Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

Status
Not open for further replies.
Kilipoanzishwa chuo kikuu cha waislamu morogoro kilikuwa na lengo la kuwakomboa waislamu ambao mfumo uliwaacha nyuma kielimu kwa kudai hawakuwa wakitaka kusoma hvyo chuo kiliamua kufanya udahili chenyewe bila kujiunga na tcu,kwani waliokuwa wanawahitaji ni waislamu kwa mfumo wa tcu unachagua mtu yoyote ingawa hata udahili huo unadahili wasio waislamu ila kwa kiwango kidogo ila mum hawajijitoa tcu na hawataweza kufanya hvyo kwani elimu ya vyuo vikuu inasimamiwa na tcu(tafuta cheti uondoke)
 
hivi unaweza kuwa umefaulu vizuri ukachagua kwenda MUM? seriously i dont think so

I scored division One ya point 6 nokapiga chini UDSM,UDOM IFM nikaenda MUM and m proud ed my decision
 
Kilipoanzishwa chuo kikuu cha waislamu morogoro kilikuwa na lengo la kuwakomboa waislamu ambao mfumo uliwaacha nyuma kielimu kwa kudai hawakuwa wakitaka kusoma hvyo chuo kiliamua kufanya udahili chenyewe bila kujiunga na tcu,kwani waliokuwa wanawahitaji ni waislamu kwa mfumo wa tcu unachagua mtu yoyote ingawa hata udahili huo unadahili wasio waislamu ila kwa kiwango kidogo ila mum hawajijitoa tcu na hawataweza kufanya hvyo kwani elimu ya vyuo vikuu inasimamiwa na tcu(tafuta cheti uondoke)
 
kwa hiyo mkuu wenu wa chuo alidanganya kwa kutoa sababu za uongo?


haki ya nani waislamu wengi mtaendelea kukosa elimu kwa maneno haya mnayolishwa na kuyameza kama ngisi.

hakuna mwisilamu aliyenyimwa fursa ya kusoma chuo cha umma hata mmoja kwa kigezo cha uislamu wake.

udsm wapo kibao,udom wapo kibao,tena wengine wapo wanasoma kwenye vyuo vya makafiri na tunasoma nao huku vizuri.

kwa hiyo ile system ya TCU YA CASS ilitengenezwa kuwabaini waislamu na kuwanyima fursa?je hao waliochaguliwa kuingia vyuo vya umma wao walitumia tunguli ama nini maana kama system inawabagua basi hata mmoja asingepenya kuingia vyuo vya umma?


kwa hiyo unataka kusema sababu hizi ulizotoa ndizo ambazo mkuu wa chuo alisema kwa umma na kuzipeleka TCU KUWA WAISLAMU WANANYIMWA FURSA VYUO VYA UMMA?

hizo ni assumption za kijinga na kama ndivyo basi hizi ni sababu za nyuma ya pazia ambazo wewe ndo unazijua lakini mkuu wako wa chuo hakutaja kabisa sababu hii bali alitaja sababu niliyoieleza na kifupi ni kwamba wanachukua wanafunzi wengi ambao hawana sifa na ndio maana wakata wawachague wenyewe kwa kozi na kwa majina,jina likionekana ABDALLA TU basi una nafasi kubwa ya kupenya na kusoma.

Mkuui Niambie mkuu wa chuo cha MUM alisema maneno haya Wapi lini na Katoka tulip gani?? If possible km una document ya maneno ALIYOYASEMA MWENYEWE YAATACH HAPA,paraphrasing is not allowed on proving important thesis,otherwise u r little pretty liar
 
TETESI: historia ya kuanzishwa kwa chuo cha SUZA ina sababu zilezile,kuna mwaka nasikia zanzibar ni mwanafunzi mmoja tu ndiye alichaguliwa UDSM miaka ya 2000,wazanzibari waliwaka moto ,wakachemka kama kaa la moto kwa kulalamikia kuwa wananyanyaswa na kubaguliwa.mpaka ikabidi mkandara aende kule AKAWAAMBIA KUWA WAO HAWAKUMBAGUA MTU KUTOKA ZANZIBAR ILA KATIKA WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA KUJIUNGA UDSM NI MWANAFUNZI MMOJA TU NDIO ALIKUWA NA KIGEZO NA HUYO NDIYE ALIYEDAHILIWA. BAADA YA SOKOMOKO HILI WAZANZIBARI NDIO WAKAANZISHA CHUO CHA SUZA KWA AJILI YA WAZANZIBARI. hata kwenye mikopo HESLB ni yale yale nako wakaona hawatendewi haki,wakaanzisha ya kwao. NDIO MAANA WANAFUNZI WA ZANZIBAR WANAWEZA KUPATA MIKOPO KUTOKA ZANZIBAR AMA KWENYE MUUNGANO BILA KUJALI CHUO WANACHOSOMA KIKO WAPI

na huko zenji ndiko alikotoka waziri wa fedha wa jk .kazi tunayo
 
MKuu hawa wala vitimoto si wivu ndio unaowakuna!?

