Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Hivi huyu JPM mbona Mambo yake yanaibuka sana humu Jf,hakuna siku unaweza pita humu ukakosa Uzi mpya unaomuhusu huyu shujaa aliyekwisha Lala na Cha kuhuzunisha hawezi kuamka walau kujibu Tuhuma zake au Pongezi zake.
Mnatia hofu sana Mama huko IKULU...RIP JPM.
 
Sasa wanalialia mtandaoni sie raia tufanyeje,tuwasaidie vipi?
They should man up,grow a spine,and conduct a coup d'etat!!wamchomoe tu Ikulu!!,kama Wana hasira!!,
Tatizo lao wengi ni wanajeshi jina tu,waliingizwa jeshini na mjomba/shangazi kupata ajira tu!!
Vijana wadogo wa Afrika magharibi Tena wenye vyeo vya chini,wanapindua nchi!,wa huku kwetu Tena mageneral wanawaza kugombea uenyekiti wa ccm wakishastaafu!!,akili zao haziwazi nje ya ccm!!!
Wadhani yule dogo alikurupuka tu na kufanya mapinduzi?
 
Magufuli was a country bumpkin.

Good riddance to bad rubbish.
 
Hivi huyu JPM mbona Mambo yake yanaibuka sana humu Jf,hakuna siku unaweza pita humu ukakosa Uzi mpya unaomuhusu huyu shujaa aliyekwisha Lala na Cha kuhuzunisha hawezi kuamka walau kujibu Tuhuma zake au Pongezi zake.
Mnatia hofu sana Mama huko IKULU...RIP JPM.
Watanzania wengi ni kama wale wanawake ambao usipowapiga wanaona huwapendi.

Sasa bwana wao aliyekuwa anawapigapiga na kuwatukana tukana amekufa wanammiss sana.

Ni matatizo ya kisaikolojia kama Stockholm Syndrome.
 
Wewe siburi sheria yenu ya upinde wa mvua ipite mfanye mambo yenu kwa hili tuache plz
 
Ha ha ha ha, mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana, itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena... miaka mingi sana nasema
Duuh wanajesh gan tena? Yaan mim hapa ambaye ni mjeda tena meja general mstahiki igp siwezi kulilia mfu kamwe
 
Amani iwe nanyi.

Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.

Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk

Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.

Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.

Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?

Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..

Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.

Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?

Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Dr restart..Uko wap umuhim wa videos, picha?
 
Sasa wanalialia mtandaoni sie raia tufanyeje,tuwasaidie vipi?
They should man up,grow a spine,and conduct a coup d'etat!!wamchomoe tu Ikulu!!,kama Wana hasira!!,
Tatizo lao wengi ni wanajeshi jina tu,waliingizwa jeshini na mjomba/shangazi kupata ajira tu!!
Vijana wadogo wa Afrika magharibi Tena wenye vyeo vya chini,wanapindua nchi!,wa huku kwetu Tena mageneral wanawaza kugombea uenyekiti wa ccm wakishastaafu!!,akili zao haziwazi nje ya ccm!!!
Unaweza sana kuchambua jambo mkuu,yaani huku usione mtu anacheo kikubwa ukadhani yaliyomo yamo ,niujinga mtupu!!!
 
..Magufuli aliwawezesha kupiga na kutesa wapinzani na hivyo wakajiona wana nguvu.

..ukiwauliza kama ktk kipindi cha Magufuli walianza ujenzi, walianzisha mradi, walinunua baiskeli au pikipiki, sidhani kama utapata majibu yenye kutia moyo.
Nchi hii kuna wapinzani au wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia isiyohalali na halali
 
Ha ha ha ha, mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana, itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena... miaka mingi sana nasema
My friend, Mungu anaipenda Tanzania. Tusubiri tuone Miujiza ya Mungu. Amen
 
Back
Top Bottom