Ushirikina ni Concept kubwa katika Usilamu inahitaji mtu asome kuelewa vyema kwani Ina aina mbalimbali na vigawanyo vyake na Waislamu wengi wanafanya bila kujua mfano;Nilifikiri ushirikina ni uganga/uchawi!
Namna gan tena hapa???!!!Baada ya kugawanyika ukajiunga tena lini au mwezi mwingine ulizaliwa? Nauliza kujifunza.
Kosa lake ni kumuasi Allaah kwa kukataa Amri yake na kufanya kibri.hata sisi ktk ukristo kumwita Allah ni Mungu na Muhammad mtume ni uchuro kabisa.
maana wanakiuka kanuni za sifa tajwa hapo juu,mfano nikuulize swali,ibilis ktk uislam anatuhumiwa kwa kosa gani???
Je nahili umeshaliulizia kuhusu sauti hii iliyotoka mbinguni ilisikika mji mzima au Nchi nzimaSihitaji uthibitisho wa sayansi, nahitaji kujua kama kuna watu wengine tofauti na wa Mecca waliowahi kuona mwezi umepasuka vipindi viwili ukajirudia kwa sababu mwezi ni mmoja tu duniani na wakati wote nusu ya dunia inaweza kuuona mwezi kwa wakati mmoja.
Kweli kabisa.Kama unaona rahisi kusimulia mambo ya Subgura na Fisi ukakubalika na watu wengi Duniani , pamoja na kushikamana nazo hizo kwa kipindi kirefu basi na wewe kuleta zako tuone impact yake.
Amri ya Allah kwake ilikuwa ipi??na usisahau kuweka Aya.Kosa lake ni kumuasi Allaah kwa kukataa Amri yake na kufanya kibri.
sauti hii ilisikika pale pale mtoni na watu wote wakiisikia waliokuwepo,matukio mengi ktk ukristo yalikuwa na mashuhuda hata wakati mtume paul anakutana na balaa ilikuwa ni mbele ya msafara wake.Je nahili umeshaliulizia kuhusu sauti hii iliyotoka mbinguni ilisikika mji mzima au Nchi nzima
Mathayo 3:17 - "Na sauti kutoka mbinguni ikasema, 'Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye.'"
Marko 1:11 - "Na sauti kutoka mbinguni ikasema, 'Huyu ndiye Mwanangu, mpendwa, ambaye nimependezwa naye'".
Kuelewa huu mstari unatakiwa uwe na akili kubwa ila ukitumia akili za madrasa utajua ni jiwe kweli😁😁😁We kenge kasome bibilia vizuri we kumbe chizi huijui hata bibilia meza chuma hicho
Mt 21:42-44 SUV
Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu? Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki
Angekuwa nchi za kiislamu angekatwa kichwa ili kuuficha uwongo huuUnauliza maswali ambayo ndugu zangu katika imani hawayapendi
Dunia ina mwezi mmoja tu....au nyinyi makobasi mna mwezi wenu wa kuvunjika na kujiunga tenaHuo muujiza ulikuwa kwa watu hao,kwa muda wao na eneo lao.
Sio kwa asiehusika..
Mkuu sijaona michango yako kwa muda sana humu JF,Baada ya kugawanyika ukajiunga tena lini au mwezi mwingine ulizaliwa? Nauliza kujifunza.
Hakuna muujiza kama huo ni uongo tu wa jini Allah, sijui linatuonaje.Kwa kifupi
Waislamu huamini muujiza huu kwa msingi wa imani na ushuhuda wa hadithi za Mtume (s.a.w).
Wataalamu wa historia na sayansi hawana ushahidi wa tukio hilo duniani kote.
Kwa hiyo, muujiza huu unabaki kuwa ni wa imani, si wa kihistoria wa kuthibitishwa kwa njia ya kawaida.
Mungu hana chanzo.Wakristo bhana asili ya Mungu ni ipi?
kwanza soma kwa utulivu,maana yake mwanzo umelikuta neno tayari lipo,ambalo lilikuwa na Mungu,nalo neno lilikuwa Mungu tayari.Wanakwambia hapo mwanzo kulikuwako na neno neno likawa neno likawa neno likawa Mungu.
rudi juu pale,neno halina asili,liko pamoja na asili yake.Hhhhhhhh aiseee mm usiniletee hizi ngano niambie asili ya neno kwanza