Mipovu wanamwaga ovyo wakati kuna migalatia kibaao inasomeshwa na hao hao waislamu.
Hii mijitu iloshazoea mikwaju ya wazungu! Eti mtu mzima na busara zake anuziwa picha ya mungu! Halafu anaiweka chumbani akaipiga na busu!
Halafu eti wakati wa kubadili nguo anaifunika isimchungulie!

Teh teh teh teh!
Wallahi dunia hii kuna binaadamu
Wana akili ndogo kuliko Panya!

mkuu punguza jazba...rudi kwenye hoja ya msingi basi
 
mfumo wa TCU ulipokuja hiki chuo waliukataa na waliweka sababu za kuukataa,sababu kubwa waliyosema ni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kujiunga na chuo hicho kwa sababu ya CUT OFF POINT ZA TCU katika kudahili wanafunzi ambazo zinatokana na universal eligibility ya mtu kusoma chuo kikuu,

hivyo wakasema hawako tayari kutumia mfumo huo,kifupi walilenga watoto wa kiislam ambao wengi wao huwa wanadahiliwa pale na kati ya hao wengi huwa hawana vigezo vya moja kwa moja kudahiliwa chuoni hapo mpaka kwanza wapewe kozi fupi na wakifaulu basi wanaruhusiwa kujiunga na chuo,na wao wanatumia mfumo ule wa kuchukua wanafunzi na kuwafundisha kwa muda maalumu ili wafanye mtihani na waweze kufikisha alama za kuingia chuo,sikumbuki utaratibu huu unaitwaje,ila ulikuwa unatumika na vyuo vingi na hata sasa DIT wanautumia kwa wanaotaka kusoma diploma ila marks zao haziruhusu,sasa wangeweka TCU wao hawatumii utaratibu huu katika system maana matokeo yanayohitajika ni ya NECTA O LEVEL NA NECTA ADVANCE,hayo ya mtu kwenda kupigwa kwanza msasa kabla HAWAYATAMBUI,kwa sasa unaweza kusema kuwa wao wanachukua hata wanafunzi wasio na sifa ya moja kwa moja kujiunga chuo,ila wanawadahili baada ya kuwafundisha kozi fupi na kuwapa mtihani na wakifaulu mtihani huo basi wanadahiliwa,

sema haya mambo ya udini ndio yanaharibu na serkali waliwaogopa sijui maana kila siku hawa watu wanalalamikia serikali kuwanyanyasa na waliwaacha huku vyuo vingine wakilazimishwa kuingia TCU.

Kumbuka MMUM wanatoa degree ya sharia Na mambo mengine yanayohusu dini katika mfumo huo wa Elimu vijana wanaotoka madrasa wanaweza kwenda kujiunga Na chuo hicho. Serikali haitambui sifa hizo za kidini ndio mana MMUM wanafanya udahili wa aina hiyo
 
SAUT cut point zao zilikuwa juu sana kuliko za serikali/TCU wakawa wanatumia Redial programme ili wapate sifa sawa, ila mwaka jana TCU walishusha point zaidi (nadhani hapa wote ni mashihidi wa hiki kizazi, ni full vilaza) na SAUT walijukuta wanafunzi wao wa remedial wanavigezo moja kwa moja. Hivyo walipigwa msasa wa kutosha na kufanya mitihani then wakawa admitted.Ila pia majina yao hutumwa TCU ili kukeep records za wanafunzi. Ukweli ni kwamba hii CENTRAL ADMISSION SYSTEM Ina effect kubwa kwa vyou vya binafsi kwani TCU wamekuwa na upendeleo kwa vyuo vya serikali. Idadi ya wanafunzi ikiendelea kupungua kwa vyuo vyote Vya binafsi mwaka huu sep/Oct ninauhakika na wao watakuja kujitoa na kuadmit wao wenyewe na kuwatumia TCU majina watu walio kuwa admitted. Mf kuna wanafunzi wengi waweza kuwa wanahitaji kujiunga SAUT ila TCU wakampanga mtu huyu UDOM.

