Kwa nini wanachama wa vyama vya siasa Marekani hawasemi Republicans/Democrats oyeee?

Political culture inatofauti kila mahali, hata kenya huwa wanasema "Harambeeeeeee!", sisi tuna "oyeeee" , si lazima tufanane nao kwa sababu tuko tofauti
Harambee Kenya ilikuwa enzi za KANU, ilipokufa KANU na Harambeee ikafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…