Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

Ni mfumo unatumiwa na nchi nyingi duniani.

Pili wanafunzi wanapimwa(tahiniwa) na mtihani wa taifa na majaribio mengine ya kikanda na mkoa. Hivyo wanafunzi wote lazima wapewe muda sawa wa masomo ili waweze kupimwa sawia.

Mitaala imendaliwa kufundisha mwaka mzima Kwa usawa huo(Ile mitaala yenye shida) ni rahisi kubaini na kurekebisha.

Mwisho kuondoa madaraka sisi... Na wao... Wote ni wamoja. Na ukizingatia msimamizi wao ni mmoja wizara ya elimu na mafunzo stadi
 
Back
Top Bottom