Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria.
Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu matendo ya Lissu mahakamani, ni ishara tosha kuwa Lissu anahusudiwa na watu wengi?
Lakini kinachoshangaza zaidi ni hii hamasa ya watu wengi kutamani wao wenyewe ama watoto zao wawe kama Lissu. Hii shauku imesababishwa na nini?