Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi
Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa kujenga industrial park 20+ nchi nzima

https___cms-image-bucket-productionv3-ap-northeast-1-a7d2.s3.ap-northeast-1.amazonaws.com_imag...jpg

Tungejenga viwanda vingi vya

1. Agro-processing
Unga, pasta, biskutu, cereals, animal feed, starch, packaged foods

2. Mafuta
Mafuta ya alizeti, ufuta, karanga, refined cooking oil et

3. Matunda/mboga
Juisi, tomato paste, dried fruits, canned vegetables, sauces

4. Mifugo
Nyama zilizosindilwa, maziwa/yoghurt, ngozi, viatu, mikanda, mabegi

5. Uvuvi
frozen fish, canned fish, fish fillets, fish meal, fish oil

6. Kilimo cha biashara
coffee roasting, cashew processing, spices, tea packaging

7. Textiles
yarn → fabric → uniforms → T-shirts → bedsheets → towels

8. Mbao
furniture, milango, plywood, MDF/fibreboard, school furniture

9. Construction
cement, tiles, mabati, vigae, matofali, mabomba, glass, sanitary ware

10. Metal
steel bars, misumari, screws, bolts/nuts, milango, mageti, tanks, structures

11. Agricultural machinery
ploughs, harrows, trailers, irrigation equipment, maize shellers, planters

12. Engineering products
pumps, simple gearboxes, shafts, pulleys, bearings housings, machine frames

13. Automotive
Mabasi, malori, pikipiki, matrekta na spea zake

14. Pharmaceuticals
generic tablets, capsules, syrups, IV fluids, basic medical consumables

15. Chemicals
Rangi, detergents, adhesives, plastiki, fertiliser blends

16. Packaging
Chupa, cartons, sacks, plastic containers, cans, labels

17. Electrical
cables, transformers, switchboards, sockets, LED lights, solar-system components

18. Electronics assembly
meters, simple control panels, CCTV equipment, routers/IT equipment assembly

19. Mineral value addition
copper products, jewellery, cut/polished gemstones, mineral-based ceramics

20 Consumer goods
Sabuni, cosmetics, sanitary products, magodoro, viatu, household plastics
n-jp-20200821-01.png

Kwa nini hatuproduce vitu hivi kwa idadi kubwa sana kiasi cha kutosheleza na kuuza hapa Tanzania na mataifa yanayotuzunguka kama vile ambavyo China inauza products zake nyingi nchi jirani kama India, na sikuhizi karibu dunia nzima

Sababu ni nini kati ya hizi
1. Kuna mambo mengi ya maana zaidi ya kufanya
2. Hatuna hela
3. Hatuna nguvukazi
4. Sera zetu za viwanda ni mbovu
5. Tunaogopa competition kutoka China ndani ya soko la Tanzania
6. Tunahofia viwanda vitatuletea hasara
7. Hakuna umeme wa kutosha
8. Hatuna mpango wa kuwa East Africa's manufacturing hub
9. Hatuna uhakika kama tunaweza
10. Viwanda vilivyopo vinatosha
 
Magufuli alileta mawazo kama haya(nchi ya viwanda) lakini alipingwa sana. Wengi waliona kachanganyikiwa wengine wakasema anasema nchi ya viwanda kwa umeme upi na blablablaablaaa kibao.

Mkuu Watanzania wengi ni maiti zinazo tembea.
 
zilikuwepo, kila eneo jipya nakumbuka lilikuwa na industrial area, angalia mbezi beach kwa mfano kuna industrial area na kweli viwanda vilijengwa ndiyo maana kuna interchick, ilikuwepo jogoo, kiwanda cha kutengeneza visu kama sikosei, hata mikocheni yenyewe ilitengwa industrial area na ukienda kuna viwanda vingi tu, i mean zamani tulikuwa tunakwenda vizuri sana B.Mkapa alitenga eneo la epz (export processing zones) mabibo leo hii levi jeans zinatoka pale kwenda USA for export na kila mkoa una industrial area.

wanaoharibu nchi yetu ni hawa wa makontena na mafremu lkn vinginevyo tulikuwa vizuri sana ...
 
Magufuli alileta mawazo kama haya(nchi ya viwanda) lakini alipingwa sana. Wengi waliona kachanganyikiwa wengine wakasema anasema nchi ya viwanda kwa umeme upi na blablablaablaaa kibao.

