
Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na kuwafanya vujana kuishi kama digidigi mana ajira zilipotea zote. Machinga wakaanza kumwagika mtaani mpaka mtu ana masters lakinj naye ni chinga.
Mnakumbuka aliwafanya watu wakafa kwa stroke kisa ameseqze accounts zao na kupora hela zote kama akina Nimrod mkono.
Haya yote yalifanyika na akina pole pole, bashiru nk chini ya jpm.
Mmeshau fasta hivi. Kweli mama kawashika pabaya mno