Kwa nini tuwaombee waliokufa?

Kwa nini tuwaombee waliokufa?

Pendaeli ibada za wafu ni totally ibada za shetani kibiblia hamna hicho kitu. Ukisema hivyo vitabu vingne vya makabayo n.k nmevisoma. Si vitabu vya kiuungu. Ni vitabu vilivyokosa upako wa Mungu ni vya kihistoria zaidi na si vya kusifu,kutukuza matendo ya Mungu. Kufa ni mara moja tu na baada ya kifo hukumu. Kama kungekuwa na suala la kuweka watu toharani basi kulikuwa hakuna haja ya kuja Yesu. Unakumbuka hadithi ya Lazaro? Mungu alimwambia walioko dunian wawasikilize mitume na manabii walioko huku dunian. Mtu akifa hata aombewe na mapadre,maaskofu na wachungaji wote it wont help. Binadamu unapaswa utengeneze maisha yako ukiwa hai. Usidanganyike kuna kuombewa na sadaka zitakusaidia...hakuna neno la namna hiyo na huo ni upagan. Kama ambavyo pia hakuna watakatifu wanaoweza kutuombea. Yesu alisema yeye ndiye njia ya kweli na uzima na mtu haend kwa Mungu bila kupitia yeye. So hamna kona kona wala short cut hapo. Si mama,baba ndugu za yesu wanaoweza kukusaidia zaidi ya baba yake wa kiroho yaani Mungu.
 
Nimekua najiuliza ni kwa nini mala nyingi hasa mwisho wa mwaka utasikia watu wengi wanakimbia majumbani mwao hasa vijijini na lengo ni kwenda kuwaombea ndugu walioishatangulia kwa maana ya kufa.

Wanaenda mbali na kupeleka maombi yao juu ya maisha yanayowazunguka kwa hao waliokufa,ni kweli kuna maana yoyote au kuna ulazima wa kufanya hili?kama ni kweli MUNGU tunaemuabudu na kuamini kua yupo na ndiyo alietuumba anapata nafasi ipi iwapo tutafikia kupeleka shida zetu kwa wafu?
Kupeleka shida kwa wafu ni kupoteza muda na kujiongezea laana ya mwenyezi mungu,kwanza kuna uwezekano huyo aliyefariki ambaye unamuomba akusaidie huko aliko ana shida kubwa kuliko ulizo nazo wewe.Cha msingi ni kumcha mwenyezi mungu wakati wa raha na hata wakati wa shida na kuelewa kwamba shida ni mitihani ya kawaida ya mwenyezi mungu,kwani dunia ni kama shule na hakuna shule utakayosoma bila kupewa mtihani,pia jinsi unavyopata changamoto ndivyo unavyozidi kuimarika.
 
Coz wao wako another place tyr. na wanatuona kila tuendako na tufanyalo na wana uwezo wa kutufanyia vile tutakavyoomba kwao na wakatekeleza
 
Wanawezaje ilihali ni wafu?na unapata imani ipi kwa ulichosema hapa,umewahi kumshuhudia mfu akikusaidia ktk shida?kuna kitabu cha imani kinachoweza kutupa ukweli kua ukiwaomba marehemu watatatua matatizo yetu?
 
Ni ujinga kukaa kubishania kitabu ambacho umetunziwa kwa zaidi ya miaka 1500 afu unawabishia watunzaji wenyewe. Hilo tu la kuihifadhi biblia mpaka vikanisa vya 1800 kuanza kutumia ni heshima tosha. Kama hamuwez kuheshimu kwa mengine basi hata kwa hilo tu. Nimeshangaa ktk mijadala humu kila panapogusa historia ya biblia kuna wakatoliki wengine hawasikiki kabisa. Tena nimesha gaa ktk mjadala humu kumbe hata utatu mtakatifu waliujadili wao na leo ni imani kuu kwa makanisa mengi.Vitabu mmevipokea tu ila mnajifanya nondo kuliko hata waliovikusanya. Muwe na heshima na adabu kwa kanisa mama. Haiwezekani mengine myakubali kwamba waliongozwa na Mungu mengine myaache kwamba ni ya shetan. Kuna mchango mkubwa wa kanisa katoliki ktk makanisa mengine. Hayo mengine ni porojo za kutafuta waumini. Hasa kwa kuwa ndio dhehebu lenye waumini wengi kila mtu analiangalia kwa husda. Mungu libariki kanisa katoliki
 
Ameeennnnn...
 
And another angel came and stood at the altar with a golden censer; and he was given much incense to mingle with the prayers of the SAINTS from the hand of the angel before God. Revelation 8:4

The twenty-four elders fell down before the Lamb, each holding a harp, and with golden bowls full of incense, which are the prayers of the saints … the elders fell down and worshipped (5:8-14).
 
