Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.

Cc kahtaan cc Mzito Kabwela cc Ritz Nicholas
 
Last edited by a moderator:

Kwa maana nyingine unakusudia kwamba waislam hawana uwezo kwenye masomo yao ukilinganisha na wakristo?...museme nyinyi tu hayo angeongea muislamu hivyo basi tayari ni mbaguzi na mdini
 
chuo kikuu cha taifa zazibar (SUZA) wao pia hawatumii mfumo wa Central Admission jee nawao pia hawachukui wanafunz wenye viwango?

Hiko sio chuo ni ubabaishaji,chuo gani hakitaki kuchukua watu wenye sifa..au sababu wenye sifa ni wagalatia
 
Ndio maana wahitimu wa Mum hawahajiriki,ni vichwa tupu hawana uwezo kichwani.
 
Hiko sio chuo ni ubabaishaji,chuo gani hakitaki kuchukua watu wenye sifa..au sababu wenye sifa ni wagalatia
Matumbo nadhan huelew nin TCU na nin CAS ucngesema hivyo. Hakuna chuo kikuu chochot hap nchin kitacho sajil wanafunz bila ya wanafunz hao majina yao kupelekwa TCU na TCI ndio wanao kipa ruhusa chuo kuwadahil hao wanafunz baada ya kuangalia km wana cfa za kujiunga na chuo hivyo ukisem kua kwa sabab hatumii (cas) hudahil wanafunz wanaotak wenyew hio co kwel.
 
Nimetoa mfano wa chuo cha serikal ya Zanzibar kinachoitwa SUZA wao walijiunga ila mwaka wa pil wakajitoa had hii leo wanadahil kwa kutumia utaratibu wa awal jee SUZA na wao walikataa mfumo huo kwa nin sasa kwa hio co MUM peke yao vpo vyuo vyengin pia hawajajiunga
 
mbon wapo ushahid chukua kitab cha graduat utan majin yao

yaah lakini uko sahihi mkuu, kuna wagalatia vihiyo ambao hawawezi kupata nafasi chuo chochote TZ except labda huko MUM, ka ujuavyo "simba hula majani ili asife njaa"
 

Mnawaonea TCU jamani, mnataka waanze kusimamia na madras?

Wanadahili wanafunzi kupitia madrasa

mkuu Mshinga umewashika pabaya sana leo islamist extremist .hawana points za kukanusha maelezo yako.kwa sasa wanaongozwa na jazba tu.subiri wengine waamke uone balaa lake.nikupe tuu taadhari uwe mvumilivu kwa kashfa utakazo kutana nazo.

wananyimwa fursa kimakusudi ktk vyuo vya umma?how?explain pls.

hiki si chuo kikuu ni madrasa

Hiko sio chuo ni ubabaishaji,chuo gani hakitaki kuchukua watu wenye sifa..au sababu wenye sifa ni wagalatia

Halafu tazama na hili jamaa hapo juu! Sijui matumbo yamesha chafuka!
Manake limeanza kuhara mfululizo bila elimu.

Nyie Wagalatia ni viumbe wa ajabu sana.
Chuki, ubinafsi, hasadi na roho mbaya itawauwa kabla ya siku zenu.

Wengi wenu mlioandika humu HAMJUI CHOCHOTE kuhusa Education system ya Hapo Tz. Basi midomo mirefu tu!

Halafu wapi ktk masharti ya vyuo vikuu LAZIMA KILA CHUO KIJIUNGE NA HUO MFUMO??

Au mnaropoka tu kwa sababu midomo mali yenu!

Yale mavyuo yenu ya kanisa mbona ugalatia kuanzia ukiingia getini mpaka hivyo vyeti vyenu vinanuka system za kigalatia! Kuna mtu katia neno!?

Nyie kwa akili zenu zisivyokuwa na busara unadhani kuna wanafunzi wataweza kusajiliwa ktk chuo chochote hapa nchini bila kusajiliwa majina yao na TCU PAMOJA NA TCI??

Na wasipofanya hivyo. Hio Ruhusa ya kuendelea na Udahini watapata wapi??

Na je! Mmeona chuo hicho tu ambacho hakifuati system hio

Vingine ambavyo pia HAVIFUATI aaaa! Sababu nini?? Ugalatia umewafunga macho.

