Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Kama wanampenda sana waende wakanywe nae chai - JK Nyerere
 
Hivi we ni ke au me? Km ni me we siyo rizki. Siyo kwa umbea huu wa kizushi na wa hovyo kutoke ktk Karne hii. Mwanaume mzima kabisa umening'iniza mapumbu yako unaandika upupu km huu? Kapime afya unaumwa.
 

..Magufuli aliwawezesha kupiga na kutesa wapinzani na hivyo wakajiona wana nguvu.

..ukiwauliza kama ktk kipindi cha Magufuli walianza ujenzi, walianzisha mradi, walinunua baiskeli au pikipiki, sidhani kama utapata majibu yenye kutia moyo.
 
A
aliwalambisha sana asali ili wamkingie kifua atawele milele. Walipata marupurupu mikopo nafuu nk.
 
Mkuu mtoto wa ndugu yangu katoka juzi tu segerea baada ya miezi kadhaa alipewa kesi ya kukaba kwa kutumia silaha na ni wengi tu walikamatwa na bado wanaendelea kukamatwa na kugewa hizo kesi yani hata ukitoka polisi wanakwambia hapa utarudi tu.
Huyo itakuwa ana yabia kama zako.
 
Ukiona hivyo ujue hao ni wale askari waliofaidika na ukatili wake.
 
Nakumbuka siku amekufa mwamba Ile usiku makamu wake anatangaza ilikua kama saa nne tukiwa kozi flani hivi combania tumelala kwenye anga tunasubilia kuamka saa sita kuanza kipindi Cha mchakamchaka gafra jamaa yangu akatuamsha nakusema oya soldier magufuri amedanja daaaaaaa soldier zote zikaamka na ikapigwa buruji Ili tukutane uwanja wa damu dah ilikua majonzi sana na vipindi vikahailishwa vyote R.I.P Mwamba
 
Kwenu askari alikuwa mwamba kwa sababu zipi kaka tusimulie tujue uzuri unaowafanya ninyi muwe watu mnaomkumbuka zaidi hadi kumwita mwamba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa upande wao zaidi
Aliwapa uhuru wa kufanya lolote dhidi ya wote walio kinyume chake ndiyo maana hata Nape kutishiwa bastola hadharani yeye Magu hakukemea japo tukio hilo cos ndo alichokipenda wakifanye kwa wakosoaji wote

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Aliwatumia kuua na kufanya ujambazi waziwazi bila hofu ya kukabiliwa na hatua za kisheria, kipindi chake walijenga, walimiliki hela haramu

Ref. Makonda, Sabaya

Majambazi waliolindwa na dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…