Mkuu Watanzania wengi ni maiti zinazo tembea.
Ila si viwanda vilipatikana kutoka viwanda miangapi sijui hadi viwanda afu nne na zaidi😀😀😀 wale mafundi cherehani waliondolewa kwani
 
Viwanda tunavyo japo sio kwa ukubwa huo

Biashara ya viwanda, inategemea na soko ya bidhaa unazozalisha

Changamoto kubwa na kilio cha wamiliki wengi wa viwanda Tanzania ni Kodi kubwa inayopelekea wenye viwanda kuzalisha bidhaa kwa gharama kubwa huku wale wanaoagiza nje wakiuza kwa gharama za chini

Mathalani unazalisha sukari na unatakiwa kuuza kwa shilingi 3,500/Kg kutokana na Kodi kubwa

Lakini wenzio wakiagiza nje na kuja kuuza Tanzania wanauza kwa shilingi 3,000/Kg

Mwisho wa siku hakuna mtu anatamani kuanzisha kiwanda wakati anaweza kuagiza finished product China kwa bei ya chini na kuja kuuza na kupata faida kubwa kuliko angeizalisha kwenye kiwanda chake 🥲
 
Tukiwa hatuna nafasi au uongozi tunakuwa na mawazo mazuriiiii kama ...ngoja upewe sasa. Yote yana evaporate!
Kwa hiyo ni sahihi kutokuwa na viwanda kwa sababu kwa Tanzania ni kawaida kuwa na mawazo mazuri, kupata nafasi ya uongozi na kutoyatekeleza
Kwa nini hatuwezi kupata viongozi ambao wanaweza kutekeleza miradi kama hii?
 
Viwanda tunavyo japo sio kwa ukubwa huo

Biashara ya viwanda, inategemea na soko ya bidhaa unazozalisha

Changamoto kubwa na kilio cha wamiliki wengi wa viwanda Tanzania ni Kodi kubwa inayopelekea wenye viwanda kuzalisha bidhaa kwa gharama kubwa huku wale wanaoagiza nje wakiuza kwa gharama za chini

Mathalani unazalisha sukari na unatakiwa kuuza kwa shilingi 3,500/Kg kutokana na Kodi kubwa

Lakini wenzio wakiagiza nje na kuja kuuza Tanzania wanauza kwa shilingi 3,000/Kg

Mwisho wa siku hakuna mtu anatamani kuanzisha kiwanda wakati anaweza kuagiza finished product China kwa bei ya chini na kuja kuuza na kupata faida kubwa kuliko angeizalisha kwenye kiwanda chake 🥲
Hii nayo ni sababu maana Tanzania upuuzi ni mwingi sana
Kwa nini wasishushe kodi kwa viwanda ili watu wajenge viwanda vingi? Sababu kama hizi ndio zinafanya viwanda vilivyopo mbali huko China tena kutoka kwa makampuni madogo tu ambayo hata hayajulikani huko kwao, ila wanajipatia soko kubwa sana wakija Tanzania. Yani products zilizotengenezwa Yiwu, China zinakuwa cheap na soko kubwa kubwa bidhaa zilizotengenezwa Kibaha, Pwani
 
Shida ni Kodi kubwa

Angalia hata gharama ya kununua gari used Japan, mara nyingi kama haya magari madogo labda Klugger ya mwaka 2015, inaweza kuwa ni shilingi 12,000,000

Lakini ajabu Kodi utakayolipishwa ni zaidi ya milioni 12

Wakati Mamlaka wangekuwa strategic, wangepunguza Kodi Kisha wangekuja kuifidia kwenye spare parts na Fuel

Ila ndiyo hivyo, wanafanya ionekane gari ni Anasa
 
mfumo wa kodi siyo rafiki kwa wenye viwanda Tanzania, mfumo wa kodi ukirekebishwa ikawa ni gharama sana kuingiza bidhaa nchini kuliko kuzalisha nchini hapo ndipo tutakuwa na viwanda vingi Tanzania, ila kwa sasa hivi ni nafuu na inalipa zaidi kuagizia bidhaa nje ya nchi
 
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi
Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa kujenga industrial park 20+ nchi nzima