Hebu kaulizeni je! Ni chuo hiki tu nchi Kisichofuata system hio? Na je! Kutokufuata system hio ni kinyume cha masharti yaliowekwa??

Mmesahau yule muasisi wa MFUMO KRISTO (nyerere) Mungu amlaani alivyo tengeneza system ya Kuwachuja WAISLAMU NA KUWANYIMA nafasi za kuendelea na nafasi kubwa za kielimu na badala yake kuwajaza Wagalatia ktk nafasi hizo!?

Mpaka aliposhika nafasi Mzee wetu (Profesa Kighoma Malima ) Mungu amrehemu ambae ndio aliyebadili system ili wale Wasahihi na wagawa nafasi za kielimu wasijue ktk hao wanao wasahili nani Muislamu Na nani MGALATIA!

Lkn kabla ya hapo HAKUNA GALATIA HATA MOJA LILISIMAMA LIKASEMA kuwa mfumo ule ulikuwa mbaya!

Halafu mbona pia hapo chuoni Wagalatia pia WAMO?? Kwanini basi kama nyie kama mna uchungu na Hao wala vitimoto wenzenu msiwashauri wakaacha kuendelea kusoma MADRASA??

Mnamwaga mapovu meengi. Elimu yenyewe imeishia kuabudu mungu mzungu ambae yuko nusu uchi!

Mpaka siku mkija kufahamu kuwa mungu sio mzungu!
Akili zenu zitakuwa hivyo hivyo. Na hakuna wa kuweza kuzibadilisha.

Labda itokee siku yule POPE awekwe mwafrika MWEUSI!! kitu ambacho Mzungu hawezi kukubali hata YESU AKIRUDI.

Mnfnssssssssssss!

CC CHAMVIGA
 
Last edited by a moderator:
Kwa kusema hivyo una maana nayo haipo CAS?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hapana, yenyewe ipo ila pia kuna intake ya remedial, yani kama wewe ukiwa unaingia mwaka wa kwanza utakuta kuna wenzako tayari ambao wameingia kwa mfumo huo nilioutaja.
 
nimepita tu ila sijapata jibu. Ila Muslimu noma. Good trick. Vipi na mkopo wanaomba au?
 

Wewe wacha uongo. Ungekuwa hutii chumvi usingeandika kuwa hicho ni chuo cha "kiislaam". Kumbuka MUM sio chuo cha "kiislaam" ni chuo cha Waislaam.
 

Nimekuelewa lakini nijuavyo mimi remedial bado ipo, labda kama imefutwa hivi sasa
 
chuo kikuu cha taifa zazibar (SUZA) wao pia hawatumii mfumo wa Central Admission jee nawao pia hawachukui wanafunz wenye viwango?
TETESI: historia ya kuanzishwa kwa chuo cha SUZA ina sababu zilezile,kuna mwaka nasikia zanzibar ni mwanafunzi mmoja tu ndiye alichaguliwa UDSM miaka ya 2000,wazanzibari waliwaka moto ,wakachemka kama kaa la moto kwa kulalamikia kuwa wananyanyaswa na kubaguliwa.mpaka ikabidi mkandara aende kule AKAWAAMBIA KUWA WAO HAWAKUMBAGUA MTU KUTOKA ZANZIBAR ILA KATIKA WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA KUJIUNGA UDSM NI MWANAFUNZI MMOJA TU NDIO ALIKUWA NA KIGEZO NA HUYO NDIYE ALIYEDAHILIWA. BAADA YA SOKOMOKO HILI WAZANZIBARI NDIO WAKAANZISHA CHUO CHA SUZA KWA AJILI YA WAZANZIBARI. hata kwenye mikopo HESLB ni yale yale nako wakaona hawatendewi haki,wakaanzisha ya kwao. NDIO MAANA WANAFUNZI WA ZANZIBAR WANAWEZA KUPATA MIKOPO KUTOKA ZANZIBAR AMA KWENYE MUUNGANO BILA KUJALI CHUO WANACHOSOMA KIKO WAPI
 

sisi tunawatenga wao hawatutengi

na wao wangetutenga sijui ingekuwaje? 'wagalatia'
 
yaah lakini uko sahihi mkuu, kuna wagalatia vihiyo ambao hawawezi kupata nafasi chuo chochote TZ except labda huko MUM, ka ujuavyo "simba hula majani ili asife njaa"

visent. unadhan hujui vigezo vya kuingia University hakun chuo kinachojipangia vigezo ila vigezo hua wanapangiwa na TCU na ndomaana baada ya kuchagua wanafunz wanaowatak kti ya walioomba majna na cfa zao hupeleka TCU na TCU huhakiki hayo majin pamoj na vigezo ndipo hupewa ridhaa chuo kuwadahil hao wanafunz km ingekua huchukua wanafunz wasio na cfa TCU wacngewap ridhaa ya kuwadahili na hata majin yao yasingeenda HESLB kwa kupewa mikopo kwan mikopo hitoka kwa cfa maalu c kwa kila anaengia University
 

Kimsingi chuo kinakuwa accredited kutoa degree na huwekwa sifa za mwanafunzi ili adahiliwe anatakiwa awe na sifa zipi za matokeo ya elimu ya chini yake, ila kiukweli kabisa kudahili kianalogy hakusababishi kuwa eti chuo kinachukua madrasa, labda aliyeruhusiwa Milembe anaweza kusema maneno hayo, hiyo ni sawa na kusema mtu ana TV flat screen halafu anatumia analogy system, hapo huwezi kusema TV yake ni mbovu ndo maana anatumia analogy badala ya digital! Sasa tukirudi kwenye uzi, tukiunganisha dots, utagundua hiyo CAS haisababishi moja kwa moja kuonyesha chuo ambacho hakifuati mfumo huo basi wanafunzi wanaodahiliwa wanakuwa failures.
 
Wewe wacha uongo. Ungekuwa hutii chumvi usingeandika kuwa hicho ni chuo cha "kiislaam". Kumbuka MUM sio chuo cha "kiislaam" ni chuo cha Waislaam.
NA WEWE UMEUNGA TELA.
twende kazi.

hiki chuo ni cha kiislam na wamiliki wake ndio waislam.

SOMA JINA LENYEWE TU LA CHUO LIMEANDIKWA.
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.

kama unajua kidogo kiingereza hebu tafsri kwa kiswahili hiki chuo kinaitwaje kama ama utasema ni
1.CHUO CHA WAISLAMU ama ni
2. CHUO CHA KIISLAMU?


HIKI CHUO NI CHA WAISLAM KATIKA MISINGI YA KIISLAMU NA NDIO MANA TUNASEMA NI CHA KIISLAMU
PIA NI KWA AJILI YA WAISLAMU HASA WA NCHI HII NA SI KWA AJILI YA JAMII YOTE BILA UBAGUZI.
humuhumu ubaguzi umeandikwa hadharani,lakini vyuo vilivyo chini ya mashirika ya kikristu havibagui kuelimisha wakristu tu bali vinaelimisha jamii

UKIINGIA KWENYE WEBSITE YAO KUNA MANENO HAYA NAOMBA USOME .


Objects

The objects of the Muslim University of Morogoro (MUM) are to advance education through a variety of patterns, levels and modes of study and by a diversity of means by encouraging and developing learning and creativity, for the benefit of the community specifically the Muslim community in the United Republic of Tanzania and beyond; to preserve, advance and disseminate knowledge and culture through teaching, scholarship and research, and to make available the results of such research; and to promote wisdom and understanding by example and, to develop the character of its students and staff by virtue of its corporate life guided by Islamic moral values.

Vision

Muslim University of Morogoro to be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes, responsive to the needs of the individual and the nation in a globalised world under the guidance of Islamic moral values.
 

suali langu kwa hio SUZA na wao hudahili watu waco na cifa ya kujiunga na university kwa kua hawatumii (cas) na suala la kuanzishwa kwa bodi ya mkopo km hujui zanzibar ina serikal tofaut na Tanganyika ambayo inatumia serikali ya muungano kwa kila kitu ila wazanzibar wao huhudumiwa na serikali yao peke yao na pia wana haki kuhudumiwa katk serikali ya muungano kam lilivyo jina la serikal kwahio na wao waTanganyika wanawez kuanzisha bodi yao pale tu watapikua wanaserikal yao ila serikali ya muungani ni serikali ya Tanzania na maana ya Tanzania ni muungano wa Nchi mbili huru yaani Tanganyika na Zanzibar nadhan umenisoma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…