Kwa nini tuwaombee waliokufa?

Kwa nini tuwaombee waliokufa?

ila sio kama naikana dini yangu naipenda...ila kunamaswali najiuliza sana bila kupata jibu.
Je mbona hapo nyuma kabla ya dini kuenea sana watu walikuwa wakifanya matambiko, kuomba vilimani n.k mfano kuomba mvua, kuomba vitu mbali mbali na vilikuwa vinatokea mfano mvua inanyesha kubwa sana wakiomba.
Ila leo hii ulimwengu ulioacha matambiko ulozingatia dini mbona wakiomba havitokei kama enzi za babu zetu?

Me nakumbuka nilipokuwa mdogo huko arusha ukisikia wamasai wameenda kuomba mvua...na nikweli itanyeesha...

Na je kabla ya kuja waingereza na waarabu inamaana sisi sote waafrica tulikuwa tunadhambi kwasababu hakukuwa na dini?

binti kumbuka hata shetani utengeneza mvua ili awadanganye watu wamwamini. Na watu wengi leo wanamwabudu shetani kwa kujua au kwa kutikujua mimi sipo hili nimpigie kampeni shetani.lahasha maana hana kitu kwangu. Ni kuulize swali 1.babu zako na bibi zako zamani walikwambia walipokua wanakwenda kutambika walikua wanakwenda kutambika kwa mungu yupi? Hapa ni weke vizuri napenda mjue tafsiri ya neno [mungu] ni nini. Tafsiri ya neno mungu ni muweza wa yote. Sasa basi hata wale waliokua wanakwenda kuomba mvua kwa kutambikia mizimu mungu wao anayetokana na mizimu aliwajibu.hata bibilia inawataja miungu iliyokuwepo zamani juu ya makabila ya watu na kiongozi wao mkuu ni shetani soma [ufunuo 13: 14: 15: 16: 18:] utaona wazi wazi imemtaja shetani na hayo wewe unayoyasema kama kutambikia na nk:kwa kuligundua hilo. Yesu mwenyewe alisema hivi [na uzima wa milele ndio huu.wakujue mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliye mtuma;[yohana 17:3] kwa maneno haya yesu anathibitisha wapo mungu wa uongo. Nanje ya yesu hakuna mungu wa kweli. Nikupotea.
 
Soma vizuri. Kitabu cha makabayo wa 2 utaona yuda makabayo alipokusanya sadaka kwa ajili ya kupeleka yerusalem hekaluni ili kuwaombea askari waliokuwa wmekufa vitani. Pili kwa maneno ya yesu mwenyewe alisema dhanbi zote mwanadamu anaweza kusamehewa katika ulimwengu huu au ule ujao. Ila dhambi moja tu ya kumkufuru roho mtakatifu mwanadamu hatasamehewa katika ulimwengu huu au ule ujao. Sasa jiulize ulimwengu ujao ni upi? Na huyo anayesamehewa dhambi kwenye ulimwengu ujao atakuwa katika hali gani ya kuwa hai au ameshakufa. Jaribu kutafakari.
 
Haya tena. Muhammad anasema uongo bila ya aibu. Hebu tumsome.

Kasema Mtume (S.a.w)
“Hakika maiti anajua nani anaembeba, na nani anaemuosha, na nani anaemtia kaburini mwake” (Mweli Mwaminifu, Juzuu ya 1-2, Hadithi Na. 422, Uk. 188)

MWAMDISHI SHEIKH SAID MOOSA MOHAMED AL-KINDY
Hivi jamani unaposema maiti kuna kujua tena? kuna uhai tena? yaani muislamu akifa, yule anaemosha, yaani anaemkamua mavi, anaemtia kidole matakoni kuhakiki kama mavi yote yameisha, anamjua, maana kuna siri hapo kwenye kukamua, wanaambiwa wasitoe siri hiyo nje, kwa ushahidi huu

Kasema Mtume (S.a.w) “Anaeosha Maiti basi aanze kwa kumkamua” (Mkweli Mwaminifu, Juzuu ya 1-2 Hadithi Na. 423, Uk. 188)

423 Na muradi wa kukamua, si kama inavyokamuliwa nguo, la: bali analazwa chali, kisha anakalishwa nkitako na huku anakandamizwa kidogo kidogo tumboni kisha unamrejesha tena chali kisha unamuinua kumkalisha na mkono wako uwe tumbono mwake, unafanya hivyo mara tatu, kisha unamosha tena. Na ikiwa umemtoka uchafu wote tumboni kwa njia ya haja utupu wa nyuma, Bai useme kitu wala msimwambie mtu, ukitoa siri yake maiti basi hupati thawabu, na badili yake unapata madhambi.