View attachment 3679780
Tungejenga viwanda vingi vya

1. Agro-processing
Unga, pasta, biskutu, cereals, animal feed, starch, packaged foods

2. Mafuta
Mafuta ya alizeti, ufuta, karanga, refined cooking oil et

3. Matunda/mboga
Juisi, tomato paste, dried fruits, canned vegetables, sauces

4. Mifugo
Nyama zilizosindilwa, maziwa/yoghurt, ngozi, viatu, mikanda, mabegi

5. Uvuvi
frozen fish, canned fish, fish fillets, fish meal, fish oil

6. Kilimo cha biashara
coffee roasting, cashew processing, spices, tea packaging

7. Textiles
yarn → fabric → uniforms → T-shirts → bedsheets → towels

8. Mbao
furniture, milango, plywood, MDF/fibreboard, school furniture

9. Construction
cement, tiles, mabati, vigae, matofali, mabomba, glass, sanitary ware

10. Metal
steel bars, misumari, screws, bolts/nuts, milango, mageti, tanks, structures

11. Agricultural machinery
ploughs, harrows, trailers, irrigation equipment, maize shellers, planters

12. Engineering products
pumps, simple gearboxes, shafts, pulleys, bearings housings, machine frames

13. Automotive
Mabasi, malori, pikipiki, matrekta na spea zake

14. Pharmaceuticals
generic tablets, capsules, syrups, IV fluids, basic medical consumables

15. Chemicals
Rangi, detergents, adhesives, plastiki, fertiliser blends

16. Packaging
Chupa, cartons, sacks, plastic containers, cans, labels

17. Electrical
cables, transformers, switchboards, sockets, LED lights, solar-system components

18. Electronics assembly
meters, simple control panels, CCTV equipment, routers/IT equipment assembly

19. Mineral value addition
copper products, jewellery, cut/polished gemstones, mineral-based ceramics

20 Consumer goods
Sabuni, cosmetics, sanitary products, magodoro, viatu, household plastics
View attachment 3679779
Kwa nini hatuproduce vitu hivi kwa idadi kubwa sana kiasi cha kutosheleza na kuuza hapa Tanzania na mataifa yanayotuzunguka kama vile ambavyo China inauza products zake nyingi nchi jirani kama India, na sikuhizi karibu dunia nzima

Sababu ni nini kati ya hizi
1. Kuna mambo mengi ya maana zaidi ya kufanya
2. Hatuna hela
3. Hatuna nguvukazi
4. Sera zetu za viwanda ni mbovu
5. Tunaogopa competition kutoka China ndani ya soko la Tanzania
6. Tunahofia viwanda vitatuletea hasara
7. Hakuna umeme wa kutosha
8. Hatuna mpango wa kuwa East Africa's manufacturing hub
9. Hatuna uhakika kama tunaweza
10. Viwanda vilivyopo vinatosha
Wapo bize kujenga magholofa ya kupangisha Kila kona
 
Issue ya industrial economy inakuwa cooperated or coordinate na Factor kadha kama good policy.

Mfano mkoa wa pwani vinajengwa viwanda vingi lakini ni vya mchina , ambazo tungeweza kuwa navyi sisi wenyewe.

Pia Kuna mifumo kusomana, coordinated mfano , TBS, TRA , Brela, ewura, nemc, nk .

Pia ubunifu wa bidhaa zenye ubora,
Mfano kiwanda cha textile na urafiki tekea vianzishwe mpaka Leo, Bado wanatengeneza kanga na vitenge , Sasa wa TZ wanashindia kanga na vitenge pekee, kwani hawatengenezi mataulo ,mapazaia , kanzu, sare za wanafunzi, nguo za ndani, nk , pia kuwepo na utaratibu serikali kuwa kabadhi watu watakao kuwa na ubunifu wa bidhaa za viwandani, sio kama akina mo wamepewa viwandani na kuendelea na uzalishaji ule ule usiokuwa na tija
 
Kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira ili wawekezaji wajenge viwanda. Elimu kupata wataalam wa kutosha, miundombinu kuweza ku-move raw materials na finished products, ulinzi na usalama, sera za kodi na mazingira zinazoeleweka na kutabirika.

Mtu anaingia mkataba na TFF baada ya utekelezaji ndio anaibuka Waziri na story zake
 
Back
Top Bottom