Kwa nini Mungu wa Biblia na Quran ana hulka za wanaume na tabia nyingi za mfumo dume (patriarchy) ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukiangalia maandiko yanayohusu Mungu wa Kiyahudi/ Abrahamic god ambaye ndiye wa Wakristo na Waislamu utaona kuna tabia (character) nyingi za kiume na mfumo dume.

1. Kwanza anaitwa baba na katika lugha ya Kingereza anatumia kielezi cha "HE"

2. Anapenda vita, katika maandiko anaitwa Mungu wa majeshi na story nyingi zinahusu vita.

3. Maandiko yanaruhusu mitaala kwa wanaume tu na sheria za uzinzi na uasherati ni kali na ngumu zaidi kwa wanawake.

4. Katika maandiko ya Biblia wanaume tu ndio wameruhusiwa kutawala na kuongoza katika siasa na dini.

5. Katika Uislamu ushahidi wa mwanamke unahesabiwa ni dhaifu au hafifu kuliko wa mwanaume.

6. Sheria kali na ngumu za mavazi ni kwa wanawake zaidi.

7. Hedhi ni haramu, mwanamke akijifungua anapoteza kutakasika kwake.

8. Bikira inasisitizwa kwa wanawake tu.

9. Anapendelea zaidi sadaka za nyama.

10. Agano la kale Wanawake walihesabiwa kuwa sehemu ya mali na hawakujumlishwa katika idadi ya watu.

11. Adhabu ya ubakaji kwa wanawake wasio wake za watu ilikuwa ndogo kuliko ulawiti kwa wanaume.

12. Katika Quran Waislamu wameruhusiwa kupiga wake zao ili kuwaadabisha.
 
Ukiangalia maandiko yanayohusu mungu wa Kiyahudi/ Abrahamic god ambaye ndiye wa Wakristo na Waislamu utaona kuna tabia (character) nyingi za kiume na mfumo dume.
1. Kwanz

10. Agano la kale Wanawake walihesabiwa kuwa sehemu ya mali na hawakujumlishwa katika idadi ya watu.
1. Ni kweli kwamba Biblia ya Kiingereza humrejerea Mungu kwa He/Him na Ukristo humwita Mungu Baba.
2. Hata hivyo, hiyo haimaanishi moja kwa moja kwamba Mungu ana jinsia ya kiume kibaiolojia.
3. Ieleweke kwamba katika teolojia ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislamu, Mungu kwa ujumla anaelezwa kuwa hayuko katika jinsia ya kibinadamu.
 
Katika huu Uzi watu wa dini wanachunglia na kurudi.

Harmonize alisema huenda mungu ni mwanamke 🤣🤣🤣
 
Kosa la mwanaume. Ila Mungu anaruhusu wanawake zake watombweeeez na wanaume wengine.

Jiulize Je hao wanawake wameumbwa na Mungu gani ? Mpaka hawaonei huruma na kosa hawajafanya wao. Ila wanagongwa wao.

Fungua biblia yako soma.

2 samuel 12 : 11

Hivi ndivyo asemavyo BWANA: ‘Kutoka katika nyumba yako mwenyewe nitaleta msiba juu yako. Mbele ya macho yako nitawachukua wake zako na kuwapa mtu aliye karibu nawe, naye atalala nao mchana peupe.’
 
Na Ndio maana wanasema mungu baba na sio mungu Mama.

Dini zinaendeshwa kwa tamaduni za sehumu husika , mbaya zaudi wa Africa wame ziinga dizi za mashariki wakidhani kuwa ndio mtindo wa Maisha , kumbe ile ni history TU 😂 walipaswa kujifunza na sio kuyaishi Yale Maisha kama ndio muongozo wao.

Coz binadamu anazidi kuongeza maarifa kwa kujifunza
 
Kwa hiyo turejee kufanya matambiko yetu. Zamani miaka ya 1980s ilizoeleka kwenda kwenye sadaka asubuhi hivi. Mnakula pale ugali ukiwemo wa ulezi na nyama za kuku za kutosha. Then wakubwa wataendelea na pombe sisi tulienda kucheza. Siku hizi hakuna hicho kitu tena.
 
Ukiangalia maandiko yanayohusu mungu wa Kiyahudi/ Abrahamic god ambaye ndiye wa Wakristo na Waislamu utaona kuna tabia (character) nyingi za kiume na mfumo dume.
1. Kwanza anaitwa baba na katika lugha ya Kingereza anatumia kielezi cha "HE"

2. Anapenda vita, katika maandiko anaitwa mungu wa majeshi na story nyingi zinahusu vita.

3. Maandiko yanaruhusu mitaala kwa wanaume tu na sheria za uzinzi na uasherati ni kali na ngumu zaidi kwa wanawake.

4. Katika maandiko ya Biblia wanaume tu ndio wameruhusiwa kutawala na kuongoza katika siasa na dini.

5. Katika Uislamu ushahidi wa mwanamke unahesabiwa ni dhaifu au hafifu kuliko wa mwanaume.

6. Sheria kali na ngumu za mavazi ni kwa wanawake zaidi.

7. Hedhi ni haramu, mwanamke akijifungua anapoteza kutakasika kwake.

8. Bikira inasisitwa kwa wanawake zaidi.

9. Anapendelea zaidi sadaka za nyama.

10. Agano la kale Wanawake walihesabiwa kuwa sehemu ya mali na hawakujumlishwa katika idadi ya watu.
Ni ametungwa
 
1. Ni kweli kwamba Biblia ya Kiingereza humrejerea Mungu kwa He/Him na Ukristo humwita Mungu Baba.
2. Hata hivyo, hiyo haimaanishi moja kwa moja kwamba Mungu ana jinsia ya kiume kibaiolojia.
3. Ieleweke kwamba katika teolojia ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislamu, Mungu kwa ujumla anaelezwa kuwa hayuko katika jinsia ya kibinadamu.
Nimeongelea gender roles na sio sex.
 
Ukiangalia maandiko yanayohusu mungu wa Kiyahudi/ Abrahamic god ambaye ndiye wa Wakristo na Waislamu utaona kuna tabia (character) nyingi za kiume na mfumo dume.
1. Kwanza anaitwa baba na katika lugha ya Kingereza anatumia kielezi cha "HE"

2. Anapenda vita, katika maandiko anaitwa mungu wa majeshi na story nyingi zinahusu vita.

3. Maandiko yanaruhusu mitaala kwa wanaume tu na sheria za uzinzi na uasherati ni kali na ngumu zaidi kwa wanawake.

4. Katika maandiko ya Biblia wanaume tu ndio wameruhusiwa kutawala na kuongoza katika siasa na dini.

5. Katika Uislamu ushahidi wa mwanamke unahesabiwa ni dhaifu au hafifu kuliko wa mwanaume.

6. Sheria kali na ngumu za mavazi ni kwa wanawake zaidi.

7. Hedhi ni haramu, mwanamke akijifungua anapoteza kutakasika kwake.

8. Bikira inasisitwa kwa wanawake zaidi.

9. Anapendelea zaidi sadaka za nyama.

10. Agano la kale Wanawake walihesabiwa kuwa sehemu ya mali na hawakujumlishwa katika idadi ya watu.
Mwanaume ndiye mwanadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu...kisha akachomoa sehemu ndogo ya mbavu za kushoto za Adam...akamuumba mwanamke.
 
Kosa la mwanaume. Ila Mungu anaruhusu wanawake zake watombweeeez na wanaume wengine.

Jiulize Je hao wanawake wameumbwa na Mungu gani ? Mpaka hawaonei huruma na kosa hawajafanya wao. Ila wanagongwa wao.

Fungua biblia yako soma.

2 samuel 12 : 11

Hivi ndivyo asemavyo BWANA: ‘Kutoka katika nyumba yako mwenyewe nitaleta msiba juu yako. Mbele ya macho yako nitawachukua wake zako na kuwapa mtu aliye karibu nawe, naye atalala nao mchana peupe.’
Huu ni utata mkubwa sana
Kijakazi , unaweza kuona mambo ya sexual punishment hata hayajaanzia kwa Waarabu.
 
Sheria za mavazi zimewekwa kwasababu mwili wa mwanamke ni pambo..

hivi unaonaje mabinti zako kama wangekuwa wanatembea uchi mbele yako? Ungekuwa na furaha?
 
Mwili wa mwanamke ni pambo kwa nani ?
 
Back
Top Bottom