Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2?
Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye mwezi mmoja tu!
 
Kwa kifupi

Waislamu huamini muujiza huu kwa msingi wa imani na ushuhuda wa hadithi za Mtume (s.a.w).

Wataalamu wa historia na sayansi hawana ushahidi wa tukio hilo duniani kote.

Kwa hiyo, muujiza huu unabaki kuwa ni wa imani, si wa kihistoria wa kuthibitishwa kwa njia ya kawaida.
 
Mudi bonge la reject na tapeli. Yani amewaaminisha waislamu jiwe moja jeusi la Makkah ambalo halina mshirika na halijazaa linatakasa na kusamehe dhambi lakini siyo Kwa MUNGU YESU.

adriz Adiosamigo
 
Kwani lazima kila kitu kirekodiwe kila mahali ?
 
Mudi bonge la reject na tapeli. Yani amewaaminisha waislamu jiwe moja jeusi la Makkah ambalo halina mshirika na halijazaa linatakasa na kusamehe dhambi lakini siyo Kwa MUNGU YESU.

adriz Adiosamigo
Kuhusu jiwe Jeusi Hadith ya Umar inaeleza vyema kabisa .

Dini ya Uislamu haina mambo ya ushirikina kabisa , kusema Yesu kuwa Mungu ni uovu na ushirikina mkubwa sana hata Biblia inajichanganya yenyewe . Yaani Mungu anamuomba Mungu mwengine amsaidie haya si maajabu kabisa ?
 
Ni hadithi za mudi boy....tu....
 
Mudi bonge la reject na tapeli. Yani amewaaminisha waislamu jiwe moja jeusi la Makkah ambalo halina mshirika na halijazaa linatakasa na kusamehe dhambi lakini siyo Kwa MUNGU YESU.

adriz Adiosamigo
We kenge kasome bibilia vizuri we kumbe chizi huijui hata bibilia meza chuma hicho

Mt 21:42-44 SUV
Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu? Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki
 
Mkuu kwenye hii dunia ya utandawazi ya sasa, hivi bado unaamini hadithi za Muddy tu? Yule jamaa alikuwa mtu wa hajabu sana, uwongo mwingi ili mradi tu akubalike na watu na bahati mbaya kafanikiwa kiasi chake.
 
Qurani na hadithi za kisadikika kama zile za Alfu Lelant ulela. Hazina proof za kisayansi. Lakini Biblia ni scientific book!
 
Sijaelewa. Kwamba mwezi ulipasuka vipande viwili halafu vikarudiana tena au vikasambaratika? Ufafanuzi tafadhali.
 
Hakuna mahali Biblia inajichanganya, wewe ndiye unayejichanganya, halafu suala la Yesu kuwa Mungu wewe usiyekuwa na mafundisho ya Kikatoliki huwezi elewi maana wewe umefundishwa vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…