Kwa Nini Shule Zote za Msingi za Serikali Zisibadilishwe na kuwa English Medium?

Mwaka ujao January Morogoro wanaanza
 
Kwahiyo, Tanzania hakuna vyama vya siasa(vyama vina:sera, mpango mkakati shirikishi), Tanzania hakuna sera za kisekta, hakuna mipango mkakati ya kisekta shirikishi(hii hutoa dira ya kisekta). Bali kuna "ONE MAN ARMY"⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️

LITERARLY unataka kutuambia kuwa viongozi woooooote (isipokuwa huyo mmoja) wao wamelala na huyo mmoja ndiye hutekeleza vipaumbele vyake⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️
 
Kiingereza kitaharakishaje kuleta maendeleo. Mbona malawi wanasoma kiingereza ili ni maskini wa mwisho.
Kenya tunaongea several english languages; luo wanachao, taita wanachao, kalenjini chakwao: name them
 
Hivi unazijua shule za msingi za serikali kweli?
Ukizibadilisha, nani atafundisha hicho kiingereza?
Yaani walimu wengi huko, kiingereza hakipandi kabisa, wanakiogopa au kukichukua vibaya.
 
Zambia ,Malawi,Uganda Zimbabwe hao wote wanaongea kizungu Ila kiuchumi wanachechemea kiingereza siyo sababu inauowafanya Watu waendelee Acha Utoto .Hao Wataalamu wote wa vyuo vikuu wanaotufundisha lugha ya kizungu na kuandika vitabu vya kizungu walisoma kiswahili kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na kiingereza wakakikuta huko sekondari.Kumbuka kuwa Sasa tunalazimisha kuwapeleka watoto kwenye sekondari mpaka waliopata 20/100 % wakati wakati ule aliyepata 50/100% ndiyo tutamuhesabu amefaulu kwa maana hiyo mtoto. Anayekwenda sekondari na kwa kupata 20/100% hafundishiki kizungu maana uwezo wake Mdogo wa kuelewa isipokuwa ataweza kizungu endapo tu somo atakalofundishwa huko ni kizungu peke yake. Kujua kiingereza hakuna Mahusiano na Maendeleo kanuni ya Maendeleo Ni ileile tu kujilimbikizia Mali iwe kwa njia halali au haramu Ila tutamuhesabu kuwa ni Tajiri.
 

Unaugomvi na walimu eeeh
 
Point ya muhimu ni hapo juu,
"tatizo linakuja pale hao waalimu wenyewe wa hizo shule za serikali wengi wao kingereza ni sifuri..."
 
Kama hivyo basi sasa hivi tungekuwa kama USA sababu hata sasa hivi wanaojua hicho kiingereza ni asilimia chache.

Maendeleo ya kitaifa huanzia kwa mtu mmojammoja.

Swali wewe unaweza kuandika,kusoma na kuongea kiingereza?

So ! what more if y'u know what y'u say? even redc'pe in where I'm kn'w it.
 
Tatizo kubwa naloliona kwenye shule za serikali wanafunzi wanalundikwa wengi kwa darasa moja hivyo ndo sababu wengi wanashindwa kuelewa walimu wanachofundishwa
 
Mie naona hapo neno medium ndilo linaleta tabu , Basi shule za serikali ziitwe SWAHILI MEDIUM
 
English Medium Zipigwe Marufuku..
Ukweli Zimeongeza Watu wenye uwezo wa kuongea kiingereza basic.. na uwezo mdogo wa uelewa..

Ukilinganisha na Watu waliosoma Mtaala wa Kiswahili na Kusoma Lugha ya Kiingereza kama somo.. wanauwezo mkubwa ku kujenga hoja na uelewa wa jumla.

Haya Ma english medium kama hauna ufuatiliaji wa karibu watoto wanakuja wamekariri maupupu meengi kwa kizungu na uelewa kisoda.. futa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…