Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

watu walifufuliwa kwenye eneo liliokuwa localized na mashuhuda walilkuwepo issue ya mwezi ni universal lazima kuna watu mahala pengine wangeona.
Jambo la mwezi likitokea hata Tandahimba litawahusu hadi watu wa Bujumbura
Ki sayansi ni lazima, ki miujiza sio lazima waone wote..
 
Niacheni ninye. Dogo sikiza kaa na kutambua kunya ni haki yangu ya msingi maamae my universal human right. Huna na Hamna haki ya kuninyima kunya wee NYAMBULET.

Mbona wewe unakunya na hutaki wengine Wanye maarass mitayo nyangwisi umbwaa.

Sasa kunya na kunya sasaa Kenge yoyote aje kunizuia.

Nyangwisi
Hahahahaha!! Duh bange mbaya sana.
 
Ki sayansi ni lazima, ki miujiza sio lazima waone wote..
Kwamba mwezi upasuke Tabora Kigoma wasione? Imagine karne ya kwanza kulikuwa na wataalam wa mwezi na nyota m(mamajusi).Sasa karne ya sita tunategemea advancement kubwa zaidi katika ilim ya anga na nyota,Hata kama ungekuwa muujiza ni lazima sehemu nyingine wangeona hii extraordinary event. imagine kupatwa kwa jua kunaonekana dunia nzi a,itakuwa kupasuka kwa mwezi kweli kusiripotiwe mahala popote? kweli huu ni muujiza.
lakini muujiza huu umekuwa ascribed kwa Muhammad baada ya kifo chake lakini yeye mwenyewe alisema hana uwezo wa kufanya muujiza
 
Kwa kifupi

Waislamu huamini muujiza huu kwa msingi wa imani na ushuhuda wa hadithi za Mtume (s.a.w).

Wataalamu wa historia na sayansi hawana ushahidi wa tukio hilo duniani kote.

Kwa hiyo, muujiza huu unabaki kuwa ni wa imani, si wa kihistoria wa kuthibitishwa kwa njia ya kawaida.
Kwani mwezi wa Macca ndio sawa na huu wa kwetu?
 
Hizi zilikuwa hadithi tu wamba walikuwa wanasimuliana (kama zile sungura na fisi) sema tu watu wakachukulia serious
Harafu wakatengeneza picha wakaisambaza duniani kote..................................................................................
 
Back
Top Bottom