Hapo kwenye usitoe siri ndipo penye kutiana vidole makalioni kwa maiti maana huwezi jua kama uchafu umeisha mpaka umtie kidole kwa pamba au kitambaa cheupe,uone umetoka uchafu wa rangi gani, maana miti yule kwa mujibu wa Muhammad, anajua kabisa fulani kanitia kidole matakoni, kwa hivyo muislamu akitoa siri hiyo basi anapata dhambi, badala ya thawabau. SASA TUJIULIZE, JE Maiti anakuwa na ufahamu wowote? anaejua yote hayo ni marehemu aliye hai? Msikilize Mfalme Sulemani anavyosema.

Muhubiri 9:5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa

Kwa ushauri wangu, waislamu msitishike na hao maiti wenu, hawajui lolote, kwa hivyo hizo siri tupeni manzowafanyia hao marehemu wenu.

Weye kweli mie meamini akili zako ni sawa na za sisimizi japo wamzidi sisimizi kwa mwili.

Ufahamu /uelewa wako waezakuta upo sawa na ufahamu /uelewa wa hoyo mdudu dhaifu na dhalili.

Ukitaka kufasiri mambo usokuwa na Ilimu nayo, waezapotoka zaidi ya IBILIISA mlaanifu.

Nakuekea ufahamu /compression kwa upande wa Uislaam juu ya tafsiri ya neno MAITI, ili ujue kile ukizungumzacho kisha ndipo uendelee na soga/ngano zako kuwalaghai wenye ufahamu wa kiwango chako.

MAITI:
_______
NI KITENDO CHA KUHAMA KUTOKA HALI MOYA KUENDA HALI NYANGINE.

i. e
Maiti ni kitendo cha biniyadamu kusimama pumzi na roho yake kurejezwa kwa aliyeiumba na kurejezewa tena kwa ajili ya hatua nyangine.

Hiyo ni sawa, ambavyo weye uliumbwa bila ya weye kutaka wala kukhiyari wala kutuma maombi ila ni kwa matakwa yake mwenyewe hoyo Muumbaji wako.

Sasa ule wakti akikufanzia yoote hayo weye ulikuwa ni sawa na gari /motokari huna khiyari bali wafanzwa kwa amri za mfanzaji wako.

Kwa uchache huo ntakoma, nakusubiri nawe utujuze wana barza hapa ufahamu wako juu ya hilo neno "MAITI" lilokukanganya ili tuupate mwanga na ndipo tutajaenda uzuri kwa faida ya wengi.

Shida ni weye vile ulivyofahamu na namna inavyofahamika kihakika, khalafu ukataka watu wafahamu utakavyo weye wafahamu....!?

Ahsanta nipo kipembeni hapa nasubiri mrejezo wako.
 
Neno LA Mungu linasema lipo jina moja pekee limalopaswa kuabudiwa na hakuna jina lingine tulilopewa ni la Yesu sasa unamwomba wafu aliyekufa hiyo ni udanganyifu na hakuna Mungu hapoo
 
Mkuu Imani zote zilizo asi katoliki zimekuwa zikifanya blunder worldwide.. kuanzia kuruhusu divorce, utoaji mimba, mauaji ya huruma, u-gay na mambo mengine.. limebaki kanisa katoliki palepale..tena huwa halina tabia ya kujadili madhehebu mengine yoyote ama dini nyingine zozote katika mafundisho yao.. kama wafanyavyo evangelical christians ambao hawaachi kupondea katoliki na kujivuna lakini hatma zao sikuzote imekuwa aibu.... jaribu kufikiri tofauti.

Pia ningeomba uniambie nini maana ya pale yesu alipomwambia petro kwamba ni mwamba?

Wakuu,

Tusijadili ubora wa madhehebu na dini zetu. Tujadili mada kwa kutumia neno kwani ni watu wengi wanafaidika na mjadala kama huu.

Mfano rahisi; dini/dhehebu yako/lako ikiwa nzuri sana (Mungu ndiye ajuaye) halafu wewe ukawa mtenda dhambi, utapata uzima wa milele? Imani ni kitu binafsi War. 10:9.

Tafakari.
 
Sawa walikuwa wanaabudi Mungu ambaye ni Muweza wa yote Muumba mbingu na ardhi lkn Hawakuwa christian wala Muslims... Hizo dini zao kwanini wasiendelee nazo na je inamaana walikuwa wanapata dhambi wote...?
Sababu sisi kama si Waarabu kuja tusingejua Uislam
Kama si Waingereza kuja tusingejua Ukrsito

binti kumbuka hata shetani utengeneza mvua ili awadanganye watu wamwamini. Na watu wengi leo wanamwabudu shetani kwa kujua au kwa kutikujua mimi sipo hili nimpigie kampeni shetani.lahasha maana hana kitu kwangu. Ni kuulize swali 1.babu zako na bibi zako zamani walikwambia walipokua wanakwenda kutambika walikua wanakwenda kutambika kwa mungu yupi? Hapa ni weke vizuri napenda mjue tafsiri ya neno [mungu] ni nini. Tafsiri ya neno mungu ni muweza wa yote. Sasa basi hata wale waliokua wanakwenda kuomba mvua kwa kutambikia mizimu mungu wao anayetokana na mizimu aliwajibu.hata bibilia inawataja miungu iliyokuwepo zamani juu ya makabila ya watu na kiongozi wao mkuu ni shetani soma [ufunuo 13: 14: 15: 16: 18:] utaona wazi wazi imemtaja shetani na hayo wewe unayoyasema kama kutambikia na nk:kwa kuligundua hilo. Yesu mwenyewe alisema hivi [na uzima wa milele ndio huu.wakujue mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliye mtuma;[yohana 17:3] kwa maneno haya yesu anathibitisha wapo mungu wa uongo. Nanje ya yesu hakuna mungu wa kweli. Nikupotea.
 
"And whoever speaks a word against the Son of Man will be forgiven; but whoever speaks against the holy Spirit will not be forgiven, either in this age or in the age to come ".Mt 12:32 ......... Utingo naomba unijuze umeelewa nini juu ya andiko hili? .......... CC Otorong'ong'o ..... RGforever ..... Mkuu wa chuo .........
 
Kwa wale wanajifanya wanaujua Ukatoliki na kufundisha yao bila reference rasmi za Kanisa kama Utingo ngoja niwape nukuu kutoka kwenye Catekisimu yetu then utafakari ........................To understand this doctrine and practice of the Church, it is necessary to understand that sin has a double consequence. Grave sin deprives us of communion with God and therefore makes us incapable of eternal life, the privation of which is called the "eternal punishment" of sin. On the other hand every sin, even venial, entails an unhealthy attachment to creatures, which must be purified either here on earth, or after death in the state called Purgatory. This purification frees one from what is called the "temporal punishment" of sin. These two punishments must not be conceived of as a kind of vengeance inflicted by God from without, but as following from the very nature of sin. A conversion which proceeds from a fervent charity can attain the complete purification of the sinner in such a way that no punishment would remain. (section 1472)
 
Last edited by a moderator:
mkuu otorongongo.kwanza kabisa ondoa swala la dheebu lako ukitaka kusaidiwa kujua mambo. Kiukweli kimaandiko ibada ya kuwaombea wafu ni ibada za kishetani. Hai wezekani mtu hakiwa hai halimkataa yesu kwa matendo yake akaishi maisha ya dhambi.alafu ujifariji utamwombea kwa mungu amsamahe. Mungu ni mungu wa utaratibu na ndio maana alimtuma mwanawe aje akuhubirie wewe uliye hai.ili utengeneze kabla hujafa.na yesu ameongea wazi wazi na mnukuu:[tena kwa habari ya kiyama hamja soma neno hili.lililo nenwa na mungu akisema?mimi ni mungu wa ibrahimu.mungu wa isaka. Na mungu wa yakobo? Mungu sio mungu wa wafu,bali wa walio hai.na makutano waliposikia.walishangaa kwa mafundisho yake:[mayayo 22:31>33] sasa kwa nini hawa watu walishangaa hayo mafundisho ya yesu? Jibu hata wao waliaminishwa kuwaombea wafu.jambo ambalo yesu alilipinga wazi wazi.na hao wanao wafundisha watu kuwaombea marehemu hawatokani na mungu bali ni wajumbe wa shetani. Nitakupa sababu ambazo kama utatafakari kwa kina basi na wewe utaokoka kama sisi tulivyokua tumeaminishwa na kanisa katoliki. Ni hukweli usiopingika kutokana na kipengele hiki cha kuwaombea waliokufa.kimekua mlango mzuri wa shetani kuwafariji waamini kwamba wewe fanyatu dhambi hata ukifa siwatakuombea.na kupitia kipengele hichi watuwengi sana wameenda kuzimu kwa kufuata ushetani uhu.wa kuambiwa tutakuombea hata kama ukifa leo na mungu atakusamehe kabisa kabisa.mimi niseme wazi so mungu huyu ninayemjua mimi.anayesema baada ya kifo ni hukum.na anayetusisitiza kuishi maisha matakatifu.ukisoma [luka 16:] utakutana na story ya tajiri na lazaro ukiisoma hadithi ile utagundua yesu alikua anazungumzia maisha ya watu 2 tofauti yaani tajiri aliyeishi maisha ya anasa na dhambi na maskini lazaro aliyeishi maisha matakatifu sasa baada ya kufa maskini akawekwa mahali stahili na tajiri alipokufa vile vile akawekwa maali stahili.unaona huyu tajiri anamwomwomba mungu baada yakutafuta uruma za mungu kushindikana.anamwomba mungu atume mtu kutoka kule kuzimu akawaambie nduguzake watengeneze wangali hai wasije kwenda kule yeye alipo.mungu anamjibu naomba kunukuu:[akamwambia wasipo wasikia musa na manabii.hawata wasikia hata mtu akifufuka katika wafu] kwa maana hiyo basi mbinguni hatuingii kwa kutafuta lifti na uruma za kuombewa ukisha kufa.mbinguni tutaingia kwa kumwamini yesu yaani kuokoka na kuishi maisha matakatifu narudia tena [kuokoka] na [kuishi maisha matakatifu] nakushauri uachane na ibada za wafu zitakupoteza ndugu yangu na uhelimishe wengine waishi maisha matakatifu. Nakuacha na mstari uhu.[basi roho asema wazi wazi ya kwamba.nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo,na mafundisho ya [mashetani]kwa unafiki wa watu wasemao uongo: 1thimotheo 4:1>2]

Unapingana na maandiko...?

Sikushangai ukisema ibada za kishetani maana biblia yako ni ile Martin Luther aliipunguza vitabu 7 mkabakiwa na vitabu 66....

Sisi tunafuata maaandiko Matakatifu ambayo hayajapunguzwa wala kuongezwa na mtu yoyote..

Ahsanta..
 
Nikishaona article au kitabu chochote chenye 6:23-345, narudisha kwenye shelfu,
 
"And whoever speaks a word against the Son of Man will be forgiven; but whoever speaks against the holy Spirit will not be forgiven, either in this age or in the age to come ".Mt 12:32 ......... Utingo naomba unijuze umeelewa nini juu ya andiko hili? .......... CC Otorong'ong'o ..... RGforever ..... Mkuu wa chuo .........
Mkuu MTAZAMO mbona hiyo verse haijaongelea issue ya kumwombea mwingine msamaha tena aliyekufa... kwanini mtu asitengeneze mwenyewe mpaka ategemee kutengenezewa na wengine!?
 
Last edited by a moderator:
Weye kweli mie meamini akili zako ni sawa na za sisimizi japo wamzidi sisimizi kwa mwili.

Ufahamu /uelewa wako waezakuta upo sawa na ufahamu /uelewa wa hoyo mdudu dhaifu na dhalili.

Ukitaka kufasiri mambo usokuwa na Ilimu nayo, waezapotoka zaidi ya IBILIISA mlaanifu.

Nakuekea ufahamu /compression kwa upande wa Uislaam juu ya tafsiri ya neno MAITI, ili ujue kile ukizungumzacho kisha ndipo uendelee na soga/ngano zako kuwalaghai wenye ufahamu wa kiwango chako.

MAITI:
_______
NI KITENDO CHA KUHAMA KUTOKA HALI MOYA KUENDA HALI NYANGINE.

i. e
Maiti ni kitendo cha biniyadamu kusimama pumzi na roho yake kurejezwa kwa aliyeiumba na kurejezewa tena kwa ajili ya hatua nyangine.

Hiyo ni sawa, ambavyo weye uliumbwa bila ya weye kutaka wala kukhiyari wala kutuma maombi ila ni kwa matakwa yake mwenyewe hoyo Muumbaji wako.

Sasa ule wakti akikufanzia yoote hayo weye ulikuwa ni sawa na gari /motokari huna khiyari bali wafanzwa kwa amri za mfanzaji wako.

Kwa uchache huo ntakoma, nakusubiri nawe utujuze wana barza hapa ufahamu wako juu ya hilo neno "MAITI" lilokukanganya ili tuupate mwanga na ndipo tutajaenda uzuri kwa faida ya wengi.

Shida ni weye vile ulivyofahamu na namna inavyofahamika kihakika, khalafu ukataka watu wafahamu utakavyo weye wafahamu....!?

Ahsanta nipo kipembeni hapa nasubiri mrejezo wako.

Binafsi nimependa vile umesema kua MAITI ni kitendo cha binadamu kusimama pumzi na roho yake kurudi kwa alieiumba its ok..swali ni je wakati tunaposema watu waende makaburini kuombea wafu au wakapeleke shida zao kwa wafu,hapa wanaenda ombea nini au kukiomba kitu gani hapo iwapo kilichopo hapo kaburini ni mwili tu ulio kama kasha wala hauna msaada wowote?au wanaenda kuomba hiyo nafsi kwa kuamini ipo hapo juu ya kaburi na inaweza tatua matatizo au inasikia kua wanaiombea kwa MUNGU wetu alie hai?kama inasikia kua wanaiombea ili iweje,ifarijike?na kama wanaenda kuomba shida zao zipate utatuzi kupitia nafsi hiyo hapo tuseme inaanzia wapi kutatua shida zao?kwa kuzungumza na MUNGU au?na tunaamini vipi inaweza zungumza na MUNGU iwapo nafsi ya mtu huyu kabla hajafa alikua ni mdhambi na tunajua wazi MUNGU wetu hatembei wala kusikiliza maombi ya wenye dhambi mpaka ametubu na kuishi kwa kumpendeza MUNGU,so keshakufa anaweza kuongea na muumba kweli na muumba akamuelewa?
 
Maneno matupu bila ya aya, sio mali kitu.
 
Sawa walikuwa wanaabudi Mungu ambaye ni Muweza wa yote Muumba mbingu na ardhi lkn Hawakuwa christian wala Muslims... Hizo dini zao kwanini wasiendelee nazo na je inamaana walikuwa wanapata dhambi wote...?
Sababu sisi kama si Waarabu kuja tusingejua Uislam
Kama si Waingereza kuja tusingejua Ukrsito
Mungu Mkuu ni Mmoja tu. YESU.

YESU NI MTAWALA JUU YA YOTE. HII NI SIFA YA MUNGU PEKEE.
(YOHANA 330 ) "Yeye ajaye kutoka juu,huyo yu juu ya vyote.Yeye aliye wa dunia asili yake ni ya dunia,naye anena mambo ya duniani,yeye ajaye kutoka mbinguni yuu juu ya yote" . ( YOHANA 13:13 ) "Ninyi mwaniita ,Mwalimu, na Bwana;nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo". ( WARUMI 14:9 ) "Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii,awamiliki waliokufa na walio hai pia". Neno kumiliki ni kutawala sifa ya kutawala ni sifa ya Mungu pekee.
 
Binafsi nimependa vile umesema kua MAITI ni kitendo cha binadamu kusimama pumzi na roho yake kurudi kwa alieiumba its ok..swali ni je wakati tunaposema watu waende makaburini kuombea wafu au wakapeleke shida zao kwa wafu,hapa wanaenda ombea nini au kukiomba kitu gani hapo iwapo kilichopo hapo kaburini ni mwili tu ulio kama kasha wala hauna msaada wowote?au wanaenda kuomba hiyo nafsi kwa kuamini ipo hapo juu ya kaburi na inaweza tatua matatizo au inasikia kua wanaiombea kwa MUNGU wetu alie hai?kama inasikia kua wanaiombea ili iweje,ifarijike?na kama wanaenda kuomba shida zao zipate utatuzi kupitia nafsi hiyo hapo tuseme inaanzia wapi kutatua shida zao?kwa kuzungumza na MUNGU au?na tunaamini vipi inaweza zungumza na MUNGU iwapo nafsi ya mtu huyu kabla hajafa alikua ni mdhambi na tunajua wazi MUNGU wetu hatembei wala kusikiliza maombi ya wenye dhambi mpaka ametubu na kuishi kwa kumpendeza MUNGU,so keshakufa anaweza kuongea na muumba kweli na muumba akamuelewa?

Hebu njoo tartiibu kwa maulizo yalo na nukta, si kueka mlolongo ambao huchanganya hata wanajamvi.

Kwanza nataka unijuze....

1: weye Dini/ Imani gani...!?

2: katika mlolongo wa maelezo
yako pana neno umetumia
nalo ni "NAFSI",

Huo pia ni "UGA" mpana mno, maana yake nini....!?

Ndo nkakutanabahisha sifanze vurugu nyingi kwa dhanazo ati u-mjuzi wa maulizo ilhaali twatoka kulifikia lengo.

Kama hujanifahamu ni radhi kukurejea hadi ukae sawa.

Ahsanta nipo kipembeni hapa nasubiri.
 
Mungu Mkuu ni Mmoja tu. YESU.

YESU NI MTAWALA JUU YA YOTE. HII NI SIFA YA MUNGU PEKEE.
(YOHANA 330 ) “Yeye ajaye kutoka juu,huyo yu juu ya vyote.Yeye aliye wa dunia asili yake ni ya dunia,naye anena mambo ya duniani,yeye ajaye kutoka mbinguni yuu juu ya yote” . ( YOHANA 13:13 ) “Ninyi mwaniita ,Mwalimu, na Bwana;nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo“. ( WARUMI 14:9 ) “Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii,awamiliki waliokufa na walio hai pia”. Neno kumiliki ni kutawala sifa ya kutawala ni sifa ya Mungu pekee.

Kufa ni nini....!?
 
Hebu njoo tartiibu kwa maulizo yalo na nukta, si kueka mlolongo ambao huchanganya hata wanajamvi.

Kwanza nataka unijuze....

1: weye Dini/ Imani gani...!?

2: katika mlolongo wa maelezo
yako pana neno umetumia
nalo ni "NAFSI",

Huo pia ni "UGA" mpana mno, maana yake nini....!?

Ndo nkakutanabahisha sifanze vurugu nyingi kwa dhanazo ati u-mjuzi wa maulizo ilhaali twatoka kulifikia lengo.

Kama hujanifahamu ni radhi kukurejea hadi ukae sawa.

Ahsanta nipo kipembeni hapa nasubiri.

Kuna tatizo pia kwako nimeshaliona...hatupo kubishana zaidi ya kueleweshana,katika yote niliyosema siamini kama hakuna kitu hujaelewa na ndiyo maana umejibu.swala la dini si kitu maana niwe mkristo au muislamu bado jambo liko pale pale kwa imani zote hizo tunaona watu wanatenda hayo,na kwa sababu watu tumepewa uwezo mkubwa wa kuelewa jema na baya na lina sababu au halina basi ndiyo maana tuko hapa kueleweshana,hakuna kisichoeleweka hapa
 
Mie ni MUISLAAM tena mwenye kuupenda Uislaam.

