Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.
Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
Kumeshapelekwa petition huko, nyingi za kutosha na ICC wameshathibitisha kuzipokea wanazifanyia kazi.Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Ni kwa kukosa umakini tu kwa upande wako. Kabla ya kuanzisha mada kama hii ungetafuta tu kwa muda mfupi humu humu Jukwaani uone kama kuna jambo la namna hiyo limejadiliwa, tena wiki hii hii.Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Kila anayetuma petition wakipokea wanamthibitishia personally kuwa wamepokea.Wamedhibitusha wapi mkuu?
Sahihi...kongole kwao wote Mkuu Richard et alNi kwa kukosa umakini tu kwa upande wako. Kabla ya kuanzisha mada kama hii ungetafuta tu kwa muda mfupi humu humu Jukwaani uone kama kuna jambo la namna hiyo limejadiliwa, tena wiki hii hii.
Mkuu 'Richard' aliweka mada hiyo akieleza kufanya hayo unayotaka tuyajadili upya!
Ankol. Tunaomba video ya MloganzilaIla mwenyewe samuya si alisema nchi yake haifungamani na upande wowote. Kwahiyo hawezi shitakiwa kokote.
Au sijaelewa?
Mbona nasikia wachunguzi wa ICC tayari wametua nchini Kenya kuanza uchunguzi wa kilichotokea?Huwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.
Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
Hapana bado ni propaganda,hadi sasa hakuna official statement Toka ICC ambayo inaonesha kumshughulikia SamuyaMbona nasikia wachunguzi wa ICC tayari wametua nchini Kenya kuanza uchunguzi wa kilichotokea?
Wewe ni moja kati ya wakurya wenye akili kinoma.Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa,mbona mpaka sasa hakuna mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
Naona unachanganya mada.Hiyo ICC ingekua inazingatia hayo unayoyasema ingeanza Palestine
Oya nipe format ya barua ni edit na mimi niwatumie barua has ICCHuwezi fungua as an individual ila unaweza omba uchunguzi ufanyike,Mimi tayari nilishaandika barua na nikatuma ushahidi wa kuwaomba ICC wafanye uchunguzi dhidi ya Samia muuaji na genge lake.
Nadhani sio Mimi pekee,watu wengi wamefanya hivyo,tuwe wavumilivu matokeo tutayaona
Ila mwenyewe samuya si alisema nchi yake haifungamani na upande wowote. Kwahiyo hawezi shitakiwa kokote.
Au sijaelewa?