Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
Namaanisha sio vyuo vyote vinatumia utaratibu wa cas, mum ni chuo kikuu kinachotambuliwa na TCU. Utaratibu unaotumiwa na MUM ni utaratibu unaotambuliwa na TCU yaani mature age entry na utaratibu mwingine unaoitwa pre-entry qualification ambao mwanafunzi atafundishwa mwaka mzima atafanya mitihani nakudahiliwa endapo atafaulu. Sababu ya MUM kuto tumia cas nikwamba tcu hawafanyi selection kuzingatia dini ya mtu hivyo MUM walihofia kupelekewa wanafunzi wengi wasiwo wahitaji. Nafikiri nimeeleweka
Wewe ndo umeongea point sasa na nimekuelewa vizuri mnoo kuliko wengne wanaoongea kwa hisia lakini hawana sababu za kutetea
 
mi naammini kwamba watoto wa kiislamu hawafundishwi, wanafundishwa dini tu na jinsi ya kushika quraaan ipaswavyo!

sasa lijapo swala la academic performance wanakuwa chini kuliko mostly.

sasa kwa hiyo fact, ukilinganisha na cut off nyingi za vyuo vya umma na vinginevyo vya private, mwanya wa kupata higher learning unakuwa ni mdogo sana!!

NB! NAWASHAURI MUM WAJITOE KABISA KWENYE BODI YA MIKOPO WASITAMBULIKE!!!

swali.. hivi graduates wa mum productivity kweli makazini wanakoajiriwa? hawaletagi udini kweli?
 
Mimi Nauliza Tu! Kwani Wanafunza Wao Nao Wanapokea Mikopo Kutoka Serikalini?
 
Mbona Vyuo Vya Taasis Za Kikristo Tunasoma Na Wakina Muhamad, Madem Zetu Ni Akina Asha Na Baadhi Ya Walimu Zetu Ni Wakina Abduli?
 
St. Augustine pia hii system ya kudahili wasio na sifa ipo na inaitwa 'remedial' kwa wale ambao hawakufaulu vizuri huwahi chuoni na kusoma kwa miezi kadhaa na baada ya hapo hupewa mitihani na watakaofaulu basi hujiunga moja kwa moja na degree na kwa watakaofeli hushauriwa kujiunga na cheti.

Kwa kusema hivyo una maana nayo haipo CAS?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....

Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho

Kwa mifano tueleze ni vyuo vipi vya umma vinawanyima fursa kimakusudi wanafunzi wa kiislamu kama siyo upotoshaji wa wazi wazi.
 
Kwa mifano tueleze ni vyuo vipi vya umma vinawanyima fursa kimakusudi wanafunzi wa kiislamu kama siyo upotoshaji wa wazi wazi.

Hawa utawaweza?ni waongo na wanauongea uongo kwa hisia mno!Sijui ni sehemu ya mafundisho yao?!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
marginalization- mfumo kristo

Nilijua utasema tu hayo unayosema kwa sababu ndio mnayojazana mkiwa wenyewe
Hebu niambie chuo kukuu cha Dar es salaam na Dodoma vimewezaje kubagua waislamu na kwa hoja zipi?
 
chuo kikuu cha taifa zazibar (SUZA) wao pia hawatumii mfumo wa Central Admission jee nawao pia hawachukui wanafunz wenye viwango?
 
Nyinyi mnataka 'wagalatia' wajae pale MUM?

Mbona hao mnaowaita 'Wagalatia' ndio wamewajaza nyie kwenye vyuo vyao kama Tumaini (Iringa), Sekomu (Tanga), Teku (Mbeya), Mwenge (Arusha) na SAUT (Mwanza)?. Ingekuwa na wao ni wabaguzi kama nyie unadhani hali ingekuwaje?
 
mfumo wa TCU ulipokuja hiki chuo waliukataa na waliweka sababu za kuukataa,sababu kubwa waliyosema ni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kujiunga na chuo hicho kwa sababu ya CUT OFF POINT ZA TCU katika kudahili wanafunzi ambazo zinatokana na universal eligibility ya mtu kusoma chuo kikuu,

hivyo wakasema hawako tayari kutumia mfumo huo,kifupi walilenga watoto wa kiislam ambao wengi wao huwa wanadahiliwa pale na kati ya hao wengi huwa hawana vigezo vya moja kwa moja kudahiliwa chuoni hapo mpaka kwanza wapewe kozi fupi na wakifaulu basi wanaruhusiwa kujiunga na chuo,na wao wanatumia mfumo ule wa kuchukua wanafunzi na kuwafundisha kwa muda maalumu ili wafanye mtihani na waweze kufikisha alama za kuingia chuo,sikumbuki utaratibu huu unaitwaje,ila ulikuwa unatumika na vyuo vingi na hata sasa DIT wanautumia kwa wanaotaka kusoma diploma ila marks zao haziruhusu,sasa wangeweka TCU wao hawatumii utaratibu huu katika system maana matokeo yanayohitajika ni ya NECTA O LEVEL NA NECTA ADVANCE,hayo ya mtu kwenda kupigwa kwanza msasa kabla HAWAYATAMBUI,kwa sasa unaweza kusema kuwa wao wanachukua hata wanafunzi wasio na sifa ya moja kwa moja kujiunga chuo,ila wanawadahili baada ya kuwafundisha kozi fupi na kuwapa mtihani na wakifaulu mtihani huo basi wanadahiliwa,

sema haya mambo ya udini ndio yanaharibu na serkali waliwaogopa sijui maana kila siku hawa watu wanalalamikia serikali kuwanyanyasa na waliwaacha huku vyuo vingine wakilazimishwa kuingia TCU.

Umejitahidi kujibu ila majibu yako yameambatana na chembe za udini
 
Kama kawaida....choko choko kila kitu cha waislam.....gubu la roho mbaya limeganda nafsi zenu...

Kama tungekuwa na roho mbaya kama yako, waislamu wasingethubutu kusoma katika vyuo. Mnavyoita vya wagalatia
Mtabaki kulalamika tu, badala ya kuchukua ukweli na kuufanyia kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom