Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.

Kama kingekua kwa ajili ya waislam kisingepata usajili kwan ktk nchi yetu yaTz haziruhusiwi taacc za umma zinazotoa huduma kwa kuangalia udini. Muslim maana yake Waislam
 
hivi unaweza kuwa umefaulu vizuri ukachagua kwenda MUM? seriously i dont think so
 
Kama kingekua kwa ajili ya waislam kisingepata usajili kwan ktk nchi yetu yaTz haziruhusiwi taacc za umma zinazotoa huduma kwa kuangalia udini.
mbona cha kwenu kimesajiliwa?mbona seminary za kikatoliki zimesajiliwa?mbona seminary za kiislam zimesajiliwa?
tatizo lako una uelewa mdogo sana na hujui mambo mengi.

kwenye vyama vya siasa ndio hawaruhusu chama chenye misingi ya udini.

unafikiri SAMWELI LUHAGA alipenda kutumia jina hili?hata leo huwezi kuona mkristo anaruhusiwa kusoma seminary ya kiislam na huwezi kuona muuislam anaruhusiwa kusoma seminary ya kikristo labda wabadili majina kama alivyofanya SAMWELI LUHAGA

Muslim maana yake Waislam
KWELI WEWE HUJUI KITU.

MUSLIM=MUISLAM
MUSLIMS=WAISLAM

msingi wa hiki chuo kuwa cha kiislam uko hapa.

Muslim University of Morogoro to be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes, responsive to the needs of the individual and the nation in a globalised world under the guidance of Islamic moral values.


tena soma maneno haya

The objects of the Muslim University of Morogoro (MUM) are to advance education through a variety of patterns, levels and modes of study and by a diversity of means by encouraging and developing learning and creativity, for the benefit of the community specifically the Muslim community in the United Republic of Tanzania and beyond; to preserve, advance and disseminate knowledge and culture through teaching, scholarship and research, and to make available the results of such research; and to promote wisdom and understanding by example and, to develop the character of its students and staff by virtue of its corporate life guided by Islamic moral values.

hapo inaeleweka wazi kuwa chuo hiki wamiliki wake ni waislam,misingi ya chuo ni ya kiislam na walengwa ni jamii ya waislam.
maneno hayo ya kiingereza yapo kwenye maelezo ya chuo kwenye website yao.
 

kuhusu ufaulu wa kujiunga na SUZA sielewi na mimi huwa sizungumzi kama sijui,kwa hapo sina jibu mana sijawahi kusikia sababu za kwa nini SUZA haijajiunga TCU.

KUHUSU BODI YA MIKOPO.
natambua mfumo wa muungano ulivyo,lakini sababu za kuanzishwa kwa bodi ya mikopo zanzibar ni kutokana na malalamiko ya wanzibari na si kutokana na mipango ya serikari ya zanzibar,wao waliona wanaonewa.
 

Halafu tazama na hili jamaa hapo juu! Sijui
matumbo yamesha chafuka!
Manake limeanza kuhara mfululizo bila elimu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana wahitimu wa Mum hawahajiriki,ni vichwa tupu hawana uwezo kichwani.

Sasa unataka kusema wanaenda kufundishwa kuwatunza wake wanne kwenye ndoa na sio kung'amua mafumbo? Usiwadharau watu wa MUM.
 


Hata km walengwa ni waislam lkn wakristo mbon wapo wanasom cha msing ni kuangalia mode of delivery materio na islamic value lazm ufuate unapokua Mum hawaruhus watu kuvaa uchiuchi ila walim wa mum ndio hao hao wanaosomesha udom na hat udism
 
Hata km walengwa ni waislam lkn wakristo mbon wapo wanasom cha msing ni kuangalia mode of delivery materio na islamic value lazm ufuate unapokua Mum hawaruhus watu kuvaa uchiuchi ila walim wa mum ndio hao hao wanaosomesha udom na hat udism

tatizo hueleweki unasimamia hoja ipi?mbona unayumba sana?ama umepoteza mwelekeo baada ya kukubana na hoja zako za ajabuajabu?

swala la kuvaa uchi linatoka wapi tena kwenye mada hii?watu wengine bwana?

