Kwa Nini Shule Zote za Msingi za Serikali Zisibadilishwe na kuwa English Medium?

Stadi zipi za kazi unazozungumza wewe!?

Hicho kilimo ni kipi? wafundishwe kushika majembe ya mkono?
Watoto inabidi wafundishwe kulima na kufuga kwanzia ngazi za chini tutakuja kupata wataalamu wengi watakaoweza kujiajiri na kupunguza mzigo kwa serikali
 
Una wazimu?
Unataka watoto wa chekechea na shule ya msingi wafundishwe kujiajiri?
Elimu sio kujua kiengereza hizo shule nazo bado zinazalisha wasomi wasio weza kujiajiri ni muhimu kutoa wanafunzi wenye maarifa mimi napendekeza somo la stadi za kazi na kilimo liwekewe mkazo wanafunzi kwanzia ngazi za chini wasome kwa vitendo
 
Hili giza la usiku wa manane kingereza ndio elimu nilitakapo ondoka vichwani mwa watanzania ndipo maendeleo yatapatikana kirahisi
Kama hivyo basi sasa hivi tungekuwa kama USA sababu hata sasa hivi wanaojua hicho kiingereza ni asilimia chache.

Maendeleo ya kitaifa huanzia kwa mtu mmojammoja.

Swali wewe unaweza kuandika,kusoma na kuongea kiingereza?
 
Nani alikuambia kila mtu anataka kuwa mkulima au mfugaji
Watoto inabidi wafundishwe kulima na kufuga kwanzia ngazi za chini tutakuja kupata wataalamu wengi watakaoweza kujiajiri na kupunguza mzigo kwa serikali
 
Hivi umeshawahi sikia English ya Walimu wa hizo shule? Mfano mzuri wa walimu hizo shule ni John
 
Watoto inabidi wafundishwe kulima na kufuga kwanzia ngazi za chini tutakuja kupata wataalamu wengi watakaoweza kujiajiri na kupunguza mzigo kwa serikali
Uko tayari kuona mwanao anakuwa mfugaji au mkulima?

Unadhani kwa hali tuliyo nayo sasa how kilimo na ufugaji vitatufikisha popote?
 
Hao ni wapiga kura wetu, wasiguswe tafadhali... hadi usiku utapokwisha.
 
Ndalichako mwenyewe akigonga yai unaweza kuzimia kwa hasira. (the so called "waziri wa elimu")

Yule baba yao ndio kabisaaaaa, English kwake ni mama mkwe!!

Watakuja hapa na vihadithi vyao, ati oooh mbona wachina hawajui Kingereza, mara oooh mbona Libya wanazungumza kijeremani, mara oooh this and that... blah blaaah....

Hata hicho Kiswahili chenyewe hawakijui, wamejaa ujanja ujanja tu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni wazo zuri, tatizo linakuja pale hao waalimu wenyewe wa hizo shule za serikali wengi wao kingereza ni sifuri...

Hizi English Medium, wanaajiri walimu ambao wengi wao ni Fluent in English sababu za ushindani wa ki - biashara...

Wengine huenda mbali hadi kuajiri wazungu...

Cc: mahondaw
Tufanye maamuzi magumu tusonge mbele!
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza!

Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium.

Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna mtoto hata mmoja wa mtunga sera za elimu anasoma shule za msingi za serikali.

Ukikutana na mzazj hohehahe anayesomesha shule za msingi za serikali anatamani mtoto wake na yeye angekuwa anasoma English Medium, akipata hela lazima atampeleka huko!

Kinachowavutia zaidi wanajamii ni pale wanapokutana na mtoto wa English Medium akiongea Kingereza.

Sasa, kwa nini shule za msingi zote za serikali zisianze kufundisha kwa mtaala wa Kingereza? Kwa sababu naona wazazi hawazielewi kabisa shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa Kiswahili.

Sidhani hata watoto wa wafanyakazi wa BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) wanasoma shule za msingi za serikali.

