Tufanye yupo sawa alielewa , basi alitakiwa a focus na hoja kuwa kwa kile kilichomfanya asisijudu kuwa yeye si Malaika .
Hoja inachezwa hapo , mafano hata hata Baba yako hajakipu pesa ya kukuagiza kununua bidhaa dukani then akutume dukani wewe simply unatakiwa usimame kwenye hoja kuwa nipo mpka sasa kwa vile sina hela na haujanipa pesa basi , kuliko kumwambia kwa ujeuri kuwa hauna Mamlaka ya kunituma au Sasa hivi Mimi mkubwa sipaswi usiniamrishe kama mtoto.
Hapo unatoka nje ya msingi ambao ulitakiwa uusimamie.