ngoja nikufundishe kitu.
katika mabishano ama majadiliano lazima kunakuwa na hoja ya msingi ambayo lazima ipatiwe hitimisho na wanaojadiliana wanapaswa kujitahidi wasiwe wanaibua mada zingine na kuhamisha mjadala na mwisho kila kitu hakitapatiwa hitimisho.

mada ilitaka tu kujua kwa nini MUM haipo TCU,majibu yangu yalimaliza hoja nilipoweka wazi sababu zilizotolewa na mkuu wa chuo hicho,watu wakabisha lakini mwishowe wameelewa na wamelainika ukiwemo na wewe.

sasa wakaanza kuibua mada zingine ambazo nazo nimezikabili vilivyo.

sasa hapa tena badala ya kukubali kuwa CHUO CHENU NI CHA KIISLAM unataka kuanzisha mada nyingine,

pia mimi huwa sikwepi kujibu hoja yoyote.

majibu yako kuhusu mavazi.

kama chuo hakitaki wanafunzi wake wavae nguo fupi huku wanafunzi wenyewe wanataka kuvaa nguo fupi tafsiri yake ni nini?
ukinuuliza mimi nitakwambia,hao waislam wameshindwa kuwalea watoto wao katika misingi ya kiislam ili wavae wenyewe nguo ndevu kwa hiari yao baada ya kulelewa kwa moral hizo na kuzikubali kama sehemu ya maisha yao.

sasa kama mnalazimisha watu kuvaa nguo ndefu huku wao hawataki alafu ni watu wazima hamuoni kama ni tatizo?ni bora kama wangekuwa watoto,je na ngono mnawalinda wasigegedwe ama wasigegedane?

misingi yoyote inayoambatana na vitisho kwa watu wazima haifai,

unamzuia msichana kuvaa mini skirt chuoni lakini mtaani anavaa,huu ni ujinga maana itakuwa ni ishara kuwa mafundisho hayakuwepo ila vitisho tu ndio vinawafanya wasivae nguo fupi.

njia nzuri ya kumwelekeza binadamu ni kumwelewesha alafu yeye mwenyewe aamue kubadilika kwa hiari yake.
 

mkuu acha kupotosha.. the fact is MUM inadahili wanafunzi directly then hupeleka majina na alama za wadahiliwa TCU ili ziwe APPROVED ACCORDING TO TCU ADMISSION REQUIREMENTS..haiwezekani kudahili mwanafunzi mwenye alama zisizostahili/ndogo...
........THE ISSUE IS THEY ARE TRYING ATLEAST TO GET A FAIR NUMBER OF MUSLIMS STUDENTS BEING ADMITTED TO UNIVERSITIES...BARE IN MIND NI CHUO PEKEE CHA WAISLAMU NCHINI KITOACHO DEGREE. tena hakichukui big number compared to other religious higher learning institutions....despite there are some christian students who are admitted in every year of study
***HAKUNA PRE-ENTRY COURSE FOR THOSE LOWLY GRADED STUDENTS PALE ...KINACHOFANYIKA NI NORMAL ADMISSION PROCEDURE (direct & mature entry)....
-------------''
##unajua s'times tunaweka ubishi usio wa lazima ..kuna vyuo kadhaa visivyofuata utaratibu wa CAS katika kudahili wanafunzi...
____________
IT WAS NICE SHARING SOME POINT OF VIEWS WITH YOU MR Mshinga
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Kuna mgalatia anayeweza kujiunga na MUM?
Mmmh kwa sasa sidhani kama inawezekana. Mwaka 2005 wakati chuo ndio kinaanza wapo 'wagalatia' wachache walifanikiwa kudahiliwa ila kilichowakuta hawatakisahau!!

Kwa sasa ni kitu kigumu sana, labda kwa ujanja ujanja sana na ukigundulika sijui itakuwaje?

Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:
1/Udahili wake ni wa kienyeji sana tena kimsikiti ile mbaya.

2/Kanuni, taratibu na utamaduni wa maisha ya kichuoni ni wakiislam kabisa.
Kwa mfano kuswali, mavazi, Mahusiano, Majadiliano nk.

3/Yapo masomo ya kiislam na hayo ni muhimu na lazima kila mwanafunzi ayachukue haijalishi kozi unayosoma.

Mkuu kifupi fahamu tu MUM ni chuo cha KIISLAM na sio mahali pa 'Kigalatia'.
 
