Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Kuhusu jiwe Jeusi Hadith ya Umar inaeleza vyema kabisa .

Dini ya Uislamu haina mambo ya ushirikina kabisa , kusema Yesu kuwa Mungu ni uovu na ushirikina mkubwa sana hata Biblia inajichanganya yenyewe . Yaani Mungu anamuomba Mungu mwengine amsaidie haya si maajabu kabisa ?
hata sisi ktk ukristo kumwita Allah ni Mungu na Muhammad mtume ni uchuro kabisa.

maana wanakiuka kanuni za sifa tajwa hapo juu,mfano nikuulize swali,ibilis ktk uislam anatuhumiwa kwa kosa gani???
 
Kwa kifupi

Waislamu huamini muujiza huu kwa msingi wa imani na ushuhuda wa hadithi za Mtume (s.a.w).

Wataalamu wa historia na sayansi hawana ushahidi wa tukio hilo duniani kote.

Kwa hiyo, muujiza huu unabaki kuwa ni wa imani, si wa kihistoria wa kuthibitishwa kwa njia ya kawaida.
Muujiza sio lazima kuthibitishwa kisayansi.
Ndio hata Yesu alifufua watu. Haitaki sayansi kuamini au kuthibitisha.
 
Kuhusu jiwe Jeusi Hadith ya Umar inaeleza vyema kabisa .

Dini ya Uislamu haina mambo ya ushirikina kabisa , kusema Yesu kuwa Mungu ni uovu na ushirikina mkubwa sana hata Biblia inajichanganya yenyewe . Yaani Mungu anamuomba Mungu mwengine amsaidie haya si maajabu kabisa ?
Nilifikiri ushirikina ni uganga/uchawi!
 
Hakuna mahali Biblia inajichanganya, wewe ndiye unayejichanganya, halafu suala la Yesu kuwa Mungu wewe usiyekuwa na mafundisho ya Kikatoliki huwezi elewi maana wewe umefundishwa vinginevyo
Ukisema "wewe usiyekuwa na mafundisho ya kikatoliki huwezi elewa" inamaana ningumu kuelewa mambo ya kiimani mpka uelewe misingi na tamaduni za dini husika.
Hasa unapata wapi nguvu za kujibu mambo ya uislamu hali hujui kuhusu desturi za kiislamu?
 
Ni swali la kawaida tu. Yesu alifufua wafu..Hakuna sayansi itakayothibitisha hili. Ila tunaliamini tu kama la mwezi
Sihitaji uthibitisho wa sayansi, nahitaji kujua kama kuna watu wengine tofauti na wa Mecca waliowahi kuona mwezi umepasuka vipindi viwili ukajirudia kwa sababu mwezi ni mmoja tu duniani na wakati wote nusu ya dunia inaweza kuuona mwezi kwa wakati mmoja.
 
Ni swali la kawaida tu. Yesu alifufua wafu..Hakuna sayansi itakayothibitisha hili. Ila tunaliamini tu kama la mwezi
Hivyo basi itoshe kusema kwamba tukio la mwezi (mmoja dunia nzima) kupasuka walilishuhudia waarabu wa mecca tu
 
Sihitaji uthibitisho wa sayansi, nahitaji kujua kama kuna watu wengine tofauti na wa Mecca waliowahi kuona mwezi umepasuka vipindi viwili ukajirudia kwa sababu mwezi ni mmoja tu duniani na wakati wote nusu ya dunia inaweza kuuona mwezi kwa wakati mmoja.
Muujiza hauendi unavyotaka wewe...huenda anavyota Mungu kwa mahitaji ya wahusika.
Inawezekeka walio Macca waliona na walio kwingine hawakuwa na habari.
Kuna nabii alifanya maombi jua likasimama kwa muda...ulishauliza wengine kwingine waliona?
 
Basi hayo ni sawa na mazingaombwe tu
 
Kuna Aya nyingine inasema Muhammad alichukuliwa usiku kupelekwa Yerusalemu msikiti wa Al Aqsa baada ya hapo akapelekwa mbinguni na farasi wa ajabu.
Ukifuatilia huo msikiti Al Aqsa enzi za Muhammad haukuwepo.
Ulikuja kujengwa na khalifa wa Tano Ibn Malik baada ya Muhammad kufa huyu alitawala Jerusalem
 
UNAJUA MAANA YA MUUJIZA?
MAANA YA MAZINGAOMBWE?
Au hii ni mada yenye lengo maalum!!
Miujiza ni mambo ya ajabu yanayosemwa kufanywa kwa uwezo wa Mungu au miungu, mazingaombwe(magic) ni mambo ya kushangaza yanayofanywa na binadamu kwa tricks mbalimbali za kuhadaa akili za mwanadamu.
Ndio, hii mada ina lengo maalum.
 
Ni kwamba mnyazi Mngu aliamua kupapenda Mecca kuliko pahala pengine popote,ndugu zangu waislamu Tumcheni Mnyazi Mngu bila shaka yoyote.
 
Miujiza ni mambo ya ajabu yanayosemwa kufanywa kwa uwezo wa Mungu au miungu, mazingaombwe(magic) ni mambo ya kushangaza yanayofanywa na binadamu kwa tricks mbalimbali za kuhadaa akili za mwanadamu.
Ndio, hii mada ina lengo maalum.
Huo muujiza ulikuwa kwa watu hao,kwa muda wao na eneo lao.
Sio kwa asiehusika..
 
Back
Top Bottom