Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
Kuna vitu vingi sikukubaliana na karl marx ila kwa upande alivyoichambua dini nilikubaliana na yeye 100%Sababu dini opium according to Karl max .... sehemu yenye dini maamuzi yenye logic na fact hayana nafasi .maamuzi hutolewa kiimani zaidi kuanzia family level hadi national level.... maamuzi hayo yanaweza kuwa madogo madogo kama kudharau science na technology ... baada muda nchi huwa maskini..... japo umaskni una mambo mengi juu yake
Tatizo ni hiloJe marekani walikuta silaha za maangamizi iraq?
Kujali kwake Raia wake Gaddafi ndo kumepelekea yeye kuuwawa?
Kwanini USA aziangamize nchi hizo na asije Tz?
Jibu maswali haya utajua nani mkorofi
Niishie hapa mana huna Akili ata kuvuka barabaraTatizo ni hilo
Umechambua kisa wanaopigwa ni dini yako.
Wakati walikufikkia babu yako kwa utumwa, leo unawalamba miguu hata wakiua na kubaka