 
Last edited by a moderator:
SAUT cut point zao zilikuwa juu sana kuliko za serikali/TCU wakawa wanatumia Redial programme ili wapate sifa sawa, ila mwaka jana TCU walishusha point zaidi (nadhani hapa wote ni mashihidi wa hiki kizazi, ni full vilaza) na SAUT walijukuta wanafunzi wao wa remedial wanavigezo moja kwa moja. Hivyo walipigwa msasa wa kutosha na kufanya mitihani then wakawa admitted.Ila pia majina yao hutumwa TCU ili kukeep records za wanafunzi. Ukweli ni kwamba hii CENTRAL ADMISSION SYSTEM Ina effect kubwa kwa vyou vya binafsi kwani TCU wamekuwa na upendeleo kwa vyuo vya serikali. Idadi ya wanafunzi ikiendelea kupungua kwa vyuo vyote Vya binafsi mwaka huu sep/Oct ninauhakika na wao watakuja kujitoa na kuadmit wao wenyewe na kuwatumia TCU majina watu walio kuwa admitted. Mf kuna wanafunzi wengi waweza kuwa wanahitaji kujiunga SAUT ila TCU wakampanga mtu huyu UDOM.
 
Hata km walengwa ni waislam lkn wakristo mbon wapo wanasom cha msing ni kuangalia mode of delivery materio na islamic value lazm ufuate unapokua Mum hawaruhus watu kuvaa uchiuchi ila walim wa mum ndio hao hao wanaosomesha udom na hat udism

MKuu hawa wala vitimoto si wivu ndio unaowakuna!?

Mipovu wanamwaga ovyo wakati kuna migalatia kibaao inasomeshwa na hao hao waislamu.
Hii mijitu iloshazoea mikwaju ya wazungu! Eti mtu mzima na busara zake anuziwa picha ya mungu! Halafu anaiweka chumbani akaipiga na busu!
Halafu eti wakati wa kubadili nguo anaifunika isimchungulie!

Teh teh teh teh!
Wallahi dunia hii kuna binaadamu
Wana akili ndogo kuliko Panya!
 
mawazo mengine ukiyasoma unapata mashaka kama aliye andika alikuwa mzima kwanza tujiulize kabla ya kuchangia je tunayo orodha ya vyuo vilivyojiunga tcu na jee vyuo havitumii utaratibu wa zamani kudahili.na jee mum kimesajiliwa na tcu au bado au kila cha waislam ni madrasa? je kwenye soko la ajira wanashindwa kushindana na vyuo vingine.msiwe wajinga subirin muone kama ni madrasa au ni chuo kwa kuangalia competence unafikiri hata kama umesoma ud na ukafaulu kwa msaada wa chupi na huna unachokijua watakuchukua tu sabab ni wa SAUTI au yanayo wakuta wa tumaini hamuyaoni
 

listen mkuu.. kuhusu dress code and some moral values suala ni hili
***wote tunakubaliana dini zote zinahimiza matendo mema na hata mavazi yenye staha pia... thats why tunaona watumishi wa mungu kwa dini zote mavazi yao ni very decent......TATIZO KUUU NI NAFSI NA UTASHI BINAFSI WA WANADAMU...lakini hili la kukiuka maadili kwa makusudi(na hii ndio hali ilivyo watu wamekuwa wanafanya kusudi kwenda kinyume na mafundisho ya kiimani) haliwafanyi watumishi kuacha kihimiza matendo mema....
KAMA MZAZI AMBAE ATAKULEA KWA SHERIA ZAKE NYUMBANI KWAKE...NDIO MUM na baadhi ya vyuo vya vinavyomilikiwa na madhehebu ya dini .vilivyoweka taratibu zao...THE POINT IS KWA KUWA WEWE NI MTU MZIMA UNAONJESHWA AINA YA MAISHA YA KUTII TARATIBU ZA KIIMANI..ILI UKIMALIZA KUSOMA UKAJIAMULIE MAISHA UTAKAYOISHI (HUKU UKIJUA HATMA YAKO ITAANGUKIA WAPI KIIMANI IN THE LIFE AFTER DEATH) ITS ONES CHOISE KUFUATA NAFSI AU MUNGU NA MAFUNDISHO YAKE....
and believe me it works sometimes...lazma kuna some effects utazipata....
.......so suala la mavazi limeainishwa wazi kwenye stds code of conductt....na kugegedana ni ruksa kwa wanandoa...zinaa imekatazwa (wapo wanaofukuzwa wakipatikana na ushahidi kamilifu).....
.......PAMOJA NDUGU
 
mkuu acha kupotosha.. the fact is MUM inadahili wanafunzi directly then hupeleka majina na alama za wadahiliwa TCU ili ziwe APPROVED ACCORDING TO TCU ADMISSION REQUIREMENTS..haiwezekani kudahili mwanafunzi mwenye alama zisizostahili/ndogo...

