Acha ushamba hiyo ni dini ya Roma we umeburuzwa tu.TEC kwa uopande huo wamepwaya sana dhehebu letu linafedheheshwa sana
ukiangalia zuchu ni muislam alishindwa vipi ku act akiwa msikitini asee
Kwahiyo nawewe unataka uniburuze kama nilivyo buruzwa na dini ya roma?Acha ushamba hiyo ni dini ya Roma we umeburuzwa tu.
Kwani Maudhui ya Neno la Mungu ni Mali ya Katoliki?Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na hayo maudhui?