Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Tutafte hela hizi mambo huwezi thibitisha, teknolojia ilikuwa ndogo kuweka ushahodi wa picha kama leo tunaishia kuamini tu.
 
Tutafte hela hizi mambo huwezi thibitisha, teknolojia ilikuwa ndogo kuweka ushahodi wa picha kama leo tunaishia kuamini tu.
Kuna mahali nimedai au kutaka ushahidi wa picha??
 
Nilipokuwa New Mexico( Marekani) nilikuwa naishi na huyu jamaa mmoja( na mke wake).

Huyu jamaa alikuwa retired aviator.

Sasa nyumba kwake anavyo vitabu vingi sana kuhusu UFO.

Halafu mke wake maye ana shelf Lina vitabu vingi vya Dini. Nilikuwepo pale volume nyingi sana za Zohar,ngapi sijui zile,ishirini labda zinafika.

Yule jamaa nikamuiliza kama angani amewahi kuona UFO. Akasema siku moja walikuwa wanarula wakaona miezi miwili( two Moons ahead of them) in the sky. And then one Moon started to move.

Nikamuuliza,what happened next?
Akasema,"Tukawa tunaelezana pale,'Have you seen anything unusual?" Nikiuliza hivyo wenzangu wananijibu,"No,I haven't seen anything unusual"

Anasema,that way, when they get to Base, they don't have to file a report.

Kwa hiyo mimi sishangai sana kuhusu hiyo ripoti ya Mwezi kupasuka.

Yaani hawa wanaanga wakiona UFO angani hawasemi,"La,salaleh". Kwa sababu wakisema hivyo,wakirudi Base wataulizwa pale mlikuwa mnaongea nini?

Inavyosemwa ni kwamba Mwezi ni Mothership. Kwa hiyo unaweza kusafiri. Isipokuwa ukisafiri what will do the task of the Moon? Kwa hiyo labda Miezi iko miwili.
 
Hilo tukio lilionwa hadi huko India, na ndilo lililomfanya Mfalme Cheraman Perumal wa huko India kuwa muislamu.

Tafuta habari za mfalme Cheraman utazipata tu, acha uvivu.
 
Hilo tukio lilionwa hadi huko India, na ndilo lililomfanya Mfalme Cheraman Perumal wa huko India kuwa muislamu.

Tafuta habari za mfalme Cheraman utazipata tu, acha uvivu.
Inaoenekana huyo mfalme wa sehemu fulani tu ya india(kwa sababu Wahindi hata hawamtambui kwenye historia yao) ni utata mtupu na vyanzo vikuu vya story yake ni Wafuasi wake waliokuwa Waislamu pia, baadhi ya stories zinasema aliwahi kusafiri kwenda uarabuni kukutana na Muhammad na huenda huko ndipo aliibuka na story ya kusema aliona pia mwezi umepasuka. Hata hivyo vyanzo huru vya India vinasema story yake ni fiction na legend zaidi ya baadhi ya Waislamu wa India kuliko uhalisia kwa sababu hakuna hata ushahidi wa maana wa kumuhusu hata yeye mwenyewe na utawala wake tu achilia hilo la kusema aliona pia mwezi umepasuka na kujirudia hali yake.
 
1. Alikwenda kuonana na mtume baada ya kuona huo muuzija na akataka kujua zaidi. Kabla ya hapo alikuwa hajawahi kwenda Mecca.

2. Sehemu "tu ya" India nayo ni India pia. Zamani huko India kulikuwa na wafalme ktk maeneo mbalimbali

3. Huyo mfalme ni mfalme halisi na yuko katika rekodi za wafalme waliowahi kutawala maeneo kadhaa ya India.

Hata Waziri mkuu wa sasa wa India Modi amewahi kumtunuku Mfalme wa Saudia replica ya msikiti wenye Jina la mfalme Cheraman aliyeshuhudia muujiza wa Moon Splitting. Hii habari unaweza kuisoma hapa:

Mi nikajua tukio limetokea jana!!!!
😂 😂 😂 😂 😂
Kumbe toka enzi za kina Abu jahali
 
Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2?
Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye mwezi mmoja tu!
View attachment 3390690
Ulitaka lionekane wapi kwingine??

Iramba??
 
