Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?


Nakumbukuka mwaka 1992 mhadhiri muasisi wa comparative Islam nchini Tanzania Ustaafh Ghalibah alitangaza chinja chinja ya wakristo, Majambia yaagizwe wakristo wachinjwe. Mungu saidia mwaka huo huo naye akafa. Ndio ikawa pona pona ya wakristo.
 
Na km uislam huuhuu ungeacha wakristo na wahubiri kuwa free huko kwenye nchi za uarabuni nakuhakikishia sasa hivi mngekuwa mnaongea stories nyingine kabisa.
 
Ayatollah Khomeini ndio alitoa hiyo fatwa. Ila alikufa bila kushuhudia ikitekelezwa.
Rushdie, mwaka huu, survived an assassination attempt
 
View attachment 2449546

Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) alipokuwa madini aliishi na wayahuhidi wote waliowahi salama chini ya utawala wa kiislamu wala hakulazimishwa kuamini wala kuuwawa vilevile .
Muhammad alienda kwa stages
Alianza kubembeleza ndio hapo unamkuna na verse kama hizo
Akaja akaunda kundi lake wakawa wanapora na kuua na yeye akawa anajigiwia ngawira nusu kwa nusu na Allah akaanza kutunga verse za mauaji

Na akasema Alie kuwa muislamu akibadili dini wamkate kichwa
 
Swadakta, umesema kiongozi mkuu wa kidini wa Irani na sio wa waislamu mimi mmatumbi haina haja ya kumfuata..
Kuna fatwa inetolewa anaesema Allah ni Roho wamkate shingo , sasa wewe kama unajifanya hujui fatwa nenda kaseme Allah ni Roho uone kitakacho kupata
 
Mnaipamba dini kwa maneno mazuri lakini matendo yanayotendeka kwa jina la dini yenu si ya kiMungu kabisa!
 
Kama ni hivyo kwa Nini muislamu alimvamia akamchoma kisu nusura amtoe uhai Kwa ajili ya Allah
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Kwamba unabisha au..!??
 
Hakuna physical punishment iliyotolewa Wala kutangazwa kwa ajili ya mtu kama Rushdie katika Uislamu, Hata ukuisoma Qur'ani Tukufu kwa upana na kurudia rudia kwa umakini hakuna aya hata moja inayotangaza adhabu ya namna hio. Ile ilikuwa ni reaction ya baadhi ya waislamu walioshindwa kuvumilia matusi ya Rushdie


Kwahy mkuu hio fatwa ilitolewa bila kuzingatia muongozo wowote unaotegemewa na waislamu (Quran na Sunna) kwanza fatwa ilitolewa na kuungwa mkono na ahmadiya(India & Pakistan) ,Shia(Iran).
Na labda kama ilikuwa haujui fatwa hii ilipingwa na baadhi ya vuongozi wa dini walisema kuwa ni unnecessary act na mtume asingetoa fatwa kama hio.
Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
 
HUYU MWAMBA ALIFUNGIWA MAISHA JAMII FORUMS KWA KUWA ANATOA HAYA MADINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…