Mabadiliko yameshaanza, zipo shule za serikali ambazo zimeshaingia kwenye mfumo wa kiingereza na zipo mpya zinazoingia kwenye haya mabadiliko kuanzia January 2021
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza!

Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium.

Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna mtoto hata mmoja wa mtunga sera za elimu anasoma shule za msingi za serikali.

Ukikutana na mzazj hohehahe anayesomesha shule za msingi za serikali anatamani mtoto wake na yeye angekuwa anasoma English Medium, akipata hela lazima atampeleka huko!

Kinachowavutia zaidi wanajamii ni pale wanapokutana na mtoto wa English Medium akiongea Kingereza.

Sasa, kwa nini shule za msingi zote za serikali zisianze kufundisha kwa mtaala wa Kingereza? Kwa sababu naona wazazi hawazielewi kabisa shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa Kiswahili.

Sidhani hata watoto wa wafanyakazi wa BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) wanasoma shule za msingi za serikali.

Walimu sahihi wa kuendesha hizo shule wako wapi? Tungekuwa na walimu sahihi, watu wasingekuwa wanasoma form one mpaka chuo kikuu bila kupata umahiri wa lugha ya Kingereza!
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana,suala la kuwa na msingi mzuri wa lugha ya kiingereza kwa kile kipindi cha miaka saba ukiongeza na ile minne na kuendelea mbele ingekuwa vyena sana vijana wanapata tabu sana vyuo vikuu kuna kitu inaitwa presentation aisee st.kayumba wanaongea lugha mbovu haibu kiukweli lakini hao watoto wa englishi medium ni slang tupu,tupo kwenye uchumi wa viwanda wawekezaji wengi ni kutoka nje ya nchi lugha yao kubwa ni kiingereza wangi wanawakimbi mabosi wao lugha cheche wabongo wengi kwenda kutafuta ajira nje nchi waoga wakati wenzetu wakenya wamejazana marekani na uingeraza kibao so ili twende sawa na wenzetu lazima tubadilike.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi haya yote wanayajua lakini hawataki kuchukua hatua kwa sababu za ubinafsi na kutojali tu.
 
Kinachowavutia zaidi wanajamii ni pale wanapokutana na mtoto wa English Medium akiongea Kingereza.
Siyo kweli💯💯💯💯💯💯

Kinachowavitia ni perfomance ya shule hizo
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza!

Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium.

Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna mtoto hata mmoja wa mtunga sera za elimu anasoma shule za msingi za serikali.

Ukikutana na mzazj hohehahe anayesomesha shule za msingi za serikali anatamani mtoto wake na yeye angekuwa anasoma English Medium, akipata hela lazima atampeleka huko!

Kinachowavutia zaidi wanajamii ni pale wanapokutana na mtoto wa English Medium akiongea Kingereza.

Sasa, kwa nini shule za msingi zote za serikali zisianze kufundisha kwa mtaala wa Kingereza? Kwa sababu naona wazazi hawazielewi kabisa shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa Kiswahili.

Sidhani hata watoto wa wafanyakazi wa BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) wanasoma shule za msingi za serikali.
Morogoro kuna shule wanai badirisha
 
Sasa, kwa nini shule za msingi zote za serikali zisianze kufundisha kwa mtaala wa Kingereza
Hao walimu unao⁉️, tuanzie hapo kwanza. Au unataka tufukuze walimu wote kisha tu employ wa- kenya , ug, rw, zm, mlw et cetera⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️. Umeangalia vizuri nationality composition ya walimu wa shule za english medium⁉️, umeangalia perfomance ya english medium schools za serikali⁉️⁉️⁉️, au hujui kama zipo⁉️

SAWA: mkiamua kufanya hivyo lazima mubadilishe kwanza mitaala ya waalimu na mitaala mpya ifundishwe for not less than 10yrs , upate waalim wapya ndipo lugha ya kufundishia ibadilike
 
Back
Top Bottom