KWA HIYO MAELEZO YA MKUU WA CHUO YALIKUWA YA UONGO?

........THE ISSUE IS THEY ARE TRYING ATLEAST TO GET A FAIR NUMBER OF MUSLIMS STUDENTS BEING ADMITTED TO UNIVERSITIES...

MBONA HII SABABU HAIKUTAJWA NA MTOA TAARIFA AMBAYE MIMI NIMEFANYA KUELEZA TU SABABU ALIZOTOA?
wewe haya ni mawazo yako ama ni taarifa rasimi ziliwahi kutolewa na chuo?maana inaonekana sijaeleweka niliposema mkuu wa chuo ndiye aliyetoa maelezo haya.
swala hapa siyo uwezo wa kujenga hoja,swala ni nini sababu?ambazo tayari zilishatolewa na ziko wazi,kama ni kujenga hoja na mawazo binafsi hilo ni swala jingine na tukifika huko sina hofu pia maana niko vizuri tu.


BARE IN MIND NI CHUO PEKEE CHA WAISLAMU NCHINI KITOACHO DEGREE. tena hakichukui big number compared to other religious higher learning institutions....despite there are some christian students who are admitted in every year of study

kwani kuwa chuo chini ya taasisi ya kidini ni tatizo,hapa naona kuna ubaguzi wa wazi kabisa ambapo kama na vyuo vya kikristu wakitaka wadahili wanafunzi wengi kwa kigezo cha wakristo na ukristo kwanza alafu waislam baadae unafikiri hali itakuwaje na wewe mwenyewe unakiri kuwa chuo kile uwezo wake ni mdogo?

kuna mambo mengine yanafanyika ya kijinga alafu yanafumbiwa macho na haya mambo ndio yanaendelea kutugombanisha dini hizi mbili. hakuna chuo kinachomilikiwa na wakristo ambacho kimeweka bayana kuwa kipo kwa ajili ya wakristo na jamii ya kikristo.
hii ni hatari na huu ni ubaguzi unaofanywa na hii taasisi.

ina mana vyuo vyote ingebidi wakatae kujiunga na TCU ili wawasaidie watu wa dini zao.

wakati mwingine inabidi waislam watumie akili ya kawaida kuona mambo na si kutumia mihemuko na maneno ya kulishwa.

***HAKUNA PRE-ENTRY COURSE FOR THOSE LOWLY GRADED STUDENTS PALE ...KINACHOFANYIKA NI NORMAL ADMISSION PROCEDURE (direct & mature entry)....
-------------''

nauliza tena,kwa hiyo niamini mkuu wa chuo alikuwa muongo?

##unajua s'times tunaweka ubishi usio wa lazima ..kuna vyuo kadhaa visivyofuata utaratibu wa CAS katika kudahili wanafunzi...

inawezekana vipo na kikingine kimetajwa kuwa ni SUZA CHA ZANZIBAR,lakini kabla ya kusema haya inabidi uelewe mada hii ililenga nini?maana haiwezekani wote wakawa na sababu za kufanana,lakini mimi vyuo ninavyovijua vyote vya kikristo vipo kwenye CASS. lakini yote ya yote mjadala ilikuwa ni MUM
____________
IT WAS NICE SHARING SOME POINT OF VIEWS WITH YOU MR Mshinga
THANKS FOR YOUR APPRICIATION,YOU ARE GREAT at least I can have a decent argument with you to reach a conclusion as you are fair.
 
Acheni kubwabwaja, hakuna mwenye division four anayechkuliwa mum, chuo kinachkua wanafunzi walio kidhi vigezo vya kujiunga na elimu ya juu na sio nizo porojo zenu. Kuhusu imani nadhani mum kuna wanafunzi wakristo kibao ambao hata mm nmesoma nao pale mum. Hv shule zenu za waseminarist ambazo zilikuwa zinachkua wanafunzi walio batizwa tuu na kupata kipaimara mbona hamzidis......ya Mungu mengi, Wagalatia yao nguruwe.....
 
