Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
Kilipoanzishwa chuo kikuu cha waislamu morogoro kilikuwa na lengo la kuwakomboa waislamu ambao mfumo uliwaacha nyuma kielimu kwa kudai hawakuwa wakitaka kusoma hvyo chuo kiliamua kufanya udahili chenyewe bila kujiunga na tcu,kwani waliokuwa wanawahitaji ni waislamu kwa mfumo wa tcu unachagua mtu yoyote ingawa hata udahili huo unadahili wasio waislamu ila kwa kiwango kidogo ila mum hawajijitoa tcu na hawataweza kufanya hvyo kwani elimu ya vyuo vikuu inasimamiwa na tcu(tafuta cheti uondoke)
 
hivi unaweza kuwa umefaulu vizuri ukachagua kwenda MUM? seriously i dont think so

I scored division One ya point 6 nokapiga chini UDSM,UDOM IFM nikaenda MUM and m proud ed my decision
 
Kilipoanzishwa chuo kikuu cha waislamu morogoro kilikuwa na lengo la kuwakomboa waislamu ambao mfumo uliwaacha nyuma kielimu kwa kudai hawakuwa wakitaka kusoma hvyo chuo kiliamua kufanya udahili chenyewe bila kujiunga na tcu,kwani waliokuwa wanawahitaji ni waislamu kwa mfumo wa tcu unachagua mtu yoyote ingawa hata udahili huo unadahili wasio waislamu ila kwa kiwango kidogo ila mum hawajijitoa tcu na hawataweza kufanya hvyo kwani elimu ya vyuo vikuu inasimamiwa na tcu(tafuta cheti uondoke)
 
Mkuui Niambie mkuu wa chuo cha MUM alisema maneno haya Wapi lini na Katoka tulip gani?? If possible km una document ya maneno ALIYOYASEMA MWENYEWE YAATACH HAPA,paraphrasing is not allowed on proving important thesis,otherwise u r little pretty liar
 
na huko zenji ndiko alikotoka waziri wa fedha wa jk .kazi tunayo
 
mkuu punguza jazba...rudi kwenye hoja ya msingi basi
 
Kumbuka MMUM wanatoa degree ya sharia Na mambo mengine yanayohusu dini katika mfumo huo wa Elimu vijana wanaotoka madrasa wanaweza kwenda kujiunga Na chuo hicho. Serikali haitambui sifa hizo za kidini ndio mana MMUM wanafanya udahili wa aina hiyo
 
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Mbona Vyuo Vya Taasis Za Kikristo Tunasoma Na Wakina Muhamad, Madem Zetu Ni Akina Asha Na Baadhi Ya Walimu Zetu Ni Wakina Abduli?

Dah kaka wakikusikia jamaa,,wewe kafiri afu anagegeda mabinti wa baibui itakuwa kesi. Hata kama wanazileta wenyewe kwa makafiri. Mia
 
TCU ni panga jingine badala ya lile la Necta . Hivyo chuo lengo lake kuu ni kuwawezesha waislam kupata elimu ya juu. Mfumo uliopo ni mbovu na wa upendeleo. Waislam wamelalamikia sana madudu ya necta lakini hakuna mtu anajali.
Hivyo hii TCU ni mfumo mwengine wa kupendelea baada ya kuona kuna vyuo vingi vya private ambavyo havijali udini wao ni biashara na kusomesha tu.
Hivyo waislam waliukataa mfumo huu kwa sababu hawa uamini .....hii ndio sababu full stop...na laiti kama wakikubali masharti ya Tcu basi ungeona waislam wangekua wachachr pale. Hii ndio fact.
 
Kumbuka MMUM wanatoa degree ya sharia Na mambo mengine yanayohusu dini katika mfumo huo wa Elimu vijana wanaotoka madrasa wanaweza kwenda kujiunga Na chuo hicho. Serikali haitambui sifa hizo za kidini ndio mana MMUM wanafanya udahili wa aina hiyo

Kwanza we mbulula sana,,,sio MMUM ni MUM,kama huji kaa kimya sio kutokwa povu hapa..kafirir mkubwa wewe.
 
Ur genius,wise n a great thinker.. society needs people like u
 
Hawa jamaa vitu vyao vyote ni 100% substandard kuanzia sekondari zao kama bondeni arusha, seminari zao hadi madrasa yao Kuu (MUM)
 
Kwanza we mbulula sana,,,sio MMUM ni MUM,kama huji kaa kimya sio kutokwa povu hapa..kafirir mkubwa wewe.

Hahah sasa brother hapa umekosoa nilivyo kosoa jina lakini hujakosoa point yangu Mimi ninavyojua mtu mwenye akili timamu huwa anakosoa vitu Kwa kuzungumza kitu ambacho kipo sawa lakini wewe ni tofauti. MuM hawatoi shahada ya Islamic Sharia? MuM hawatoi shahada ya hadith Na mambo kama Hayo? Wanafunzi wa course hizo bara wanawatoa wapi? Kama sio mfumo niliouzungumza. Tatizo kaka ukisikia madrasa unaona ni vitu dhalili mashekh wote duniani wametokana Na mfumo wa madrasa Na ukumbuke madrasa sio informal education but is formal education. Mtume (SAW)alisema kama huna jambo zuri la kusema nafuu ukae kimya. Vilevile nikisema mwenye akili ni Kwa mujibu wa Quran
 
wamejaa ubinafsi,udini na chuki wanataka wachaguane vilaza watupu ili wakijazana ujinga waweze kujilipua kiurahisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…