Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Katika utawala wowote wa kidikteta, jeshi huogopwa sana maana ndo mkono wa dikteta. Wanakuwa na kinga nyingi. Sisi binadamu tuna hulka kupenda kuogopwa. Sasa ikitokea fursa inatumika vizuri na wenye fursa hiyo zaidi ni vyombo2vya usalama maana they are law enforcers.
Nina rafiki kwenye taasisi moja ya serikali. Anasema wakati wa Magu kila mmoja alianza kushona kaunda suti ili adhaniwe kuwa usalama wa Taifa. That alone tells about the mentality.
Kweli kabisa, uvaaji wa kaunda/safari suti ulishamiri sana wakati wa dikteta jiwe
 
Amani iwe nanyi.

Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.

Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk

Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.

Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.

Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?

Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..

Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.

Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?

Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?

walipewa ufalme badala ya kufuata sheria. Lakini wameundiwa kamati ya marekebisho kitu ambacho hawapendi hasa viongozi wala rushwa. Traffic rushwa kila mahali
 
Magufuli alikuwa katiri Sana. Alimiliki kikundi cha uhalifu ndani ya Ikulu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili gege lilifanikiwa -Kumpiga risasi Tundu Lissu -Kumteka na kumuua Ben Saanane -kumteka Mo Dewiji -kumteka Roka Mkatoriki -kumteka na kumtesa Mdude Nyangali
Umeulizwa alikufanya nini wewe?
 
Kwa sababu walijipatia ulaji kupitia silaha zao na hiyo ndio sababu kubwa

Yeye alikuwa anatoa amri tu
Mara hela za brush nk
 
Alikuwa upande wao zaidi
Aliwapa uhuru wa kufanya lolote dhidi ya wote walio kinyume chake ndiyo maana hata Nape kutishiwa bastola hadharani yeye Magu hakukemea japo tukio hilo cos ndo alichokipenda wakifanye kwa wakosoaji wote

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa kutokukemea Magufuli hamshindi Samia.
 
Umeulizwa alikufanya nini wewe?
Huo ni mtazamo finyu sana na watu wenye akili ndogo. Tusisubiri mpaka tutendwe sisi ndiyo tukemee maovu. Je angekuwa ameniua kama alivyomuua Ben Saanane, ni nani angeandika hapa leo?
 
Kuna kukemea maovu ya mtu/kuchukia maovu yake na kuna kumchukia mtu.

Kuna tofauti mkuu hapo, viongozi waliyopita kabla ya Magufuli hawakuwa malaika nao wana maovu na watu walikemea ila tofauti hapa ni kwamba kuna watu mmejenga chuki kwa Magufuli na wakati mwingi mmekuwa mkionyesha hiyo chuki kuliko kukemea mabaya ya Magufuli.
 
Sasa kama hai viongozi waliomtangulia Magufuli walikuwa na maovu, basi uyaandike wewe UHURU JR. Sisi tumejipangia kuyaandika ya huyu mtu wenu mliyekuwa mnamuabudu kama mungu wenu
 
Na mimi sizungumzii maovu ya hao viongozi bali hiyo chuki kwa kiongozi mmoja tu, ndio maana umeulizwa Magufuli alikufanya nini chenye kufanya uwe na chuki?
 
Amani iwe nanyi.

Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.

Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk

Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.

Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.

Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?

Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..

Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.

Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?

Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Mwendakuzimu aliwaruhusu kufanya Ujangili na kujipatia Fedha Kwa Uporaji wa Mali za Raia
Sasa hivi wanalazimika kufanya kazi Yao ya Kulinda Raia na Mali zao.
 
Mbona jibu unalouliza mleta mada, lipo kwenye post yako ya kwanza. Kwenye mistari humo kati. Kuongezea; Hitler alipendwa sana na askari wake na ndio walimuwezesha kutawala
 
Ha ha ha ha,mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana,itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena.....miaka mingi sana nasema
Muuaji na mtekaji pia mfiraji. Jpm alivyokufa tu nilikunywa cret nzima ya bia
 
Baba Jesca
Mzilankende , Ngosha Chuma, Jiwe

Hii
 
Amani iwe nanyi.

Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.

Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk

Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.

Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.

Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?

Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..

Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.

Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?

Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Askari walipewa haki na kuheshimiana sana kiutarratibu sasa labda umwinyi umerudi speculations tu
 
Back
Top Bottom