Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

Ujenzi wa kanda za viwanda (Industrial Parks) zaidi ya 20 kwa mkupuo nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa za kifedha, miundombinu, na kimkakati.

Ingawa wazo hili ni zuri kwa maendeleo ya kiuchumi, uzoefu wa nchi zinazoendelea unaonyesha kuwa ni bora kuanza na maeneo machache ya kimkakati kuliko kusambaza rasilimali kila kona.

Hapa kuna sababu kuu za kiuchumi na kiutendaji zinazofanya mkakati huo kuwa mgumu kwa sasa:

1. GHARAMA KUBWA

Kujenga miundombinu ya msingi (umeme wa uhakika, mifumo ya maji safi/majitaka, na barabara/reli) kwenye maeneo 20 kwa wakati mmoja kunahitaji mabilioni ya dola ambayo bajeti ya nchi haina kwa sasa.

2. CHANGAMOTO ZA LOGISTICS

Maeneo ya pembezoni mwa nchi yako mbali na bandari kuu na masoko makubwa, jambo linaloongeza gharama za kusafirisha malighafi na bidhaa.

3. UHABA WA WAWEKEZAJI

Serikali haijengi viwanda bali inaandaa mazingira. Wawekezaji wengi wanapendelea mikoa ambayo tayari ina mzunguko mkubwa wa kiuchumi (kama Dar/Pwani).

4. MKAKATI WA AWAMU

Kiuchumi ni bora kufanikisha maeneo machache ya kimkakati kwanza (kama Kwala, Mkuranga, au Bagamoyo) kabla ya kusambaza rasilimali nchi nzima.
 
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi
Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa kujenga industrial park 20+ nchi nzima

View attachment 3679780
Tungejenga viwanda vingi vya

1. Agro-processing
Unga, pasta, biskutu, cereals, animal feed, starch, packaged foods

2. Mafuta
Mafuta ya alizeti, ufuta, karanga, refined cooking oil et

3. Matunda/mboga
Juisi, tomato paste, dried fruits, canned vegetables, sauces

4. Mifugo
Nyama zilizosindilwa, maziwa/yoghurt, ngozi, viatu, mikanda, mabegi

5. Uvuvi
frozen fish, canned fish, fish fillets, fish meal, fish oil

6. Kilimo cha biashara
coffee roasting, cashew processing, spices, tea packaging

7. Textiles
yarn → fabric → uniforms → T-shirts → bedsheets → towels

8. Mbao
furniture, milango, plywood, MDF/fibreboard, school furniture

9. Construction
cement, tiles, mabati, vigae, matofali, mabomba, glass, sanitary ware

10. Metal
steel bars, misumari, screws, bolts/nuts, milango, mageti, tanks, structures

11. Agricultural machinery
ploughs, harrows, trailers, irrigation equipment, maize shellers, planters

12. Engineering products
pumps, simple gearboxes, shafts, pulleys, bearings housings, machine frames

13. Automotive
Mabasi, malori, pikipiki, matrekta na spea zake

14. Pharmaceuticals
generic tablets, capsules, syrups, IV fluids, basic medical consumables

15. Chemicals
Rangi, detergents, adhesives, plastiki, fertiliser blends

16. Packaging
Chupa, cartons, sacks, plastic containers, cans, labels

17. Electrical
cables, transformers, switchboards, sockets, LED lights, solar-system components

18. Electronics assembly
meters, simple control panels, CCTV equipment, routers/IT equipment assembly

19. Mineral value addition
copper products, jewellery, cut/polished gemstones, mineral-based ceramics

20 Consumer goods
Sabuni, cosmetics, sanitary products, magodoro, viatu, household plastics
View attachment 3679779
Kwa nini hatuproduce vitu hivi kwa idadi kubwa sana kiasi cha kutosheleza na kuuza hapa Tanzania na mataifa yanayotuzunguka kama vile ambavyo China inauza products zake nyingi nchi jirani kama India, na sikuhizi karibu dunia nzima