Hivyo kwa mujibu wa DINI yangu siwezi enda omba kaburi linisaidie.
 
Mkuu wa Chuo, hata wewe mwenyewe unavyoandika tayari unajichanganya. Na hii ni kwa sababu ya kukariri au kukaririshwa maandiko. Kwanza kama biblia ingekuwa "principled" na "consistent" isingehitaji au isingeacha mwanya wa kuleta tafsiri tofauti tofauti wala uelewa tofauti tofauti kwa kuwa ingekuwa inalenga kutoa ujumbe uleule kwa kila msomaji. Sasa hata wewe unakiri kuwa inategemea jinsi gani watu wanavyofasiri maandiko na kuelewa maandiko, na hii ndiyo sifa kuu ya andiko ambalo siyo principled au andiko ambalo ni "subjective". Hebu tazama kuna madhehebu mangapi duniani yaliyotokana na kutafsiri biblia kila mtu kivyake vyake? Kama biblia ingekuwa consistent na principled ingewezesha kuwepo kwa dhehebu moja tu ambalo linafuata kanuni za aina moja za kibiblia, lakini kwa kuwa iko subjective imeshindwa katika hilo na ndiyo maana kuna utitiri wa madhehebu na hakuna fomula ya kuamua lipi ni la kweli au la uongo kwa kuwa kila mmoja anatafsiri ukweli au uongo kadiri aonavyo yeye kwa kutafsiri maandiko ambayo hayana fomula kadiri aonavyo yeye. Tena kila mmoja anajigamba kuwa kuwa dhehebu lake ni la kweli zaidi na la kibiblia zaidi. Mifano mingine pia soma maandiko yafuatayo na useme hapa na watu wenye akili zao "great thinkers" pia wataona kiukweli kama yanaonyesha consistency yoyote. Pia umeongelea torati kana kwamba kwa sasa haihusiki tena lakini hayo ni mawazo ya kwako siyo ya biblia, soma pia maandiko hapa chini kuhusu ulazima wa torati hata sasa, au la ndiyo ushahidi zaidi wa biblia kukosa consistency. Vile vile umepinga kuhusu aina ya dhambi nayo ni mawazo ya kwako kwa kuwa biblia iko wazi soma pia hapo chini. Na hayo ni baadhi tu ya maandiko. Nakushauri uache kukariri maandiko na usikubali kukaririshwa maandiko, jisomee na kutafakari mwenyewe kwa makini ili upate ufahamu ulio huru na kweli:

MAANDIKO KUHUSU DIVAI/POMBE:

Hesabu 15: 4
ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee Bwana sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta; 5 na divai kwa sadaka ya kinywaji, robo ya hini, utaiandaa pamoja na sadaka ya kuteketezwa, au kwa dhabihu ya kuchinjwa, kwa ajili ya kila mwana-kondoo. 7 na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa Bwana. 10 Tena utasongeza nusu ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji, kwa sadaka iliyosongezwa kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa Bwana.

Hesabu 28:7
Na sadaka yake ya kinywaji itakuwa robo ya hini kwa mwana-kondoo mmoja; hiyo sadaka ya kinywaji, ya kileo, utammiminia Bwana katika mahali hapo patakatifu.

Hesabu 28:14
Tena sadaka zake za vinywaji zitakuwa nusu ya hini ya divai kwa ng'ombe, na sehemu ya tatu ya hini kwa kondoo mume, na robo ya hini kwa mwana-kondoo; hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi katika miezi yote ya mwaka. 15 Tena mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi kwa Bwana itasongezwa zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.

Mhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

Mhubiri 9: 7
Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka; kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako.

1Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Luka7:33
Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuja, hali mkate wala hanywi divai, nanyi mwasema, Ana pepo. 34 Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi.

Yohana 2:7
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza hata juu. 8 Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka. 9 Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi, 10 akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.
Mathayo 15:11 Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. 17 Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? 18 Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;

Mithali 23: 20
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo;... 31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu; 32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama ----.

Mithali 31:4
Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni. 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Wagalatia 5:19
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

KUHUSU TORATI

Mathayo 5:17
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka, hata yote yatimie.

Luka16:17
Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati.

KUHUSU AINA ZA DHAMBI

1Yohana 5:15
Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba. 16 Mtu akimwona ndugu yake anatenda dhambi isiyo ya mauti, ataomba, na Mungu atampa uzima kwa ajili ya hao watendao dhambi isiyo ya mauti. Iko dhambi iliyo ya mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hiyo. 17 Kila lisilo la haki ni dhambi, na dhambi iko isiyo ya mauti.