Nimekuelewa vizuri sana.
 
Mbona Vyuo Vya Taasis Za Kikristo Tunasoma Na Wakina Muhamad, Madem Zetu Ni Akina Asha Na Baadhi Ya Walimu Zetu Ni Wakina Abduli?

Dah kaka wakikusikia jamaa,,wewe kafiri afu anagegeda mabinti wa baibui itakuwa kesi. Hata kama wanazileta wenyewe kwa makafiri. Mia
 
MBONA UNA MUNKARI HIVI?kwani ni vibaya kuuliza?wewe hauoni kama ni ajabu kuwa vyuo vingine vyote vinatumia mfumo wa TCU kasoro hicho?
je unajua kwa nini?kama unajua tuambie na kama hujui soma majibu ya wanaojua ni kwa sababu gani na kukurupuka tu kuanza kuona mnaonewa.

TCU ni panga jingine badala ya lile la Necta . Hivyo chuo lengo lake kuu ni kuwawezesha waislam kupata elimu ya juu. Mfumo uliopo ni mbovu na wa upendeleo. Waislam wamelalamikia sana madudu ya necta lakini hakuna mtu anajali.
Hivyo hii TCU ni mfumo mwengine wa kupendelea baada ya kuona kuna vyuo vingi vya private ambavyo havijali udini wao ni biashara na kusomesha tu.
Hivyo waislam waliukataa mfumo huu kwa sababu hawa uamini .....hii ndio sababu full stop...na laiti kama wakikubali masharti ya Tcu basi ungeona waislam wangekua wachachr pale. Hii ndio fact.
 
Kumbuka MMUM wanatoa degree ya sharia Na mambo mengine yanayohusu dini katika mfumo huo wa Elimu vijana wanaotoka madrasa wanaweza kwenda kujiunga Na chuo hicho. Serikali haitambui sifa hizo za kidini ndio mana MMUM wanafanya udahili wa aina hiyo

Kwanza we mbulula sana,,,sio MMUM ni MUM,kama huji kaa kimya sio kutokwa povu hapa..kafirir mkubwa wewe.
 
Kama 'wagalatia'' wakifanya hivyo itakuwa mbaya sana, kwani sisi wengine tumesoma kwenye taasisi za kielimu za 'wagalatia' tokea chekechea mpaka chuo kikuu na hatukuulizwa imani zetu wala kubaguliwa kabisa.

Tatizo kuu la MUM ni dhamira na malengo ya kuanzishwa kwake. Kwa tunaojua ilikuwa ni kwa ajili wa kuwaboost waislam tu ili wapate channel za kutoka kielimu na kimaisha, sasa ukiruhusu kila mtu asome pale mwisho wa siku utakuja kukuta wamejaa wagalatia watupu!!

MUM ni mfano tu ila zipo taasisi za kielimu nyingi sana za kiislam ambazo sera ni hiyo hiyo tu, yaani hakikisha Muislam tu anasoma, hakuna kufeli na staff wote wa hizo taasisi ni lazima wawe waislam tu!!

Mimi ni mfuasi wa huko lakini hili linaniudhi sana.

Ur genius,wise n a great thinker.. society needs people like u
 
Hawa jamaa vitu vyao vyote ni 100% substandard kuanzia sekondari zao kama bondeni arusha, seminari zao hadi madrasa yao Kuu (MUM)
 
Kwanza we mbulula sana,,,sio MMUM ni MUM,kama huji kaa kimya sio kutokwa povu hapa..kafirir mkubwa wewe.

Hahah sasa brother hapa umekosoa nilivyo kosoa jina lakini hujakosoa point yangu Mimi ninavyojua mtu mwenye akili timamu huwa anakosoa vitu Kwa kuzungumza kitu ambacho kipo sawa lakini wewe ni tofauti. MuM hawatoi shahada ya Islamic Sharia? MuM hawatoi shahada ya hadith Na mambo kama Hayo? Wanafunzi wa course hizo bara wanawatoa wapi? Kama sio mfumo niliouzungumza. Tatizo kaka ukisikia madrasa unaona ni vitu dhalili mashekh wote duniani wametokana Na mfumo wa madrasa Na ukumbuke madrasa sio informal education but is formal education. Mtume (SAW)alisema kama huna jambo zuri la kusema nafuu ukae kimya. Vilevile nikisema mwenye akili ni Kwa mujibu wa Quran
 
wamejaa ubinafsi,udini na chuki wanataka wachaguane vilaza watupu ili wakijazana ujinga waweze kujilipua kiurahisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom