Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Hivi huyu JPM mbona Mambo yake yanaibuka sana humu Jf,hakuna siku unaweza pita humu ukakosa Uzi mpya unaomuhusu huyu shujaa aliyekwisha Lala na Cha kuhuzunisha hawezi kuamka walau kujibu Tuhuma zake au Pongezi zake.
Mnatia hofu sana Mama huko IKULU...RIP JPM.
 
Wadhani yule dogo alikurupuka tu na kufanya mapinduzi?
 
Magufuli was a country bumpkin.

Good riddance to bad rubbish.
 
Watanzania wengi ni kama wale wanawake ambao usipowapiga wanaona huwapendi.

Sasa bwana wao aliyekuwa anawapigapiga na kuwatukana tukana amekufa wanammiss sana.

Ni matatizo ya kisaikolojia kama Stockholm Syndrome.
 
Wewe siburi sheria yenu ya upinde wa mvua ipite mfanye mambo yenu kwa hili tuache plz
 
Ha ha ha ha, mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana, itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena... miaka mingi sana nasema
Duuh wanajesh gan tena? Yaan mim hapa ambaye ni mjeda tena meja general mstahiki igp siwezi kulilia mfu kamwe
 
Dr restart..Uko wap umuhim wa videos, picha?
 
Unaweza sana kuchambua jambo mkuu,yaani huku usione mtu anacheo kikubwa ukadhani yaliyomo yamo ,niujinga mtupu!!!
 
..Magufuli aliwawezesha kupiga na kutesa wapinzani na hivyo wakajiona wana nguvu.

..ukiwauliza kama ktk kipindi cha Magufuli walianza ujenzi, walianzisha mradi, walinunua baiskeli au pikipiki, sidhani kama utapata majibu yenye kutia moyo.
Nchi hii kuna wapinzani au wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia isiyohalali na halali
 
Ha ha ha ha, mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana, itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena... miaka mingi sana nasema
My friend, Mungu anaipenda Tanzania. Tusubiri tuone Miujiza ya Mungu. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…