PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.

Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?

====
Majibu kutoka kwa wadau

Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.

Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
 
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Kumeshapelekwa petition huko, nyingi za kutosha na ICC wameshathibitisha kuzipokea wanazifanyia kazi.
 
Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.

Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
 
Ila mwenyewe samuya si alisema nchi yake haifungamani na upande wowote. Kwahiyo hawezi shitakiwa kokote.
Au sijaelewa?
 
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Ni kwa kukosa umakini tu kwa upande wako. Kabla ya kuanzisha mada kama hii ungetafuta tu kwa muda mfupi humu humu Jukwaani uone kama kuna jambo la namna hiyo limejadiliwa, tena wiki hii hii.

Mkuu 'Richard' aliweka mada hiyo akieleza kufanya hayo unayotaka tuyajadili upya!
 
Sahihi...kongole kwao wote Mkuu Richard et al
 
Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.

Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
Mbona nasikia wachunguzi wa ICC tayari wametua nchini Kenya kuanza uchunguzi wa kilichotokea?
 
Hiyo ICC ingekua inazingatia hayo unayoyasema ingeanza Palestine
 
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Wewe ni moja kati ya wakurya wenye akili kinoma.

Unaopenda sana kuchapa pumba online
 
Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.

Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
Oya nipe format ya barua ni edit na mimi niwatumie barua has ICC
 
Mbwa wata deal na mashahidi hiko ndo kipengele kigumu
 
Ila mwenyewe samuya si alisema nchi yake haifungamani na upande wowote. Kwahiyo hawezi shitakiwa kokote.
Au sijaelewa?

tanzagiza ni mwanachama hai na mtiifu wa icc na international communities karibia zote, hivyo tanzagiza inashitakika na icc ...
 
Back
Top Bottom