saidhafidh
Senior Member
- Apr 10, 2013
- 119
- 8
NA WEWE UMEUNGA TELA.
twende kazi.
hiki chuo ni cha kiislam na wamiliki wake ndio waislam.
SOMA JINA LENYEWE TU LA CHUO LIMEANDIKWA.
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.
kama unajua kidogo kiingereza hebu tafsri kwa kiswahili hiki chuo kinaitwaje kama ama utasema ni
1.CHUO CHA WAISLAMU ama ni
2. CHUO CHA KIISLAMU?
HIKI CHUO NI CHA WAISLAM KATIKA MISINGI YA KIISLAMU NA NDIO MANA TUNASEMA NI CHA KIISLAMU
PIA NI KWA AJILI YA WAISLAMU HASA WA NCHI HII NA SI KWA AJILI YA JAMII YOTE BILA UBAGUZI.
humuhumu ubaguzi umeandikwa hadharani,lakini vyuo vilivyo chini ya mashirika ya kikristu havibagui kuelimisha wakristu tu bali vinaelimisha jamii
UKIINGIA KWENYE WEBSITE YAO KUNA MANENO HAYA NAOMBA USOME .
Objects
The objects of the Muslim University of Morogoro (MUM) are to advance education through a variety of patterns, levels and modes of study and by a diversity of means by encouraging and developing learning and creativity, for the benefit of the community specifically the Muslim community in the United Republic of Tanzania and beyond; to preserve, advance and disseminate knowledge and culture through teaching, scholarship and research, and to make available the results of such research; and to promote wisdom and understanding by example and, to develop the character of its students and staff by virtue of its corporate life guided by Islamic moral values.
Vision
Muslim University of Morogoro to be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes, responsive to the needs of the individual and the nation in a globalised world under the guidance of Islamic moral values.
Kama kingekua kwa ajili ya waislam kisingepata usajili kwan ktk nchi yetu yaTz haziruhusiwi taacc za umma zinazotoa huduma kwa kuangalia udini. Muslim maana yake Waislam