We kenge kasome bibilia vizuri we kumbe chizi huijui hata bibilia meza chuma hicho

Mt 21:42-44 SUV
Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu? Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki
Dah Ww jamaa 😂
Kwahy lile jiwe pale Macca ndo hilo limezungumziwa kwenye Biblia?
 
Kuhusu jiwe Jeusi Hadith ya Umar inaeleza vyema kabisa .

Dini ya Uislamu haina mambo ya ushirikina kabisa , kusema Yesu kuwa Mungu ni uovu na ushirikina mkubwa sana hata Biblia inajichanganya yenyewe . Yaani Mungu anamuomba Mungu mwengine amsaidie haya si maajabu kabisa ?
Mkuu, em nieleweshe, nn maana ya waislam kwenda kwenye hilo jiwe, wanaenda kufanya nn
 
1. Alikwenda kuonana na mtume baada ya kuona huo muuzija na akataka kujua zaidi. Kabla ya hapo alikuwa hajawahi kwenda Mecca.

2. Sehemu "tu ya" India nayo ni India pia. Zamani huko India kulikuwa na wafalme ktk maeneo mbalimbali

3. Huyo mfalme ni mfalme halisi na yuko katika rekodi za wafalme waliowahi kutawala maeneo kadhaa ya India.

Hata Waziri mkuu wa sasa wa India Modi amewahi kumtunuku Mfalme wa Saudia replica ya msikiti wenye Jina la mfalme Cheraman aliyeshuhudia muujiza wa Moon Splitting. Hii habari unaweza kuisoma hapa:

Story ingenoga zaidi kama huyo Mhindi angeenda kuulizia hilo tukio kwa manabii na miungu ya kihindi kwanza kabla ya kwenda Mecca.
Leta link ya yakumuhusu huyo mfalme kwanza achana na story za siasa za Modi. Zingatia pia Cheraman Perumal sio hata jina ni title tu kama Pharao au Kaisari.
 
Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.

Ibilisi alijua Amri inaenea kwa wote Malaika na yeye ambaye ni Jinni pekee aliyekuwa katika kundi hilo la Malaika ndio maana alivyogoma akaulizwa kwa Nini haujasudu na yeye hakusema kuwa Mimi sio Malaika bali alijua ila alijibu kwa majivuno kuwa hawezi kumsujudia kiumbe duni binadamu
.
Kwann Allah aliruhusu ibilisi kuwa katikati ya malaika? Na walikuwa wapi hao malaika na ibilisi peponi, duniani au wapi
 
Sababu Shetani alielewa wazi Amri inamuhusu mpaka yeye hata kama hakutajwa specifically maana Kihadhi Malaika ana hadhi kubwa kuliko jini na Amri ilitolewa kwa kundi zima ambalo na yeye yupo tena wakubwa zake na wenye cheo zaidi yake wameamrishwa jambo hivyo kwake yeye mdogo inapaswa zaidi.

Na hakuna mahali katika Qu'ran pana indicate Shetani hakuelewa amri bali ianonyesha alipinga wazi kwa kibri. . Maana yeye alikuwa maisha yake kabla ya kufukuzwa alikuwa akikaa karibu na kuhusubiana na Malaika kwenye mambo mengi hivyo anaelewa taratibu na mambo ya huko kuwa Kuna mambo huwa yanawahusu wote pamoja na yeye . Hata kiutotoni mnaweza mkawa kundi la Watoto halafu pakasemwa Wakina Jumla mtaintwa ijapokuwa Juma mmoja kwa vile tu huyo ni Famous sana miongoni mwa watu kundini.
Mkuu kadri unavyozidi kufafanua ulichokiandika ndivyo unavyozidi kupotea zaidi 😂
 
Kwa mfano ikiwa wewe upo kwenye kundi la wanawake, wapo 99 wewe wa 100. Ikatoka amri wanawake wote wapige magoti, na wewe utapiga?

Ibilisi alifata agizo la kwamba malaika ndo walitakiwa kusujudu. Umeelewa?
Mkuu, unaua panya kwa risasi 😂
 
Kama hivyo Mgalatia hana Moral authority wakutudai sisi ushahidi wa Kisayansi maana inatakiwa ahangaike kutafuta kwenye ya kwake kwanza kabla ya kudeal na ya upande mwingine.
Samahani mkuu .

Kisayansi zaidi athari ya mwezi kupasuka vipande viwili NI kubwa Sana .Je hili unakubali?
 
Back
Top Bottom