BAADHI YA MAANDIKO MENGINEYO YENYE UTATA

Mhubiri 7: 16
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe? 17 Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Mhubiri 3:19
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili. 20 Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.

Hii nakataa Biblia haijipingi, ila inatokana na jinsi gani ya watu wanavyofasiri maandiko na uelewa wa maandiko... Biblia haijipingi... labda ulete maandiko yanayojipinga halafu tujadili tuone kama ni kweli...

kwanza hayo maelezo yako unatakiwa uelewe Biblia ni nini!? Unatakiwa uelewe ni kwanini vitabu vya Aprokifa havikuwekwa, Halafu na kina nani walioandika Biblia kama unavyosema... lakini naona Utingo amejitahidi kuelezea lakini sijui haujasoma maelezo yake...

Hapo nilipoweka red, Unaanza kuongelea habari za Joseph Smith nabii wa Wamormons kanisa lake alilolianzisha mwaka 1827, kwa kifupi unaanza kuingiza imani za ajabu, tunapokuja katika neno la Mungu inabidi tuangalie neno linasemaje na sio kuanza kuingiza mafundisho ya watu, msingi wetu ni neno la Mungu... ukweli huwa una njia yake, na sio kubuni vitu na kuanza kuvisapoti kuvitengenezea njia...

Yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Hapo nilipoweka blue ni kama nilivyosema mwanzo ni namna gani ya kuelewa scripture... kwa hiyo bado kuna shida hapo

Hapo nilipoweka purple, Labda ungeleta maandiko hapa tunaruhusiwa kuoa wake wengi hapa mke mmoja ndio tunaweza tukajadili, lakini vinginevyo naona ni mafundisho ya watu tu, kama kina Joseph Smith...

Nani alikwambia baraza limeandika vitabu vya kwenye Biblia!? huoni kama unachokisema sio kweli!? sidhani hata kama unajua unachokizungumza... Yaani na mafundisho ya Wa Mormons unataka yafuatwe na watu, chukua hii verse inavyosema...

2 Timotheo 3:16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; KWA HIYO TORATI SIYO ANDIKO LENYE PUMZI YA MUNGU?

Labda nikuulize swali, tunaishi kipindi cha torati au!? nani alikwambi kuna dhambi kubwa na dhambi ndogo!?

Warumi 5:20 Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;

Warumi 3:20 kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.

Warumi 6:14 Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema.
 
Mkuu wa Chuo, hata wewe mwenyewe unavyoandika tayari unajichanganya. Na hii ni kwa sababu ya kukariri au kukaririshwa maandiko. Kwanza kama biblia ingekuwa "principled" na "consistent" isingehitaji au isingeacha mwanya wa kuleta tafsiri tofauti tofauti wala uelewa tofauti tofauti kwa kuwa ingekuwa inalenga kutoa ujumbe uleule kwa kila msomaji. Sasa hata wewe unakiri kuwa inategemea jinsi gani watu wanavyofasiri maandiko na kuelewa maandiko, na hii ndiyo sifa kuu ya andiko ambalo siyo principled au andiko ambalo ni "subjective". Hebu tazama kuna madhehebu mangapi duniani yaliyotokana na kutafsiri biblia kila mtu kivyake vyake? Kama biblia ingekuwa consistent na principled ingewezesha kuwepo kwa dhehebu moja tu ambalo linafuata kanuni za aina moja za kibiblia, lakini kwa kuwa iko subjective imeshindwa katika hilo na ndiyo maana kuna utitiri wa madhehebu na hakuna fomula ya kuamua lipi ni la kweli au la uongo kwa kuwa kila mmoja anatafsiri ukweli au uongo kadiri aonavyo yeye kwa kutafsiri maandiko ambayo hayana fomula kadiri aonavyo yeye. Tena kila mmoja anajigamba kuwa kuwa dhehebu lake ni la kweli zaidi na la kibiblia zaidi. Mifano mingine pia soma maandiko yafuatayo na useme hapa na watu wenye akili zao "great thinkers" pia wataona kiukweli kama yanaonyesha consistency yoyote. Pia umeongelea torati kana kwamba kwa sasa haihusiki tena lakini hayo ni mawazo ya kwako siyo ya biblia, soma pia maandiko hapa chini kuhusu ulazima wa torati hata sasa, au la ndiyo ushahidi zaidi wa biblia kukosa consistency. Vile vile umepinga kuhusu aina ya dhambi nayo ni mawazo ya kwako kwa kuwa biblia iko wazi soma pia hapo chini. Na hayo ni baadhi tu ya maandiko. Nakushauri uache kukariri maandiko na usikubali kukaririshwa maandiko, jisomee na kutafakari mwenyewe kwa makini ili upate ufahamu ulio huru na kweli:

MAANDIKO KUHUSU DIVAI/POMBE:

Hesabu 15: 4
ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee Bwana sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta; 5 na divai kwa sadaka ya kinywaji, robo ya hini, utaiandaa pamoja na sadaka ya kuteketezwa, au kwa dhabihu ya kuchinjwa, kwa ajili ya kila mwana-kondoo. 7 na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa Bwana. 10 Tena utasongeza nusu ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji, kwa sadaka iliyosongezwa kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa Bwana.

Hesabu 28:7
Na sadaka yake ya kinywaji itakuwa robo ya hini kwa mwana-kondoo mmoja; hiyo sadaka ya kinywaji, ya kileo, utammiminia Bwana katika mahali hapo patakatifu.

Hesabu 28:14
Tena sadaka zake za vinywaji zitakuwa nusu ya hini ya divai kwa ng'ombe, na sehemu ya tatu ya hini kwa kondoo mume, na robo ya hini kwa mwana-kondoo; hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi katika miezi yote ya mwaka. 15 Tena mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi kwa Bwana itasongezwa zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.

Mhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

Mhubiri 9: 7
Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka; kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako.

1Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Luka7:33
Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuja, hali mkate wala hanywi divai, nanyi mwasema, Ana pepo. 34 Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi.

Yohana 2:7
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza hata juu. 8 Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka. 9 Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi, 10 akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.
Mathayo 15:11 Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. 17 Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? 18 Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;

Mithali 23: 20
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo;... 31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu; 32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama ----.

Mithali 31:4
Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni. 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Wagalatia 5:19
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

KUHUSU TORATI

Mathayo 5:17
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka, hata yote yatimie.

Luka16:17
Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati.

KUHUSU AINA ZA DHAMBI

1Yohana 5:15
Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba. 16 Mtu akimwona ndugu yake anatenda dhambi isiyo ya mauti, ataomba, na Mungu atampa uzima kwa ajili ya hao watendao dhambi isiyo ya mauti. Iko dhambi iliyo ya mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hiyo. 17 Kila lisilo la haki ni dhambi, na dhambi iko isiyo ya mauti.

BAADHI YA MAANDIKO MENGINEYO YENYE UTATA

Mhubiri 7: 16
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe? 17 Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Mhubiri 3:19
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili. 20 Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Naona bado una tatizo lile lile nililokwambia mwanzo, mara ya kwanza ulikuja na hoja ya kwamba Biblia imeandikwa na mabaraza baada ya kubomoa hoja zako sasa hivi unaniambia nakariri sijui mimi na wewe ni nani anayekakariri!? umechomoa chomoa maandiko sehemu tofauti tofauti hata hujui msingi wake ni nini!? kiasi kwamba hata nikuuliza maswali kwa hayo hayo maandiko uliyoyaleta sidhani kama utaweza kunijibu...

na hiyo na inatokana na jinsi nilivyokuona unajenga hoja, mara ya kwanza ulikuja na hoja za Wa Mormons naona sasa hivi umeachana na hoja za mabaraza yako, unashindwa kuelewa scriptures unafikia hitimisho la Biblia inajichanganya, kumbe ni wewe ndio unayejichanganya, kwanza msingi wa unachokizungumza hauelewi na hili tatizo nililiona tokea mwanzo...

Unaongelea habari za madhehebu kuwa mengi, wakati huo huo haujiulizi mbona na mabar ya kunywea pombe na watu kukata mauno wakishalewa yapo mengi, kwani kuna ubaya gani wa madhehebu kuwa mengi!? nina uhakika hata nikikuuliza kiini cha kwenye Biblia ni nini!? toka Mwanzo hadi Ufunuo, sidhani kama unaweza ukanijibu kwa namna yako ya kuwaza...

Unajiita great thinker lakini toka mwanzo nilikuona mchovu unajadili kitu ambacho hukijui halafu unataka tujadili, kama umeshindwa kuelewa Biblia ilipatikanaje, halafu unaniambia mimi nimekariri, wewe ambaye unakuja na hoja eti ya kwamba Baraza moja lilikaa likaandika vitabu 66 jingine likaandika vitabu 73 halafu baraza jingine la Wa Mormons likaandika vitabu vingine, sasa kwa mtindo huo unaonyesha haujui huku ukijifanya unajua, baadae uatafute ujue wewe unaleta ujuaji kwenye mambo ambayo hata huelewi, kama ungekuwa unajua usingekuja na hoja za kichovu vile mara ya kwanza...

Halafu hayo mafungu uliyoleta usifikiri kwamba sasa unatuzindua, au labda siyafahamu hata nikiamua kukuuliza maswali kwenye hizo hizo scripture ulizoleta sidhani kama utajibu, hivi kwa mfano nikupa hii scripture hapa chini, kwa kufasiri kwako maandiko si utasema Biblia inamtukana Mungu...

Isaya 23:17 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, Bwana ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.

Hilo andiko hapo juu nimekupa mfano tu, kwa namna yako ya kufasiri maandiko unaweza ukasema Biblia inatukana, kumbe hata hamna... Na sidhani hata hiyo scripture hapo juu umeielewa niliyotolea mfano...
 
Back
Top Bottom