1*KUHUSU UONGO WA MAELEZO YA
MKUU WA CHUO...
____________________
mkuu i was there 2007/2010...kipindi hicho
system ya CAS inakuwa introduced miaka ya
2009/2010 kama sikosei ..i've heard several
speeches myself (eye witness)...could you be
kind enough utuwekee hayo maelezo ya
huyo unayemwita mkuu wa chuo?? (frankly
speaking hii issue ilitolewa maelezo na dvc-
prof njozi)
2.KUHUSU FAIR NO OF MUSLIM STDS
________________
rejea majibu yangu no:1....ndugu yangu
tuwe wakweli una mtoto wa ndugu yako wa
damu na mtoto wa mtu baki..unauwezo wa
kumsaidia mmoja tu utamchukua yupi?
(NIJIBU)..na wote wana vigezo sawa...
ukiweza kubeba watatu ..wawili itakuwa
ndugu mmoja wa mtu baki....
SO HILI SUALA LA KUDAHILI HILI LIKO
WAZI (I WAS THERE AS AN EYE WITNESS)
3.KUHUSU KUDAHILI WATU WA DINI MOJA
ZAIDI
_______________
sheria ya vyuo vikuu Tanzania ni lazma
udahili watu wa dini/imani zote...
ILA HAPA KUNA KITU KINAITWA RATIO/
UWIANO ....let say katika 10 ratio itakuwa
7:3
HUWEZI KUKATAA VYUO VYOTR
VINAVYOMILIKIWA NA MADHEHEBU YA
DINI havidahili in a definite same ratio...si
tumaini..saut..teku..st.john.. etc ingawa tcu-
cas lakini bado ratio ya christians na muslims
haiko balanced.....let the fact speak for
themselves
4.HAKUNA PRE ENTRY
__________________
nipestie news source please.... I CAN
ASSURE YOU ITS A BIG LIE DUDE.. and im
ready to be held accountable...i was there
meeeeen n still keeping tab on what going
on over there
5..KUHUSU MUM KUTOKUWA CAS
______________
wewe mwenyewe umetoa sababu kuwa
SUZA wazenji walichachamaa mwaka ambao
walikosa udahili wa wasomi wao vyuo vya
serikali/bara....(sina uhakika na hii sababu uliyoitoa hapo juu)
MUM ina sababu zake naomba upitie tena
comment zangu za mwanzo utaona chache
nimeziweka...
SABABU HAZIFANANI...ndugu yangu
chuo chenyewe ni kimoja tuuuu in the whole
big country like tz whereby vya mashehebu
mengine viko zaidi ya ishirini.... HAVE FAITH
KIDOGOOOOO... nyumba yako inapokea
watu mia moja ukabeba ndugu 80 watu baki
20 mwenzio kanyumba kake kadogo cha
watu ishirini naye kachukua ndugu 15 watu
baki 5.....
________________
NAHESHIMU COMMENTS ZAKO NDUGU
YANGU Mshinga ....thanks for some
complements u gave me lastly..i realy
appreciate...
 
Wanaodahiliwa mum hawana sifa stahiki za kusoma university na hata kama wanazo hawawezi kuingia kwenye ushindani.

Hivi kwanini mnapenda kutunga uongo usiokuwa na Tija??? Umewahi kumit na kufanya dialogue na mtu yeyote kutoka MUM ili uverify statement yako??? Mi nadhani u r scared of students from Mum,Mimi nimesoma MUM,na ss hv ni Juzi tu Nilikua mwalimu wa shule ya sekondari,ndani ya miezi sita ya kuajiriwa kwa.fu bcoz of my performance,NImetolewa shuleni na sasa Niko ofisi ya elimu sekondari ya manispaa kwa cheo cha AFISA ELIMU TAALUMA MSAIDIZI,nikiwa cjamaliza hata mwaka kazini,na wakati huo huo nilifaulu kwenye interview ya TUTORIAL ASSISTANT pale UDSM out of 127 candidates fighting for 1 chance ,acha KUUDANGANYA UMMA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…