Kwa nini wanachama wa vyama vya siasa Marekani hawasemi Republicans/Democrats oyeee?

Kila jamii na tamaduni zake. Wamarekani wanaume wanaoana na WA awake wanaoana. Mbona hiyo unaipinga halafu unataka tusiseme CCM oyee kwasababu eti Democrats hawasemi!!?
 
Kila jamii na tamaduni zake. Wamarekani wanaume wanaoana na WA awake wanaoana. Mbona hiyo unaipinga halafu unataka tusiseme CCM oyee kwasababu eti Democrats hawasemi!!?
Mtoto wa shule, Mimi simpangii mtu aolewe na nani, sijali kama utaamua kuolewa na mwanaume mwenzako. Pia sio utamaduni wa Wamarekani wanaume kuoana na wanaume. Israel, Brazil, South Africa, Japan na nchi nyingi za dunia wanaume wanaoona kwa wanaume.

Pia hata kama huo ungekuwa utamaduni wao mbona mmechukua utamaduni wao wa dini na urais, kipi kitawashinda kuchukua huo mwingine wa ushoga??
 
Waimba singeli nao hawapo?
 
Ila cha kuchekesha hapa utashangaa watakao unga mkono mada hapa ni wapinzani wakidhani kwamba ni ccm tu ndio yenye mambo yaliyoelezwa kwenye mada.
 
Ila cha kuchekesha hapa utashangaa watakao unga mkono mada hapa ni wapinzani wakidhani kwamba ni ccm tu ndio yenye mambo yaliyoelezwa kwenye mada.
CCM ndio inatakiwa iongoze kwenye mambo yenye maana, tija na mashiko.
 
Ahahahahaha! Hakuna tamaduni ambayo ni toshelezi. Hivyo, inaweza kuchukua baadhi ya mambo toka tamaduni zingine, lakini sio kila kitu inachukua. Na ni ushamba kuamini kuwa, kwakuwa fulani anafanya hivi basi na wewe inatakiwa kufanya hivyo kama yeye. Ndio maana wao hawasemi Democrats oyee! Sisi tunasema CCM oyee! Tatizo nini hapo?
 
Kule North Mara mgodini wananakijiji wanawaita watu wanafanya kazi mgodini ambao sio wakurya jina la "MA OYA" kwa sababu wanasalimiana OYA ..mambo vipi?
 
Wamejengwa katika misingi ya utaifa na ustawi wa taifa lao ndio Cha msingi zaidi kuliko uvyama!!

Huku tumejengwa katika misingi ya chama ndio maana Kuna uadui wa uanachama na kushughulikiana kichama zaidi kuliko utaifa!

Ndio maana Mwizi na mbadhirifu akiwa wa Chama tawala anafanyiwa compromise na vyombo vya Dola hasta kama CAG aandike nini!!

Mambo haya yataisha muhula wangu ukifika,nataka utaifa na sio uchama,jamuhuri itashughulika vyema na wabadhirfu bila kujali uanachama wa mtu!!

Endelea kuombea hizo nyakati zifike mapema!!
 
Ukiulizwa na mtoto wako kwa nini kila siku wanakula dagaa na hawali kuku kama familia nyingine inabidi uwe na majibu ya kueleweka sio huo upupu kusema kila familia ina namna yake ya kuishi, halafu sisi sio familia ni taifa.
Kaishi Marekani. Maana unaona wao wamestaarabika sana.
 
Huyu yoda na genge lake naweza kusema ni kama magaidi wengine wa Mtandaoni. Yupo hapa kutukuza Ukuu wa wazungu tu haladu anajinasibu kuwa yeye ni Mtanzania🙌🏾
Hawa hawaaamini kuwa dunia haiwez kuwa na ustarabu wa aina tofaut tofaut. Dunia sio homogeneous ni heterogeneous.
 
Sio kila kinachofanyika USA lazima kifanyike Tanzania. Kama unaona Tanzania hapakufai hamia huko USA.
 
Political culture inatofauti kila mahali, hata kenya huwa wanasema "Harambeeeeeee!", sisi tuna "oyeeee" , si lazima tufanane nao kwa sababu tuko tofauti
 

Siyo kuchelewa "MAITI"
 
Tuna makabila zaidi ya 120 lini tulikaa kikao tukakubaliana huu ndio utamaduni wetu maana ninachokiona hicho kinachodaiwa ni utamaduni wetu asilimia kubwa ni utamaduni ulioletwa na majahazi toka mashariki ya kati na magharibi
sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…