Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
Wewe ndo umeongea point sasa na nimekuelewa vizuri mnoo kuliko wengne wanaoongea kwa hisia lakini hawana sababu za kutetea
 
mi naammini kwamba watoto wa kiislamu hawafundishwi, wanafundishwa dini tu na jinsi ya kushika quraaan ipaswavyo!

sasa lijapo swala la academic performance wanakuwa chini kuliko mostly.

sasa kwa hiyo fact, ukilinganisha na cut off nyingi za vyuo vya umma na vinginevyo vya private, mwanya wa kupata higher learning unakuwa ni mdogo sana!!

NB! NAWASHAURI MUM WAJITOE KABISA KWENYE BODI YA MIKOPO WASITAMBULIKE!!!

swali.. hivi graduates wa mum productivity kweli makazini wanakoajiriwa? hawaletagi udini kweli?
 
Mimi Nauliza Tu! Kwani Nao Wanapokea Mikopo Kutoka Serikalini?
 
Mimi Nauliza Tu! Kwani Wanafunza Wao Nao Wanapokea Mikopo Kutoka Serikalini?
 
Mbona Vyuo Vya Taasis Za Kikristo Tunasoma Na Wakina Muhamad, Madem Zetu Ni Akina Asha Na Baadhi Ya Walimu Zetu Ni Wakina Abduli?
 
mbona chuo kukuu cha taifa zanziba kimejitoa ktk mfumo wa CAS
 

Kwa kusema hivyo una maana nayo haipo CAS?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....

Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho

Kwa mifano tueleze ni vyuo vipi vya umma vinawanyima fursa kimakusudi wanafunzi wa kiislamu kama siyo upotoshaji wa wazi wazi.
 
Kwa mifano tueleze ni vyuo vipi vya umma vinawanyima fursa kimakusudi wanafunzi wa kiislamu kama siyo upotoshaji wa wazi wazi.

Hawa utawaweza?ni waongo na wanauongea uongo kwa hisia mno!Sijui ni sehemu ya mafundisho yao?!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
marginalization- mfumo kristo

Nilijua utasema tu hayo unayosema kwa sababu ndio mnayojazana mkiwa wenyewe
Hebu niambie chuo kukuu cha Dar es salaam na Dodoma vimewezaje kubagua waislamu na kwa hoja zipi?
 
chuo kikuu cha taifa zazibar (SUZA) wao pia hawatumii mfumo wa Central Admission jee nawao pia hawachukui wanafunz wenye viwango?
 
Nyinyi mnataka 'wagalatia' wajae pale MUM?

Mbona hao mnaowaita 'Wagalatia' ndio wamewajaza nyie kwenye vyuo vyao kama Tumaini (Iringa), Sekomu (Tanga), Teku (Mbeya), Mwenge (Arusha) na SAUT (Mwanza)?. Ingekuwa na wao ni wabaguzi kama nyie unadhani hali ingekuwaje?
 

Umejitahidi kujibu ila majibu yako yameambatana na chembe za udini
 
Kama kawaida....choko choko kila kitu cha waislam.....gubu la roho mbaya limeganda nafsi zenu...

Kama tungekuwa na roho mbaya kama yako, waislamu wasingethubutu kusoma katika vyuo. Mnavyoita vya wagalatia
Mtabaki kulalamika tu, badala ya kuchukua ukweli na kuufanyia kazi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…