Last edited:
ni wazi ya kua MUNGU ni mwenye huruma na upendo na anasikiliza maombi yetu,nasi tumemjua MUNGU kwa kupitia vitabu vyake vitakatifu,kwa upande wetu tumemjua MUNGU kwa Biblia takatifu,na katika Biblia hio tumeambiwa kila kilichoandikwa kule kimetoka kwa MUNGU na kimeakikishwa na kinatufaa sisi katika mafundisho,, katika Biblia takatifu kitabu cha wamakabayo 12;38-45 ukisoma kwa makini na kwa minajili ya kuelewa hautakuwa na sababu ya kuwa na shaka kumuambea marehemu msamaha kwa MUNGU kwa yale alioyafanya yalio kinyume na mapenzi yake MUNGU kama alivyofanya huyo Yuda katika kitabuhicho cha wamakabayo,na kusauri G'taxi ukakisome kwa vyovyote vile kitafute katika Biblia ile iliokamilifu na sio ile yenye vitabu pungufu. kila la heri ndugu.
Jaman baada ya kifo ni hukumu. Mungu hutupa nafasi tuwapo hai kutengeneza maisha yetu
 
Hapa watu mnachanganya vitu v3

1. Kuwaombea marehemu
2. Kuwaomba marehemu
3. Baada ya kifo ni hukumu(kuna siku ya hukumu,somen Bible vzur,IPO siku ya hukumu ambapo Yesu atawatenga kondoo na mbuz na kuuliza maswali Yale ya nilikua na njaa,nilikua uchi,nilikua mgonjwa nk nk sasa pipo znachanganya hiz states )

Nianze na nmba 3

Ni kweli baada ya kifo ni hukumu BT calculate time ya day ya hukumu kutoka siku unakufa had siku ya hukumu,kuna muda apo ambapo departed souls znakua zpo somewhere nafikir hivo

Namba2
Kuwaomba marehemu

Hii inategemea huyo marehemu,kuna ambao wanaish inafaa kuwaomba mfano Yesu alienda kusali akatokea Musa na Elia mtasema Elia alipaa sawa ila Musa alikufa
So kuna watakatifu ambao hutusaidia kama Yesu alisaidiwa labda Faraja /Confort na hawa ndugu Musa na Elia sembuse wewe/Mimi kwann nisiombe Msaada wao

3. Kuwaombea wafu/marehemu

Hapa nakuja ngoja niweke charge simu inazma
 
Last edited:
Watu wasichanganye,sikusema kuwaombea wafu ktk mada hii.nilisema kuwaomba wafu,kupeleka shida zetu kwa wafu kama mababu na wazee wetu wa ukoo wa zamani ambao watu wengi utasikia wakisema wanaomba mizimu ya kwao,na wanaweza kwenda kufanya maombi msamaha au kuomba kutatuliwa shida zao ktk makaburi ya wazee wao wa kale.Asante
 
kuwaombea dua waliokufa inaruhusiwa...but kuwaomba msaada wowote kwa waliokufa ni ushirikina na dhambi kwa muumba...kwa yeye pekee ndio wa kumueleza matatizo yetu yotee
 
Hapa watu mnachanganya vitu v3

1. Kuwaombea marehemu
2. Kuwaomba marehemu
3. Baada ya kifo ni hukumu(kuna siku ya hukumu,somen Bible vzur,IPO siku ya hukumu ambapo Yesu atawatenga kondoo na mbuz na kuuliza maswali Yale ya nilikua na njaa,nilikua uchi,nilikua mgonjwa nk nk sasa pipo znachanganya hiz states )

Nianze na nmba 3

Ni kweli baada ya kifo ni hukumu BT calculate time ya day ya hukumu kutoka siku unakufa had siku ya hukumu,kuna muda apo ambapo departed souls znakua zpo somewhere nafikir hivo

Namba2
Kuwaomba marehemu

Hii inategemea huyo marehemu,kuna ambao wanaish inafaa kuwaomba mfano Yesu alienda kusali akatokea Musa na Elia mtasema Elia alipaa sawa ila Musa alikufa
So kuna watakatifu ambao hutusaidia kama Yesu alisaidiwa labda Faraja /Confort na hawa ndugu Musa na Elia sembuse wewe/Mimi kwann nisiombe Msaada wao

3. Kuwaombea wafu/marehemu

Hapa nakuja ngoja niweke charge simu inazma
Duu Cc
Eiyer, rutashobya
,Ishmael,
Et al
 
Last edited:
Back
Top Bottom