Kwa nini Mungu wa Biblia na Quran ana hulka za wanaume na tabia nyingi za mfumo dume (patriarchy) ?

Kwa nini Mungu wa Biblia na Quran ana hulka za wanaume na tabia nyingi za mfumo dume (patriarchy) ?

Sahihi, inawezekana wao mungu wao hakuwapa akili za kuzingatia usawa na haki za wanaume kama vile miungu ya Misri ilivyowapa Wamisri huo uelewa.
Nadharia ya Mungu ni man made. Hakuna Mungu anaegawa akili kwa watu. Akili za Mungu anaechorwa kwenye dini yoyote zinaiishia kwenye kikomo cha akili za waliomuumba huyo Mungu.

Kuhusu hao miungu wa misri, kwanza hakukuwa na Mungu mkuu kama kwenye hizi abrahamic religions. Wamisri walikua na mungu wa vita, mungu wa upendo, mungu wa haki n.k pia hiyo miungu ya kike ilikua na waume zao ambao walikua kama devine couple yaani kulikua na god na goddess
 
Kwa kifupi MUNGU wetu atakuwa vile atakuwa. Ndomana alisema jina lake ni I AM. Mimi ndiye.

Usim limit
kwamba yuko juu hawezi kuja huku chini. Mbona alikuja.

Usim limit kwamba alienda huko kuzimu hatotoka. Alitoka akarudi juu alikotoka.

Usim limit kuwa akiwa hapa duniani atakuwa sehemu moja tu. Ndomana YESU alindoka ili Roho Mtakatifu anayeweza kuwa kila mahali aje.

Usim limit kuwa ni mwanamume jemedari wa vita. Ni comfoter na helper.

Usim limit kuwa ni mwanaume kwasababu ameoa kanisa. Amezaa. Hii ni misemo.

Usim limit kwamba ni mkali ndomaana hakucheka na wowote kwenye agano la kale ukamkimbia, ndiye huyo huyo alikuja kulipia makosa yako.


Usim limit
kwamba ni mpole ndomana akaacha watu wamuue na anaacha uovu leo, ndiye huyo huyo mnayemuogopa / mnayemchukia wa agano la kale, na anarudi kiagano la kale na Upanga.

Usim limit.

I AM - YHWH.
.
 
I like how these animations bring True Bible History to life:

The 10 Commandments


View: https://youtu.be/tgxws7YDk-c?si=pYtakdqNxZsR9QOR


What happened in Egypt is a shadow of what will soon happen over the whole earth.

The Great Tribulation is coming. Final attempt to bring the last generation to repentance.

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom