matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
1: Mungu anakuhesabu wewe umeshamuua huyo mtu tayari.
Kila amchukiaye ndugu yake ni muuaji. 1 Yohana 3:15
2: Chuki ni nishati (energy) hasi. Itaathili ubongo wako na mwili na itakuwa kivutio cha magonjwa yasiyoabukiza.
3: Chuki na hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Na mbumbavu ni mtu anayesema moyoni mwake hakuna Mungu. Hivyo utahesabika sawasawa na mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.
4: Chuki ninubinafsi. Usitegemee kusamehemewa kama wewe husamei na kupotezea. Yesu alisema, msimamopo kusali, sameheni.
5: Chuki inaambukiza. Kama ilivyokorona, virusi vya chuki vinatabia ya kusambaa kila kona na angahewa lolote utakalokuwepo litakuwa limejaa chuki. Nyimbani, ofisini, kanisani. Utajikuta unachukiwa na kuchukia kila uendapo.
Ufanye nini sasa.
Omba Mungu akupe upendo wa agape. Upendo pekee ndio kitu chenye nguvu kuliko chuki na kuchukiwa.
Ni hayo tu.
Ukielewa like, comment share ili tuelewe wengi.
Na Mtumishi Matunduizi.