Sababu ni nini kati ya hizi
1. Kuna mambo mengi ya maana zaidi ya kufanya
2. Hatuna hela
3. Hatuna nguvukazi
4. Sera zetu za viwanda ni mbovu
5. Tunaogopa competition kutoka China ndani ya soko la Tanzania
6. Tunahofia viwanda vitatuletea hasara
7. Hakuna umeme wa kutosha
8. Hatuna mpango wa kuwa East Africa's manufacturing hub
9. Hatuna uhakika kama tunaweza
10. Viwanda vilivyopo vinatosha
Wanaotuongoza hawafikiri haya wala YOYOTE ya maana! Wao ni ufisadi, wizi, roho mbaya, kujali familia zao na matumbo yao, kututesa, kutunyanyasa na kutuuuwa ili waendele na maovu yao!
 
Serikali ndio ijenge au? Saizi wako busy na kujenga masoko,maghala na stendi Kwa jina la miradi ya kimkakati, upuuzi mtupu
 
Majority ya hivyo viwanda vipo tayari,

Pia huwezi Tu ukakurupuka kujenga viwanda bila kuangalia demand husika, hatuna unlimited market kwamba kila unachozalisha kitanunuliwa.
 
Anhaa kwa hiyo hivihivi ilivyo ndio sawa. Hatuzingui popote, sio?
Sasa kwa nini tunaagiza bidhaa nyingi sana kutoka China kama hakuna demand?
Mfano pendwa mitandaoni, stick za kuchokonolea meno zinatoka China, wachina wapo mbali lakini wanaona demand kubwa ya bidhaa Tanzania, halafu sisi tupo hapa tunajifanya nchi yetu haina demand kubwa ya bidhaa. Aisee
 
Serikali ndio ijenge au? Saizi wako busy na kujenga masoko,maghala na stendi Kwa jina la miradi ya kimkakati, upuuzi mtupu
Industrial parks zinajengwa na combination ya serikali, public-private partnerships (PPPs), na private real estate au industrial developers
Pia nasikia watu wanasema kodi ya viwanda ni kubwa ndio maana bidhaa ikitengenezwa Tanzania bei zinakuwa kubwa so watu wanaona bora kuagiza nje
 
Nachojua hata Sasa Kuna baadhi zinajengwa
 
Anhaa kwa hiyo hivihivi ilivyo ndio sawa. Hatuzingui popote, si ndio hivyo
Sasa kwa nini tunaangiza bidhaa nyingi sana kutoka China kama hakuna demand?
Mfano pendwa mitandaoni, stick za kuchokonolea meno zinatoka China, wachina wao wapo mbali lakini wanajua demand ya bidhaa Tanzania, halafu sisi wa hapa tunajifanya nchi yetu haina demand kubwa ya bidhaa. Aisee
Inaagizwa bidhaa moja kwa wingi?

Ukumbuke kiwanda kinatumia molds na ili kuhakikisha fixed cost inarudi inabidi kuwe na mzunguko wa maana kwenye mold husika.

Sababu mtu kaagizishia pair 1000 za viatu haimaanishi viatu vyote ni design moja na namna moja kila kiatu kina mold yake, kila namba Ina mold yake, mfano raba XXX namba 45 kuna demand ya kutosha nchi nzima kwa design ya hio raba kuanzisha kiwanda? Ama watanunua watu 200 nchi nzima na uanze kula hasara?

Kwa viwanda ambavyo vina demand kama vya unga, hizo biskuti, mashuka ya shule, Nguo za majeshi, viatu vya shule, mito ya kulalia, khanga, vitenge, Tiles, grout, cement, chokaa, rangi, mafuta ya kula, sukari na viwanda kibao ambayo kuna demand ya kutosha ya ndani tuna viwanda vingi.

Ila huwezi tengeneza kiwanda for the sake of kiwanda, kujipa status na misifa huku una bleed money.
 
Katika nchi ya propaganda endelevu; nchi ya kitu kidogo; nchi ya watu wadogo.
 
Back
Top Bottom